Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Huu mwandiko na fact ni wa kijana ambae anakula na kulala kwa jasho la Wazazi wake, hajui hata bei ya kipande cha sabuni ndo maana anaona bila Ulaya na USA duniani hakuna maisha[emoji23][emoji23]
#Vijana Acheni u kula kulala Jitegemeeni mpate mawazo tegemezi.

Haya sasa turudi kwenye mada.
Moja: Watery Siyo kweli bila Ulaya na Marekani teknolojia yetu itasimama nadhani umeamua tu kujifunga akili mwenyewe na kuwa kipofu wa Ubongo, maana kama ungekuwa unaona na akili imefunguka kwa dunia ya leo usingetamka hiyo kauli.

Pili: Sijui unaongelea teknolojia ipi hiyo itakayo simama!!, Umetolea mfano simu kuzima, kitu ambacho hakipo kabisa kwani simu hazitengenezwi Ulaya na marekani tu. China, S.korea, Japan na nk wanatengeza mamilion ya simu. Na 80% ya watanzania wanatumia simu kutoka China na siyo Ulaya&USA mfano wa hizo simu ni Tecno, Infinix,Itel mobile, Vivo, OPPO, Xiaomi na n.k Zote niza China. Pia kuna Samsung, KT tech na Patench zote kutoka S.korea. Mobicel, Vodacom, MTN na telecom zote kutoka S.Afrika. Sony, Panasonic, Sansui na NEC kutoka Japan.

Tuje kwenye teknolojia ya Magari; Asilimia kubwa ya magari unayopishana nayo hapo mtaani yametoka Asia hasa Japan na siyo Marekani au Ulaya.

Tuje kwenye teknolojia ya Silaha: Silaha hazitengenezwi Ulaya na marekani tu. Iran, India, China, N.korea wote hao wana silaha hatari na nzito (Nukes) walizo tengeneza wao wenyewe bila msaada wa Ulaya na Marekani.

Tuje kwenye teknolojia ya Miundo mbinu kama Barabara, Reli, Meli, madaraja na n.k. Asilimia kubwa ya ujenzi wa miundo mbinu tajwa hapo inayoendelea au iliyo jengwa nchini ni products ya wataalamu kutoka Asia hasa China, korea na Japan.

TUTOKE KWENYE TEKNOLOJIA SASA TURUDI KWENYE MAISHA YA UHALISIA.

IPO HIVI: Ukiwa na Miguu unaweza fikri huwezi kutembea bila miguu, Ukiwa na macho yanayo ona vizuri unaweza fikri huwezi kutembea bila Macho, ila Siku let say Macho yakapoteza uwezo wake wa kuona amini nakwambia utatembea bila muongozo wa macho rejea (Vipofu wanavyoishi)

Maana yangu ni ipi?
Afrika siyo kwamba hatuwezi kutengeneza Simu, magari, meli, silaha, na n.k tatizo ni moja uwepo wa watu weupe ndo umetufanya tudumae akili na kufikir hatuwezi bila wao, ila siku wakitoka tukabaki sisi tu watu weusi, ni suala la muda mfupi tu, Ideology itabadilika na tutaanza kutengeneza vitu hivo wenyewe zaidi na zaidi. Sasaiv hatuoni umhimu wa akili zetu kwasababu ya uwepo wa akili za mtu mweupe ila siku huyo mtu mweupe akitoka duniani tukabaki sisi tu ndo tutaona umhimu wa akili zetu na uwezo wake.

Mfano mwingine;
Kuna watu wamezaliwa kwenye familia za kishua haswa kiasi cha kutofahamu kama duniani kuna shida kama vile kukosa chakula, pesa na nk. Kwasababu kila kitu wanachokitaka kinafika kwa wakati na wana fanyiwa kila kitu na wazazi wao, Ila siku ikitokea wazazi wakatangulia mbele za haki na Mali zikapukutika, hao watoto wakishapigwa na shida za dunia ndo pale akili ya U Junior itakapo watoka na kuja akili ya watoto wa mama Ntilie na Wasaka tonge na hapo ndo watajua kuwa kumbe hakuna kazi ambayo haiwezekani hata zile walizo kuwa wakidhani haziwezekani.
Ndo kama wewe ( Watery ) sasa unaedhani bila Ulaya na Marekani simu yako itazima, kwababu tu hao Mabwana bado wapo, ila siku wakitoweka amini nakwambia akili hiyo itabadilika na simu hiyo haitazima kwa kutumia akili yako mpya.

Mwisho: Ukipata muda kasome THEORY OF LIFE hasa Darwinism and Lamarckism theory ambapo moja inaelezea Survive for the fitest (how a man can survive and adopt for the environment) nyingine Use and dis Use theory. Wa afrika wengi Vichwa vyetu vimekuwa makopo tu kwasababu hatuvitumii ipasavyo (dis-Use) finally they will become weak and disappear according to the Use and Dis-use theory.
Ukizisoma hizo theory vizuri harafu ukaanza kuzi relate na maisha halisi ya Blacks and Whites ndo utajua kwanini Sisi tupo hivi na wazungu wapo vile hasa kiakili.

Nawasilisha Jibu langu[emoji120] bila kuathili msimamo wangu wa "I stand with a man who saved the world VVP"[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635].
Comment bora kabisa hii👏👏👏mkuu ipe kichwa cha habari uianzishie uzi
 
Mambo yanaanza kugeuka.
🇭🇺🇷🇺The meeting of the Foreign Ministers of Russia and Hungary begins in Moscow.

HUNGARIAN FM"First of all, I would like to talk about how to make Hungary's energy supply safer in the coming months. This is one of the most important issues of our bilateral cooperation. And in the current international situation, the most important thing for us is to ensure Hungary's energy security. Therefore, I would like to agree that the existing volumes of gas supplied to Hungary should be increased. My Government has authorized me to negotiate on this issue. That's why I'm in Moscow today": Yesterday the European Union decided to completely abandon Russian gas, and today the Hungarian Foreign Minister flew to Moscow to ask to increase supplies.
Eurosolidarity in its purest form.
 
Mambo yanaanza kugeuka.
[emoji1126][emoji635]The meeting of the Foreign Ministers of Russia and Hungary begins in Moscow.

HUNGARIAN FM"First of all, I would like to talk about how to make Hungary's energy supply safer in the coming months. This is one of the most important issues of our bilateral cooperation. And in the current international situation, the most important thing for us is to ensure Hungary's energy security. Therefore, I would like to agree that the existing volumes of gas supplied to Hungary should be increased. My Government has authorized me to negotiate on this issue. That's why I'm in Moscow today": Yesterday the European Union decided to completely abandon Russian gas, and today the Hungarian Foreign Minister flew to Moscow to ask to increase supplies.
Eurosolidarity in its purest form.
Nimeona hii video safi sana
 
‼️🇪🇺❌🇪🇸🇵🇹🇬🇷🇭🇺So far ''European family members'' actions in the last 36 hours

Spain,Portugal and Greece rejected the European Commission's proposal to reduce natural gas consumption by 15%.

Hungary wants to buy additional volumes of gas from Russia‼️
 
lavrov.JPG
Mambo yanaanza kugeuka.
🇭🇺🇷🇺The meeting of the Foreign Ministers of Russia and Hungary begins in Moscow.

HUNGARIAN FM"First of all, I would like to talk about how to make Hungary's energy supply safer in the coming months. This is one of the most important issues of our bilateral cooperation. And in the current international situation, the most important thing for us is to ensure Hungary's energy security. Therefore, I would like to agree that the existing volumes of gas supplied to Hungary should be increased. My Government has authorized me to negotiate on this issue. That's why I'm in Moscow today": Yesterday the European Union decided to completely abandon Russian gas, and today the Hungarian Foreign Minister flew to Moscow to ask to increase supplies.
Eurosolidarity in its purest form.
kuna mdau alisema wataenda one by one

moscow kupiga magoti
 
Surprise! NordStream One RESUMES Natural Gas Flow to 30% capacity

To the shock and happy surprise of many in Germany and Europe, Russia's NordStream One pipeline is RESUMING natural gas flows.
From 0700-0800, Russia's state owned gas company, GAZPROM, began flowing natural gas gradually, going from zero to 1.6 Million Cubic Meters in one hour, which is about 30% capacity.
There was widespread belief the pipeline would remain shut down for political reasons,but that turned out to be not the case.
More news here👇



More news as we get it.
 
‼️🇷🇺🇺🇦🇧🇾Lukashenko urged Kiev to sit down at the negotiating table and be ready to "never threaten Russia"‼️
☝️☝️☝️
As we also stated previously few times,the West is so desperate supporting Ukraine because it knows this is the last time in history Ukraine posing threat to Russia
 
Surprise! NordStream One RESUMES Natural Gas Flow to 30% capacity

To the shock and happy surprise of many in Germany and Europe, Russia's NordStream One pipeline is RESUMING natural gas flows.
From 0700-0800, Russia's state owned gas company, GAZPROM, began flowing natural gas gradually, going from zero to 1.6 Million Cubic Meters in one hour, which is about 30% capacity.
There was widespread belief the pipeline would remain shut down for political reasons,but that turned out to be not the case.


More news as we get it.
Wasivyokuwa na shukrani hawa wenzangu na mimi, soon watakuja hapa wamekaza shingo na kusema Russia hana ubavu wa kuzuia commodities zake zisiuzwe nje kwa vile eti kaanza kufilisika kiuchumi. Au hata kwamba amepigwa mkwara na ^wakubwa.^

But, if you analyze the move, Russia ni a very patient nation, focused, and above all, inaishi kwa kufuata dira na malengo ya mbali yenye tija kwa taifa.

Initially, Putin alisema West ina lengo la kumtenga na ulimwengu, lakini haitatokea. It's true.

Russia amefanikiwa mostly kuruka viunzi na kupangua virungu na kutuliza vurugu & vurumai za Marekani na NATO.
 
Back
Top Bottom