Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ukweli ni kwamba Russia yaelekea kushinda vita yaani kuchukua kiujumla eneo lote ya Donbass, hivyo media ya west haiwezi kusema ukweli huo bali kutafuta "patchy news" za kipropaganda.

Mkurugenzi wa CIA William Burns aliwahi kuwa balozi wa US Moscow kwa miaka mitatu (2005-2008) , hivyo kaongea kwa kufuata analysis yake kwa Putin na amejidhihirisha kuwa Putin si mgonjwa.

Ila habari nyingi za media ya nchi za magharibi zilikuwa zikiwalisha habari za uongo na kipropaganda wananchi wao kwamba Putin ni mgonjwa ana saratani na kadhalika .
Nukta ya msingi ni kwamba yeye yuko wapi now? Or, better yet, amezipataje taarifa hizo? Isijekuwa naye anazipata twitani kama Joe Biden.

Kwa sababu sisi tunamwamini Zelensky ambaye yuko right kule fildi akisema soon Ukraine inarudisha maeneo yote aliyoyapoka na kuyakwapua Mrusi. Hutaki kumwamini?

Hatujarudi nyuma kuwaogopeni--^tactical withdrawal^--ni kawaida sana katika medani za vita.

^As patriotic Ukrainians, we've everything that it takes to win this war, EXCEPT WEAPONS!^~ Zelensky
 
Nukta ya msingi ni kwamba yeye yuko wapi now? Or, better yet, amezipataje taarifa hizo? Isijekuwa naye anazipata twitani kama Joe Biden.

Kwa sababu sisi tunamwamini Zelensky ambaye yuko right kule fildi akisema soon Ukraine inarudisha maeneo yote aliyoyapoka na kuyakwapua Mrusi. Hutaki kumwamini?

Hatujarudi nyuma kuwaogopeni--^tactical withdrawal^--ni kawaida sana katika medani za vita.

^As Ukrainians, we've everything that it takes to win this war, EXCEPT WEAPONS!^~ Zelensky
Wafahamu kwamba majasusi wa US wapo Moscow na wa Russia wapo Washington na wana majengo ya ofisi zao na zajulikana?

Hivyo hapo basis of info kwa bosi wa Washington zinategemea na majamaa wa Moscow.

Pili, wasema hiyo ni tactical withdrawal lakini inafeli kwasababu mmesahau kwamba Russia ina satellite na yaona mizigo ikiingia na mnavyojipanga.
 
Hi vita siyo ya kushabikia wakuu ,inavyoelekea kuna upande utaumbuka sana ,yetu macho ila mda utasema tuu.bora ukae kimya acheni habari za kukopi media za online mkifikiri zina ukweli kuhusu hii vita ,hii vita subirini finally
Eti wananikumbusha hapa nikwambie kwamba kila upande una mchecheto na uhakika wa ushindi, so hawawezi kusuburi hadi hukoo fainali.
 
Assumption. Can you prove it now?
Ndo yale nayosema kwamba kuna watu kama wewe hamtafuti habari mwategemea habari za western Media.

Hivyo hufahamu kwamba mwanzoni mwa vita (mwezi February) Moscow walimtimua jasusi wa US na US ikawatimua Russia diplomats ambao kiukweli wana-cover shughuli zao kwa kazi za kijasusi?

Hizi taarifa zilitolewa mwanzoni kabisa na RT ambayo sasa imefungiwa kwenye nchi za west. Pia mwanzoni western media walikuwa wakitoa habari sahihi kwa matumaini kwamba Ukraine itaweza kuikabili Russia mapema.

Habari zingine ni kama hizi:

Russia expels second-highest ranking US diplomat in Moscow amid Ukraine tensions.​

Brent D. Griffiths

Feb 17, 2022, 3:29 PM

The State Department confirmed that Bart Gorman, the deputy chief of mission, was expelled. The department said Gorman's tour, where he holds the second-highest post beneath the ambassador, was not complete and he had a valid visa. It's not immediately clear why Gorman was expelled.

Gorman has worked for the State Department for decades, focusing mainly on diplomatic security and intelligence. He previously worked in Moscow from 2014 to 2016, according to his official bio.

US is expelling 12 Russian UN diplomats​

Richard Roth-Profile-Image
By Richard Roth, CNN

Updated 2117 GMT (0517 HKT) February 28, 2022

New York (CNN)The United States has asked 12 Russian United Nations diplomats to leave the US, accusing them of "espionage activities," as Russia continues its attack on Ukraine.
The Russian diplomats were asked to leave due to their alleged engagement in "activities that were not in accordance with their responsibilities and obligations as diplomats," Ambassador Richard Mills, deputy representative of the United States to the United Nations, said during a UN Security Council meeting Monday afternoon.
Russian Ambassador to the UN Vassily Nebenzia responded by saying Mills' explanation of the expulsions was "not satisfactory."

Russia expels 85 diplomats from France, Spain and Italy.​

May 18 (Reuters) - Russia said on Wednesday it was expelling a total of 85 embassy staff from France, Spain and Italy in response to similar moves by those countries, highlighting the damage to relations with leading European Union members since it launched its war on Ukraine.

The three countries are among European nations that have collectively thrown out more than 300 Russians since the Feb. 24 invasion. In many cases, they accused Russian diplomats of spying, which Moscow has denied.

Vyanzo: CNN na Reuters
 
IMG_20220722_163641_533.jpg

⚔️⚔️⚔️A large number of Ukrainian militants were captured by "O" forces near Seversk⚔️⚔️⚔️
 
Mbona swali ni rahisi sana, wewe Pro-Russia? Nimekuuliza SPECIFIC QUESTION kwamba una hakika gani kwamba huyo CIA wa mchongo alipata taarifa huko?

NB: It's not a general question like one of those ^Assess the factors contributing to deforestation in Sub-Saharan Africa^ lines.
 
View attachment 2299976

[emoji3538][emoji3538][emoji3538]A large number of Ukrainian militants were captured by "O" forces near Seversk[emoji3538][emoji3538][emoji3538]
Haya majamaa sijui yanawaza nini?

Hiyo Seversk tayari imeshaanguka badala yarudi huko Kramatosk- Slovyansk line of defense kujipanga yanaamua kukomaa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38].

Sasa yanakuwa pow wakati yangeweza kurudi nyuma ili yapate chansi ya kupigania siku nyingine.
 
Vita vinapiganika kirahisi kwenye kiibodi. Lakini fildi mambo ni tofauti kabisa. Njoo huku ujionee mwenyewe! Si rahisi kama unavyodhani.

Remember we simply take orders from the boss--if we don't comply then we're dead on the spot.
 
Mbona swali ni rahisi sana, wewe Pro-Russia? Nimekuuliza SPECIFIC QUESTION kwamba una hakika gani kwamba huyo CIA wa mchongo alipata taarifa huko?

NB: It's not a general question like one of those ^Assess the factors contributing to deforestation in Sub-Saharan Africa^ lines.
Kwahiyo William Burns ni jasusi wa mchongo, are you serious?

Wataka kujadili namna majasusi wanavyofanya kazi zao?

Maana hiyo ni mada ingine.

Ndugu, jaribu kuwa mwelevu kidogo.
 
MoD Russia: Russia’s defense ministry says its forces have destroyed four US-supplied high mobility artillery rocket systems (HIMARS) between July 5-20.

Majeshi ya Russia yajongelea kituo cha pili kikubwa cha nyuklia kilichopo sehemu iitwayo Vuhlehirska. Kituo hicho kipo kilomita 50 (maili 31) kaskazini mashariki mwa jimbo la Donetsk.

Kituo hicho kipo katika mpango mzima wa kijeshi wa Russia (military plan) kukamata miundombinu muhimu katika miji muhimu ya Kramatorsk na Sloviansk.

Wakati huohuo mashambulizi ya anga yamelenga mji wa Kharkiv huku gavana wa jimbo hilo bwana Igor Telekhov akiwasihi raia kutafuta maficho kujikinga na mashambulizi hayo.

Katika jimbo hilo la Donetsk majeshi ya Russia tayari yameshambulia na kuharibu majengo mbalimbali kama mashule katika miji hiyo ya Kramatorsk, Kostiantynivka, eneo kubwa la viwanda la Kramatorsk na katikati ya mji wa Bakhmut.

Wizara ya Ulinzi ya Russia pia imetangaza kuwa majeshi ya Russia yameidungua ndege ya kijeshi ya Ukraine aina ya SU-25 ambayo inasaidikiwa ilikuwa ikipeleka mzigo wa silaha kupitia sehemu ya Kramatorsk.

Mashambulizi yote haya yanofanywa na Russia yalenga kudhoofisha uwezo wa Ukraine kujibu mapigo na pia kuharibu silaha ambazo zahifadhiwa katika majengo na miundombinu mbalimbali kama mashule, maduka makubwa, viwandani na sehemu zenye maghala ambazo zote zilikwishaandaliwa na Ukraine kwa kipindi kirefu.

Chanzo: Telegram.

Hizi hqbari njema
 
Vita vinapiganika kirahisi kwenye kiibodi. Lakini fildi mambo ni tofauti kabisa. Njoo huku ujionee mwenyewe! Si rahisi kama unavyodhani.

Remember they simply take orders from the boss--if you don't comply then you're dead.
Nije wapi wewe [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Ni kweli wanachukua orders toka kwa superior wao.

Ila kamanda yoyote ni jukumu lao kuassess mazingira ya field ili achukue Maamuzi sahihi.

Kumbuka iwe scud na scud commander wao, section na section commander wao, platoon/Battalion na platoon commander wao, off course itahusisha pia Platoon/Battalion sergeant wao ambaye anacoordinate sehemu tofauti tofauti ndani ya platoon.

Ikumbukwe kazi kuu ya makamanda nje ya kupanga mapigano au waswahili wanasema kupiganisha ni kuassess hali ya kikosi chake na moto wa adui, morali ya wapiganaji wake na mambo ya logistics.

Sasa moto wa adui umekuwa mkali, tactical position za kwenu zimechukuliwa na kuendelea kuhold eneo inakuwa ngumu.
Je ukiwa wewe ndio kamanda utaruhusu wapiganaji wako wafe kindezi??[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]

Au utafanya tactical withdrawal kwenda kwenye sehemu utakayo kuwa na advantages [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Kumbuka hao Ukraine tatizo wanaoperate kila kamanda kivyake yaani Kraken batallions inaoperate kivyao na wanavyofanya Kharkov regiment hivyo hakuna Ile tactical coordination inayoeleweka.

Halafu maamuzi yanatolewa na Ile mipunga iliyopo kiev ambayo either hawana military experience and analysis au hawajui Hali halisi inayoendelea kule mstari wa mbele.

Ndio maana nikasema ni bora kuepusha vifa vya wapiganaji wao ili waende maeneo ambayo wao Ukraine Wana advantages.

Yaani eneo la Seversk tayari wanapokea heavy casualties na wapo kwenye kilee kilima Cha upande wa Magharibi ambacho Sasa wanapata heavy bombardment, huku wakianza kufagiwa
 
Back
Top Bottom