Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hao wote ni wanufaika wa vita vya Ukraine--directly or indirectly. Imagine Russia inahitaji turbines ili Germany apate gesi ambapo sasa atakuwa kiroho safi kuendelea kumpatia Ukraine military and economic aids zinazokusudiwa kumdhoofisha Russia again.

Russia halioni hili? NO WAY!

Ndiyo maana tukasema West wanataka na kutamani vita viendelee Ukraine. Ulaya yote wanataka na kutamani vita viendelee Ukraine. Russia inatamani na kutaka vita viendelee Ukraine. Ukraine yenyewe inataka na kutamani vita viendelee Ukraine.

Kwa kuzitaja hizo nchi , haina maana ya raia kama raia. NEVER! Kuna select few beneficiaries wa vita ndani ya kila moja ya nchi hizo. It's their long-standing business kama ambavyo wengine wanajihusisha na biashara ya kuuza matikiti.

This is what those selfish & wicked individuals don't want any of us to know. They're saying one thing, but at the same time clearly wish and work for another thing completely different and starkly opposed to it.
Kuna sehemu sijaelewa Kwa upande wa Russia nadhani anapenda Vita iendelee ili kuzilegeza west kwenye kiuchumi na kama west wataanguka kiuchumi na USA atafata maana bidhaa nyingi za marekani wanunuzi wakuu ni west kama west wataanguka kiuchumi maana yake bidhaa zinazozalishwa na viwanda vya marekani zitakosa soko na kusababisha anguko la uchumi la USA,

Sasa kinachonipa shida ni kuamini EU na NATO kutamani Vita iendelee wakati wanajua kama Russia ataichukua Ukraine maana yake mabilioni ya Dola na silaha walizomkopesha Ukraine zitakuwa zimepotea na hawana pa kudai, huku bado wanakumbwa na Hali mbaya ya uchumi sidhani kama wanataka Vita iendelee kinachowafanya waendelee ni aibu ya kushindwa Vita na wananchi wao watawauliza walishindwa vipi kuchukua hatua mapema kabla Hali haijawa mbaya?

Taifa ninaloliona linahitaji hii Vita iendelee Kwa muda mrefu ni USA na urusi

Marekani anataka Vita iendelee Kwa muda mrefu Kwa kuwa anaamini ndiyo njia sahihi ya kumchosha urusi na kujaribu hata kuchelewesha mipango ya urusi kuwa na ushawishi kuliko yeye wakati anatafuta plan B ya kuizuia urusi baada ya plan A kukwama

Urusi yeye lengo ni moja kuichosha kiuchumi west na kuiangusha utawala wa marekani na Dola yake
 
Ndo yale nayosema kwamba kuna watu kama wewe hamtafuti habari mwategemea habari za western Media.

Hivyo hufahamu kwamba mwanzoni mwa vita (mwezi February) Moscow walimtimua jasusi wa US na US ikawatimua Russia diplomats ambao kiukweli wana-cover shughuli zao kwa kazi za kijasusi?

Hizi taarifa zilitolewa mwanzoni kabisa na RT ambayo sasa imefungiwa kwenye nchi za west. Pia mwanzoni western media walikuwa wakitoa habari sahihi kwa matumaini kwamba Ukraine itaweza kuikabili Russia mapema.

Habari zingine ni kama hizi:

Russia expels second-highest ranking US diplomat in Moscow amid Ukraine tensions.​

Brent D. Griffiths

Feb 17, 2022, 3:29 PM

The State Department confirmed that Bart Gorman, the deputy chief of mission, was expelled. The department said Gorman's tour, where he holds the second-highest post beneath the ambassador, was not complete and he had a valid visa. It's not immediately clear why Gorman was expelled.

Gorman has worked for the State Department for decades, focusing mainly on diplomatic security and intelligence. He previously worked in Moscow from 2014 to 2016, according to his official bio.

US is expelling 12 Russian UN diplomats​

Richard Roth-Profile-Image
By Richard Roth, CNN

Updated 2117 GMT (0517 HKT) February 28, 2022

New York (CNN)The United States has asked 12 Russian United Nations diplomats to leave the US, accusing them of "espionage activities," as Russia continues its attack on Ukraine.
The Russian diplomats were asked to leave due to their alleged engagement in "activities that were not in accordance with their responsibilities and obligations as diplomats," Ambassador Richard Mills, deputy representative of the United States to the United Nations, said during a UN Security Council meeting Monday afternoon.
Russian Ambassador to the UN Vassily Nebenzia responded by saying Mills' explanation of the expulsions was "not satisfactory."

Russia expels 85 diplomats from France, Spain and Italy.​

May 18 (Reuters) - Russia said on Wednesday it was expelling a total of 85 embassy staff from France, Spain and Italy in response to similar moves by those countries, highlighting the damage to relations with leading European Union members since it launched its war on Ukraine.

The three countries are among European nations that have collectively thrown out more than 300 Russians since the Feb. 24 invasion. In many cases, they accused Russian diplomats of spying, which Moscow has denied.

Vyanzo: CNN na Reuters
Usipomuelewa huyu jamaa atakusumbua sana...😂
 
Likewise your WORDS themselves (apparently strange, obfuscated, impervious, and foggy) are as UNCONFIRMED as your fraudulence.

Or, are you being chased by the Iskanders, maybe?
😂😂😂

We ni pimbi sema ndio ha ha, Eti Chased by Iskander eishiii 🤪

Huyu jamaa anadhihirisha ile kauli ya akili ni nywele yeye ana upaa 😂

Kwahiyo William Burns ni jasusi wa mchongo, are you serious?

Wataka kujadili namna majasusi wanavyofanya kazi zao?

Maana hiyo ni mada ingine.

Ndugu, jaribu kuwa mwelevu kidogo.
Huyu nenda nae kiutan kama anavyokuja. Ukiwa serious atakusumbua mno.

Halafu maamuzi yanatolewa na Ile mipunga iliyopo kiev ambayo either hawana military experience and analysis au hawajui Hali halisi inayoendelea kule mstari wa mbele.
Au au au auuuu wanajua kilichopo field ila wanaamua kuwakaanga tu maisha yaendelee...

Wenyewe wana principle zao, wanadai wanaishi kwa kuongopeana ili morale isikate.
 
Kuna sehemu sijaelewa Kwa upande wa Russia nadhani anapenda Vita iendelee ili kuzilegeza west kwenye kiuchumi na kama west wataanguka kiuchumi na USA atafata maana bidhaa nyingi za marekani wanunuzi wakuu ni west kama west wataanguka kiuchumi maana yake bidhaa zinazozalishwa na viwanda vya marekani zitakosa soko na kusababisha anguko la uchumi la USA,

Sasa kinachonipa shida ni kuamini EU na NATO kutamani Vita iendelee wakati wanajua kama Russia ataichukua Ukraine maana yake mabilioni ya Dola na silaha walizomkopesha Ukraine zitakuwa zimepotea na hawana pa kudai, huku bado wanakumbwa na Hali mbaya ya uchumi sidhani kama wanataka Vita iendelee kinachowafanya waendelee ni aibu ya kushindwa Vita na wananchi wao watawauliza walishindwa vipi kuchukua hatua mapema kabla Hali haijawa mbaya?

Taifa ninaloliona linahitaji hii Vita iendelee Kwa muda mrefu ni USA na urusi

Marekani anataka Vita iendelee Kwa muda mrefu Kwa kuwa anaamini ndiyo njia sahihi ya kumchosha urusi na kujaribu hata kuchelewesha mipango ya urusi kuwa na ushawishi kuliko yeye wakati anatafuta plan B ya kuizuia urusi baada ya plan A kukwama

Urusi yeye lengo ni moja kuichosha kiuchumi west na kuiangusha utawala wa marekani na Dola yake
Umechambua vizuri ila nadhani sio kweli kwamba US inataka hi vita iendelee la hasha, suala muhimu kwa US na jitoa je kwenye hi vita? Ntawaeleza je wa lipa kodi wa US? Ntaaminika je kwa wafuasi wa Nato? Je ntabaki na ushawishi wa uchumi ni kijitoa? Hayo masuali yote yame jifisha kwenye vita bora kuendelea wakati wanatafuta plan b jinsi ta kujitoa.......US imeathiraka sana kuichumi dollars inaporomoka dhidi ya rubble ya Urusi

Kwa mda wa miongo kadha US na Western allies wali kua over rated na viomba vya habari vya magharibi, na dunia yote isipo kua Russia tu tuli aminishwa kwamba US na Nato are next only to God kiuchumi kisiasa na kijeshi, kumbe kwa 50% wana dependant economy kwa Russian cheap gas na fuel pamoja na soko la bidhaa zao, kama wananchi wa Poland Germany wana anza kujianda kutumia kuni kipindi cha baridi Urusi isipo wasaidia hapo unategenea nini

Tofauti iliopo kati ya hizo nchi za magharibi na Tz ni aina ya viongozi tulio nao mifumo ya democracy, mitizamo chanya ya wananchi wao, self confidence & sovereignty, na sisi kukosa viombo vya habari vya kimataifa kutufanyia propaganda, ila tuna wazidi kila kitu resources, za kutufanya kua independent kwa kila kitu na kujenga jeshi imara kuliko baadhi ya nchi zao.

In 50yrs tukirekebisha kasoro zetu Dar-es-Salaam can be more developed than London Berlin or Paris
 
Katika vita hii, tunafichwa taarifa nyingi sana na Vyombo vya Magharibi. Ingekuwa kuna uhuru wa vyombo vya habari na taarifa zinatolewa kwa uwazi, vita hii ingekuwa imemalizika kitambo.
Su 25 tokA lini inapeleka silaha? So transport aircraft hiyo

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Umechambua vizuri ila nadhani sio kweli kwamba US inataka hi vita iendelee la hasha, suala muhimu kwa US na jitoa je kwenye hi vita? Ntawaeleza je wa lipa kodi wa US? Ntaaminika je kwa wafuasi wa Nato? Je ntabaki na ushawishi wa uchumi ni kijitoa? Hayo masuali yote yame jifisha kwenye vita bora kuendelea wakati wanatafuta plan b jinsi ta kujitoa.......US imeathiraka sana kuichumi dollars inaporomoka dhidi ya rubble ya Urusi

Kwa mda wa miongo kadha US na Western allies wali kua over rated na viomba vya habari vya magharibi, na dunia yote isipo kua Russia tu tuli aminishwa kwamba US na Nato are next only to God kiuchumi kisiasa na kijeshi, kumbe kwa 50% wana dependant economy kwa Russian cheap gas na fuel pamoja na soko la bidhaa zao, kama wananchi wa Poland Germany wana anza kujianda kutumia kuni kipindi cha baridi Urusi isipo wasaidia hapo unategenea nini

Tofauti iliopo kati ya hizo nchi za magharibi na Tz ni aina ya viongozi tulio nao mifumo ya democracy, mitizamo chanya ya wananchi wao, self confidence & sovereignty, na sisi kukosa viombo vya habari vya kimataifa kutufanyia propaganda, ila tuna wazidi kila kitu resources, za kutufanya kua independent kwa kila kitu na kujenga jeshi imara kuliko baadhi ya nchi zao.

In 50yrs tukirekebisha kasoro zetu Dar-es-Salaam can be more developed than London Berlin or Paris
Umemaliza kila kitu mkuu 🤝🤝🤝
 
Kuna sehemu sijaelewa Kwa upande wa Russia nadhani anapenda Vita iendelee ili kuzilegeza west kwenye kiuchumi na kama west wataanguka kiuchumi na USA atafata maana bidhaa nyingi za marekani wanunuzi wakuu ni west kama west wataanguka kiuchumi maana yake bidhaa zinazozalishwa na viwanda vya marekani zitakosa soko na kusababisha anguko la uchumi la USA,

Sasa kinachonipa shida ni kuamini EU na NATO kutamani Vita iendelee wakati wanajua kama Russia ataichukua Ukraine maana yake mabilioni ya Dola na silaha walizomkopesha Ukraine zitakuwa zimepotea na hawana pa kudai, huku bado wanakumbwa na Hali mbaya ya uchumi sidhani kama wanataka Vita iendelee kinachowafanya waendelee ni aibu ya kushindwa Vita na wananchi wao watawauliza walishindwa vipi kuchukua hatua mapema kabla Hali haijawa mbaya?

Taifa ninaloliona linahitaji hii Vita iendelee Kwa muda mrefu ni USA na urusi

Marekani anataka Vita iendelee Kwa muda mrefu Kwa kuwa anaamini ndiyo njia sahihi ya kumchosha urusi na kujaribu hata kuchelewesha mipango ya urusi kuwa na ushawishi kuliko yeye wakati anatafuta plan B ya kuizuia urusi baada ya plan A kukwama

Urusi yeye lengo ni moja kuichosha kiuchumi west na kuiangusha utawala wa marekani na Dola yake
Kwenye aya ya pili inayoanza na maneno ^Sasa kinachonipa...,^ umejibu vyema swali lilelile ambalo umeliza: kwamba inakuwaje nchi za Ulaya zinazodhoofishwa na vita vya Ukraine vitamani tena viendelee?

Jibu lako: ^kinachowafanya waendelee ni aibu ya kushindwa Vita na wananchi wao watawauliza walishindwa vipi kuchukua hatua mapema kabla Hali haijawa mbaya?^

On top of that, wanatamani na kuchochea vita viendelee kwa sababu:

1. Marekani ndiye Head Boy wao. Kila wakifanya maamuzi fulani, mazuri au mabaya, lazima wamsikilizie HB anasemaje.

HB anatumia mwanya huo kupenyeza ajenda na maslahi yake binafsi. Ulaya wanapiga muziki wa kumfurahisha HB.

Hawataki kumkasirisha HB wao kwa sababu ndiye mwenye mkwanja mnono na ndiye mwanzilishi, mfadhili na msimamizi wa skendo ngumungumu na nzitonzito zote asizoziweza mwingineyo.

2. Beneficiaries ni the SELECT FEW. Wapo Ukraine, Ulaya, Marekani, na hata Russia yenyewe. Nina majina yao, sema tu Mods hawaruhusu kutajana majina humu.

3. Ulaya na Marekani wanatumaini kwamba somehow somewhere Mrusi atafikia hatua ya kuchoka (whatever that means), na wala si Ukraine ambaye ameahidiwa full support hadi tone la mwisho.

4. Personal hate against Putin. Europe have long since viewed Putin (not Russia per se) as their ^anthro-political^ threat. How to eliminate Putin? ^Any war can do that,^ so they say.
 
In the military hospital of Rostov-on-Don. Mzee Medinyoo

IMG_20220722_212842_558.jpg


IMG_20220722_212847_421.jpg
 
Vita vinapiganika kirahisi kwenye kiibodi. Lakini fildi mambo ni tofauti kabisa. Njoo huku ujionee mwenyewe! Si rahisi kama unavyodhani.

Remember we simply take orders from the boss--if we don't comply then we're dead on the spot.
Hao jamaa ni werevu. Ukikataa kupigana vipo vikosi kazi yake ni kuwa shoot wasaliti pia ukitaka kujikamatisha wanakushoot . Ukibahatika kuwa Pow ni fursa ya kuishi.
 
Back
Top Bottom