Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hungary ina mkataba na Gazprom wa bilioni 3.5 kwa mwaka kupata gesi. Serbia pia wana mkataba na Gazprom ambayo ndio kampuni ya gesi ya Russia.

Sasa juzi waziri wa mambo ya nje wa Hungary ameomba gesi yenye ujazo wa 700 milioni (cubic). Hungary yatumia mafuta asilimia 6.7.

Gesi hii si tu ni kwa ajili ya mafuta ya magari bali pia kuna gesi ya viwandani, majokofu, mahospitalini na kazi zingine.

Hivyo kila nchi yabeba mzigo wake na shida zake.
Sahii kabisa
 
Pro NATO mnachekesha sana

1. mlipopigwa khakov na khakiv mkaita
"strategic defeat"

2. mlipozingirwa na mkasurrender azovstal kule mariupol mkaita ni
"strategic evacuation"

3. Mlipozingirwa na mkasurrender azotstal kule severodonesk mkaita
"strategic withdrawal"

4. Kichapo kilipokolea kule luhansk na donesk mkaikimbia miji yenu mkasema
"Strategic retreat"

Sahv misaada imesitishwa mnaita "strategic pause"

Yaan pro NATO wote Sahv uchambuz wenu kwenye Hii Vita mtajikuta Kama mwalimu kashasha au dokta licky[emoji38]
Hio inaitwa war evacuation[emoji14][emoji14][emoji14]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya majamaa sijui yanawaza nini?

Hiyo Seversk tayari imeshaanguka badala yarudi huko Kramatosk- Slovyansk line of defense kujipanga yanaamua kukomaa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38].

Sasa yanakuwa pow wakati yangeweza kurudi nyuma ili yapate chansi ya kupigania siku nyingine.
Tatizo wanajeshi wanaishi kwa amri,
Mtoa amri Yuko zake Kiev,

Hajui tabu wanazokutana nazo wanajeshi wake uko Frontline.

Yeye Ni kusema TU "tusonge mbele".
Na wao wanatii[emoji38]
 
[emoji1126] [emoji1099] Hungarian Prime Minister Viktor Orban on Ukraine and Europe's role:

[emoji3581] Peace in Ukraine may be established only after the talks between Russia and the United States since Moscow wants security guarantees;

[emoji3581] Europeans cannot mediate the Ukrainian negotiations anymore as Moscow is not willing to listen to the EU after the failure of the Minsk agreements;

[emoji3581]The task of the EU is not to take sides, but to stand between Russia and Ukraine;

[emoji3581] Russia sanctions have not shattered Moscow's resolve, while Europe has already lost four governments amid economic and political crises;

[emoji3581]The Ukrainian conflict is likely to "put an end to the Western hegemony, and establish a "multipolar global order."
Kaongea fact tupu[emoji106]
 
Watu wameanza kujitambua na kuiunga mkono Urusi

#YURI ANALYTICS The meaning and context of the news about the newly-formed and trained Odessa Brigade - a Russian volunteer unit comprised of Ukrainian citizens from Odessa and Nikolayev willing to participate in the liberation of their home cities.

Español: @rpd_es
 
Mwanzo wa mwisho wa US na Dola zake umbwa huyu[emoji34][emoji35][emoji34]

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilichogundua,
USA Ni superpower wa mchongo,
Huyu Putin katufumbua mengi mno,

Kumbe Jamaa ukilia shida,
anaingia stationary anaprint minoti kibao na kukupa Kama msaada kwa masharti ya kubeba rasilimari zako na kuzipa upendeleo kampuni zake.

Hii imemfanya kuzd kuneemeka miaka na miaka kwa shida za waafrika[emoji3525]
 
Marekani njooni mchukue uchafu wenu
20220723_203300.jpeg
20220723_203250.jpeg
 
Kuna uwezekano Urusi kuanzisha mashambulizi ya ardhini kuingia oddesa na mykolaiv ha ha ha ha ha

Jana nilicheka wanajeshi wa Ukraine walikamatwa huko kherson na kuchezeshwa ule umchezo wa kibongo ukuti ukuti ukuti
Ukraine kijesih na kivita bado Sana,
Afu eti Ndo Hawa wamekua wakitrainiwa na USA tangu 2014[emoji848]

Sasa Kama wapiganaji wenyewe waliofunzwa Ndo Hawa,
vipi hao walimu wao wako ktk Hali gan uko wanafunz wao wanazid kuwatia aibu[emoji16]
 
Kukomesha upuuzi huu wa USA na like mind wenzake,binafsi napendekeza Urusi ijitose moja kwa moja ie afanye full mobilization na kutangaza vita kamili wahachane kupigana vita kindugu ndugu wakihofia kuwaua waslav wenzao.

Putin akiwa na huruma huruma za Kipadri/Askofu Waamerika wataitumia Ukraine kikamirifu kuihujumu Urusi kiuchumi na kuhidhoofisha kijeshi - USA wako determined kweli kweli kuimaliza Urusi kwa kupitia mbinu za ku-wage proxy war kwa muda mrefu.

As I said, Putin na jeshi lake wapigane kwa kasi na nguvu zaidi wakiwa na lengo la kuiondoa madarakani Serikali ya Zelensky. Repeat, Putin akifanya makosa ya ku-delay kumuondoa madarakani Zelensky na Serikali yake basi washauri wa Zelensky watamwambia ili kuwakomesha Warusi itabidi ashambulie St. Peterburg, Moscow na Crimea kwa kutumia roketi/makombora ya masafa marefu na kwa kuwa Zelensky akili zake ziko fyatu kidogo atakubaliana na mapendekezo hayo hatarishi ambayo yanaweza yakawa chanzo cha WW3 - my opinion.

Narudia kuwa kumbusha watu kwa mara nyingine tena kwamba kwa usalama wa Taifa la Urusi na Dunia kwa ujumla, Putin na jeshi lake wafanye juu chini kumuondoa madarakani Zelensky na Serikali yake.
Sahihi MKUU ila hili lakushambulia MOSCOW na St
Mzee hilo hata Elensky sidhanii kama kaishawahi kuwaza
Naakijaribu atajikuta yupo mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii kali ya mwaka, halafu hao hao moto ukizima utawasikia ati ooh "We never negotiate with terrorist", hey What the fu[emoji2398]k with them?

Kumbe mbali na kulishwa tu hadi moto ukiwaka wana-subiri Russia aje awasaidie kuuzima? [emoji849]

Wazee wetu walitufahamisha kua anayeku-faa wakati wa Dhiki ndie rafiki sasa hawa kwanini anae wafaa kwenye dhiki wanamgeuza adui? Who to blame then? Russia? Hapana hiyo ni dhambi yao wapambane tu [emoji23]

Msemaji wetu popote ulipo tunakutuma, waambie tuko busy kuwasha moto mashariki ya karibu hapo hivyo hatuna mda wa kuzima moto kwa sasa. Kama wakiweza waambie wajitahidi kuutunza maana "Winter is coming" so moto huo unaweza kuwapa manufaa makubwa sana bila Gas yetu... [emoji23]
Ningekua Putin,
Namiminia petroli kabisa Moto uchochee[emoji4]
 
Back
Top Bottom