CARDLESS
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 7,867
- 16,016
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Unajitahidi kujifariji.Wenzenu wamezungukwa huko Kherson... Ni swala la wao kujisalimisha au Himars iwateketeze
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Unajitahidi kujifariji.Wenzenu wamezungukwa huko Kherson... Ni swala la wao kujisalimisha au Himars iwateketeze
Ikukupendeza wataje... vifungu ni hivyohivyo bandungu wanavitumia mbona kuwataja wengine 😅😅 moja ratiba yake kila wk ni fixed.. mwingine ndio hivyo tena 😅😅😅Hivi umeshajiuliza kwa nini mwenzangu ngaboru & T14 Armata hawaonekani sasa wiki ya pili inaenda kukata?
Kupata vichekesho kama hivi bonyeza #Zelensky kisha tuma kwenda namba 24 02 2022Wenzenu wamezungukwa huko Kherson... Ni swala la wao kujisalimisha au Himars iwateketeze
Wewe na grandmaster mnanichanganya sana.Kwenye aya ya pili inayoanza na maneno ^Sasa kinachonipa...,^ umejibu vyema swali lilelile ambalo umeliza: kwamba inakuwaje nchi za Ulaya zinazodhoofishwa na vita vya Ukraine vitamani tena viendelee?
Jibu lako: ^kinachowafanya waendelee ni aibu ya kushindwa Vita na wananchi wao watawauliza walishindwa vipi kuchukua hatua mapema kabla Hali haijawa mbaya?^
On top of that, wanatamani na kuchochea vita viendelee kwa sababu:
1. Marekani ndiye Head Boy wao. Kila wakifanya maamuzi fulani, mazuri au mabaya, lazima wamsikilizie HB anasemaje.
HB anatumia mwanya huo kupenyeza ajenda na maslahi yake binafsi. Ulaya wanapiga muziki wa kumfurahisha HB.
Hawataki kumkasirisha HB wao kwa sababu ndiye mwenye mkwanja mnono na ndiye mwanzilishi, mfadhili na msimamizi wa skendo ngumungumu na nzitonzito zote asizoziweza mwingineyo.
2. Beneficiaries ni the SELECT FEW. Wapo Ukraine, Ulaya, Marekani, na hata Russia yenyewe. Nina majina yao, sema tu Mods hawaruhusu kutajana majina humu.
3. Ulaya na Marekani wanatumaini kwamba somehow somewhere Mrusi atafikia hatua ya kuchoka (whatever that means), na wala si Ukraine ambaye ameahidiwa full support hadi tone la mwisho.
4. Personal hate against Putin. Europe have long since viewed Putin (not Russia per se) as their ^anthro-political^ threat. How to eliminate Putin? ^Any war can do that,^ so they say.
The United States did not transfer fighter jets to Ukraine and does not intend to - they say.Wenzenu wamezungukwa huko Kherson... Ni swala la wao kujisalimisha au Himars iwateketeze
Are you sure ? Hata Corona, HIV, Cancer na magonjwa ya Figo na moyo wanaleta Hawa NATOBritish Ambassador for Peace to the UN Jane Goodall said that all our problems would be solved if the world's population was reduced by 90%.
Huyu bibi si mara yake ya kwanza kusema hili. Nina miaka zaidi ya 12 namsikia akilalamika kuhusu Population. Yeye kwake anaona matatizo yaliyopo duniani shida haswa ni wingi wa watu. Mshenzi kweli kweli.British Ambassador for Peace to the UN Jane Goodall said that all our problems would be solved if the world's population was reduced by 90%.
Weka na maelezo because sie hatuelewi ^key-two^ hapa. Unamaanisha kuna watu wanaingia peponi na wengine jehanamu soon, au?
Nchi imeanguka kwenye vita, imesambaratishwa completely, lakini itainuka na kuwa bora mara elfu kuliko most of the countries in Africa.Mambo yanaenda kwa mchakamchaka
View attachment 2300755
🙏Donetsk is planned to be completely restored in 3 years.
This was announced by the mayor of the capital of the DPR.❤️
Pro-nato Pateni habari kutoka kwa mnaemuamini
🇺🇲⚡Analysis of the situation in Ukraine from enemies
The main conclusions of the American Institute for the Study of War:
The United States has announced an additional $270 million security package for Ukraine.
▪️Russian troops carried out ground attacks east of Seversk and east and south of Bakhmut.
▪️Russian troops are trying to advance northwest of Donetsk.
▪️Ukrainian troops fought limited positional battles north of the city of Kharkov.
▪️Russian troops carried out local ground attacks near the border of Kherson and Mykolaiv regions.
▪️Head of the Donetsk People's Republic (DPR) Denis Pushilin signed a cooperation agreement with the head of the Kharkiv region, which indicates the Kremlin's intention to integrate the Kharkiv region into the Russian Federation.
Hawa usually wana tatizo linaitwa BB (more information PM with your credit card)!British Ambassador for Peace to the UN Jane Goodall said that all our problems would be solved if the world's population was reduced by 90%.
Ambao hawajui Khakive Oblast ni kubwa kuliko nchi ya Rwanda.Pro-nato Pateni habari kutoka kwa mnaemuamini
🇺🇲⚡Analysis of the situation in Ukraine from enemies
The main conclusions of the American Institute for the Study of War:
The United States has announced an additional $270 million security package for Ukraine.
▪️Russian troops carried out ground attacks east of Seversk and east and south of Bakhmut.
▪️Russian troops are trying to advance northwest of Donetsk.
▪️Ukrainian troops fought limited positional battles north of the city of Kharkov.
▪️Russian troops carried out local ground attacks near the border of Kherson and Mykolaiv regions.
▪️Head of the Donetsk People's Republic (DPR) Denis Pushilin signed a cooperation agreement with the head of the Kharkiv region, which indicates the Kremlin's intention to integrate the Kharkiv region into the Russian Federation.
Hata Zelensky alichumbiwa hivihivi eti amchokoze Putin wao wako ready anytime wangemsaidia zikiumana. Tumeni HIMARS & Howitzers kwanza ndipo biashara nyingine iendelee.Ikukupendeza wataje... vifungu ni hivyohivyo bandungu wanavitumia mbona kuwataja wengine 😅