Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kama ambavyo Ukraine na washirika wake NATO/US walivyojiandaa hivyo ndivyo pia Russia alijiandaa kwa hii vita.

Russia amesema hamalizi vita hadi hapo malengo yake yatapotimia.

Na juzi Russia amesema malengo yaeshabadilika na itabidi Russia iingie ndani zaidi hadi Kyiv.

Hakuna vita iso na gharama ila looser atakuwa Ukraine na Zelenski "winner" kwasababu hadi sasa anajihifadhia mabilioni huko Uswiss na kampuni yake ya kurekodi filamu.
Russia amekosa cha ku-present kwa deep state ndiyo maana ameomba wampe muda aone kama anaweza kufanya lolote la maana.

Anytime tutegemee uchaguzi Russia.
 
Russia amekosa cha ku-present kwa deep state ndiyo maana ameomba wampe muda aone kama anaweza kufanya lolote la maana.

Anytime tutegemee uchaguzi Russia.
Putin yupo hadi 2034

Au hufahamu hilo?

Ila yupo mrithi tayari na atajwa kuwa ni mwanae Patrushev ambae ni waziri wa kilimo.

Hivi hufahamu pia kuwa Putin ni coordinator wa Deep State:?
 
Taarifa za ndani kabisa zasema kuwa katibu wa baraza la ulinzi la Russia Nikolai Patrushev amenusurika kuawa kwa sumu na saa hivi yupo mapumzikoni baada ya kushughulikiwa hospitali.

Pia baadhi ya wazee wa zamani wa iliokuwa KGB wamefariki katika mazingira ya kutatanisha.

Kuna fukuto ndani ya Kremlin na fukuto hilo ladhibitiwa na mazee Medvedev ambae ana majukumu ya kuangalia ufanisi wa idara ya GRU.

Tukumbuke Russia ina idara za kijasusi zipatazo nne ambazo ni SVR, FSB, FSO inoshugulika na ulinzi wa viongozi wote na GRU ambao wana uwezo wa kumpata mtu popote alipo duniani.

Chanzo: telegram.
 
Umechambua vizuri ila nadhani sio kweli kwamba US inataka hi vita iendelee la hasha, suala muhimu kwa US na jitoa je kwenye hi vita? Ntawaeleza je wa lipa kodi wa US? Ntaaminika je kwa wafuasi wa Nato? Je ntabaki na ushawishi wa uchumi ni kijitoa? Hayo masuali yote yame jifisha kwenye vita bora kuendelea wakati wanatafuta plan b jinsi ta kujitoa.......US imeathiraka sana kuichumi dollars inaporomoka dhidi ya rubble ya Urusi

Kwa mda wa miongo kadha US na Western allies wali kua over rated na viomba vya habari vya magharibi, na dunia yote isipo kua Russia tu tuli aminishwa kwamba US na Nato are next only to God kiuchumi kisiasa na kijeshi, kumbe kwa 50% wana dependant economy kwa Russian cheap gas na fuel pamoja na soko la bidhaa zao, kama wananchi wa Poland Germany wana anza kujianda kutumia kuni kipindi cha baridi Urusi isipo wasaidia hapo unategenea nini

Tofauti iliopo kati ya hizo nchi za magharibi na Tz ni aina ya viongozi tulio nao mifumo ya democracy, mitizamo chanya ya wananchi wao, self confidence & sovereignty, na sisi kukosa viombo vya habari vya kimataifa kutufanyia propaganda, ila tuna wazidi kila kitu resources, za kutufanya kua independent kwa kila kitu na kujenga jeshi imara kuliko baadhi ya nchi zao.

In 50yrs tukirekebisha kasoro zetu Dar-es-Salaam can be more developed than London Berlin or Paris
Fact
 
IMG_20220723_164003_026.jpg

⚔️⚔️⚔️Not only does Russia have systems comparable to the HIMARS, it has systems that surpass it⚔️⚔️⚔️
 
🇭🇺 🇪🇺 Hungarian Prime Minister Viktor Orban on Ukraine and Europe's role:

✔️ Peace in Ukraine may be established only after the talks between Russia and the United States since Moscow wants security guarantees;

✔️ Europeans cannot mediate the Ukrainian negotiations anymore as Moscow is not willing to listen to the EU after the failure of the Minsk agreements;

✔️The task of the EU is not to take sides, but to stand between Russia and Ukraine;

✔️ Russia sanctions have not shattered Moscow's resolve, while Europe has already lost four governments amid economic and political crises;

✔️The Ukrainian conflict is likely to "put an end to the Western hegemony, and establish a "multipolar global order."
 
Taarifa za ndani kabisa zasema kuwa katibu wa baraza la ulinzi la Russia Nikolai Patrushev amenusurika kuawa kwa sumu na saa hivi yupo mapumzikoni baada ya kushughulikiwa hospitali.

Pia baadhi ya wazee wa zamani wa iliokuwa KGB wamefariki katika mazingira ya kutatanisha.

Kuna fukuto ndani ya Kremlin na fukuto hilo ladhibitiwa na mazee Medvedev ambae ana majukumu ya kuangalia ufanisi wa idara ya GRU.

Tukumbuke Russia ina idara za kijasusi zipatazo nne ambazo ni SVR, FSB, FSO inoshugulika na ulinzi wa viongozi wote na GRU ambao wana uwezo wa kumpata mtu popote alipo duniani.

Chanzo: telegram.
Lete source za kueleweka
 
Hii kali ya mwaka, halafu hao hao moto ukizima utawasikia ati ooh "We never negotiate with terrorist", hey What the fu©k with them?

Kumbe mbali na kulishwa tu hadi moto ukiwaka wana-subiri Russia aje awasaidie kuuzima? 🙄

Wazee wetu walitufahamisha kua anayeku-faa wakati wa Dhiki ndie rafiki sasa hawa kwanini anae wafaa kwenye dhiki wanamgeuza adui? Who to blame then? Russia? Hapana hiyo ni dhambi yao wapambane tu 😂

Msemaji wetu popote ulipo tunakutuma, waambie tuko busy kuwasha moto mashariki ya karibu hapo hivyo hatuna mda wa kuzima moto kwa sasa. Kama wakiweza waambie wajitahidi kuutunza maana "Winter is coming" so moto huo unaweza kuwapa manufaa makubwa sana bila Gas yetu... 😂
🤭😄🤣🤣
 
Kwamba hii vita Russia "itamgharimu kiuchumu" 🙄🤭

Dah kuna baridi ila wadau mnaishiwa maji mwilini hadi kwenye ubongo...

Ombi langu kwako tafuta sehem ukae upumzike, ukipata maji kunywa mengi sana mdau upunguze stress. Na kama hukumaliza dozi yako ya "mseto" jitahidi uimalizie maana hali si shwari.

Huu mwaka wenu 😂, Na mtapata tabu sana team USA. Mnatapa tapa mnoooo he he he ila endeleeni kujifariji.
👏👏👏👏🇷🇺
👏👏👏👏🇹🇿
👏👏👏👏Kwako
 
Back
Top Bottom