Msulibasi
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,957
- 8,005
Scotch earth techniqueHuu mji wa kramatorsk nazani utakuwa zaidi ya MariupolView attachment 2300414
Scotch earth techniqueHuu mji wa kramatorsk nazani utakuwa zaidi ya MariupolView attachment 2300414
Hayo maandish yanamaana gan???
Line ya kwanza mwenyewe sijaipata vizuri. Ila ya pili kwa chini ni "Россия" kama sijaenda chaka.
Россия 👉 Rossiya 👉 Russia
Wataje tu nitakulinda ila sitakutetea 😂😂😂
Mbona wengine wanatajwa kwa nin ukiwataja hao ukiuke kanun[emoji41][emoji41][emoji41]
Itakua majukum yamezidiHivi umeshajiuliza kwa nini mwenzangu ngaboru & T14 Armata hawaonekani sasa wiki ya pili inaenda kukata?
Hivi umeshajiuliza kwa nini mwenzangu ngaboru & T14 Armata hawaonekani sasa wiki ya pili inaenda kukata?
Lakini tuliambiwa kwamba sisi ni tajiri na twaweza kuwa "donor country" na watanzania kama kawaida yetu" ignorance" ikatupotezea tunu yetu tulopewa.Umechambua vizuri ila nadhani sio kweli kwamba US inataka hi vita iendelee la hasha, suala muhimu kwa US na jitoa je kwenye hi vita? Ntawaeleza je wa lipa kodi wa US? Ntaaminika je kwa wafuasi wa Nato? Je ntabaki na ushawishi wa uchumi ni kijitoa? Hayo masuali yote yame jifisha kwenye vita bora kuendelea wakati wanatafuta plan b jinsi ta kujitoa.......US imeathiraka sana kuichumi dollars inaporomoka dhidi ya rubble ya Urusi
Kwa mda wa miongo kadha US na Western allies wali kua over rated na viomba vya habari vya magharibi, na dunia yote isipo kua Russia tu tuli aminishwa kwamba US na Nato are next only to God kiuchumi kisiasa na kijeshi, kumbe kwa 50% wana dependant economy kwa Russian cheap gas na fuel pamoja na soko la bidhaa zao, kama wananchi wa Poland Germany wana anza kujianda kutumia kuni kipindi cha baridi Urusi isipo wasaidia hapo unategenea nini
Tofauti iliopo kati ya hizo nchi za magharibi na Tz ni aina ya viongozi tulio nao mifumo ya democracy, mitizamo chanya ya wananchi wao, self confidence & sovereignty, na sisi kukosa viombo vya habari vya kimataifa kutufanyia propaganda, ila tuna wazidi kila kitu resources, za kutufanya kua independent kwa kila kitu na kujenga jeshi imara kuliko baadhi ya nchi zao.
In 50yrs tukirekebisha kasoro zetu Dar-es-Salaam can be more developed than London Berlin or Paris
Hiyo ni chenga ya mwili, baada ya kuona jamaa zake wanapelekewa moto na hakuna Cha kuelezea[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]T14 Armata jana alisema ana kazi za kiserikali [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi ni macho na ubongo wangu ndio vinanisaliti katika kutafsiri picha za mwonekano wa wanajeshi wa ukraine wanaoshikwa na majeshi ya Rusia?View attachment 2299976
⚔️⚔️⚔️A large number of Ukrainian militants were captured by "O" forces near Seversk⚔️⚔️⚔️