Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

View attachment 2301053

[emoji1069][emoji634]The authorities of Italy and Spain accused Russia of inaction in the situation with forest fires in their countries

Residents wonder why Russian aviation is not helping them with forest fires this year [emoji849][emoji849][emoji849]
Hawa nao wamekuwa kituko...... Wapambane na mfumuko wa bei..... Huo moto ni kichekesho..... Kuna wenzao wanashushughulikiwa na Iskander....
 
Huu mwandiko na fact ni wa kijana ambae anakula na kulala kwa jasho la Wazazi wake, hajui hata bei ya kipande cha sabuni ndo maana anaona bila Ulaya na USA duniani hakuna maisha[emoji23][emoji23]
#Vijana Acheni u kula kulala Jitegemeeni mpate mawazo tegemezi.

Haya sasa turudi kwenye mada.
Moja: Watery Siyo kweli bila Ulaya na Marekani teknolojia yetu itasimama nadhani umeamua tu kujifunga akili mwenyewe na kuwa kipofu wa Ubongo, maana kama ungekuwa unaona na akili imefunguka kwa dunia ya leo usingetamka hiyo kauli.

Pili: Sijui unaongelea teknolojia ipi hiyo itakayo simama!!, Umetolea mfano simu kuzima, kitu ambacho hakipo kabisa kwani simu hazitengenezwi Ulaya na marekani tu. China, S.korea, Japan na nk wanatengeza mamilion ya simu. Na 80% ya watanzania wanatumia simu kutoka China na siyo Ulaya&USA mfano wa hizo simu ni Tecno, Infinix,Itel mobile, Vivo, OPPO, Xiaomi na n.k Zote niza China. Pia kuna Samsung, KT tech na Patench zote kutoka S.korea. Mobicel, Vodacom, MTN na telecom zote kutoka S.Afrika. Sony, Panasonic, Sansui na NEC kutoka Japan.

Tuje kwenye teknolojia ya Magari; Asilimia kubwa ya magari unayopishana nayo hapo mtaani yametoka Asia hasa Japan na siyo Marekani au Ulaya.

Tuje kwenye teknolojia ya Silaha: Silaha hazitengenezwi Ulaya na marekani tu. Iran, India, China, N.korea wote hao wana silaha hatari na nzito (Nukes) walizo tengeneza wao wenyewe bila msaada wa Ulaya na Marekani.

Tuje kwenye teknolojia ya Miundo mbinu kama Barabara, Reli, Meli, madaraja na n.k. Asilimia kubwa ya ujenzi wa miundo mbinu tajwa hapo inayoendelea au iliyo jengwa nchini ni products ya wataalamu kutoka Asia hasa China, korea na Japan.

TUTOKE KWENYE TEKNOLOJIA SASA TURUDI KWENYE MAISHA YA UHALISIA.

IPO HIVI: Ukiwa na Miguu unaweza fikri huwezi kutembea bila miguu, Ukiwa na macho yanayo ona vizuri unaweza fikri huwezi kutembea bila Macho, ila Siku let say Macho yakapoteza uwezo wake wa kuona amini nakwambia utatembea bila muongozo wa macho rejea (Vipofu wanavyoishi)

Maana yangu ni ipi?
Afrika siyo kwamba hatuwezi kutengeneza Simu, magari, meli, silaha, na n.k tatizo ni moja uwepo wa watu weupe ndo umetufanya tudumae akili na kufikir hatuwezi bila wao, ila siku wakitoka tukabaki sisi tu watu weusi, ni suala la muda mfupi tu, Ideology itabadilika na tutaanza kutengeneza vitu hivo wenyewe zaidi na zaidi. Sasaiv hatuoni umhimu wa akili zetu kwasababu ya uwepo wa akili za mtu mweupe ila siku huyo mtu mweupe akitoka duniani tukabaki sisi tu ndo tutaona umhimu wa akili zetu na uwezo wake.

Mfano mwingine;
Kuna watu wamezaliwa kwenye familia za kishua haswa kiasi cha kutofahamu kama duniani kuna shida kama vile kukosa chakula, pesa na nk. Kwasababu kila kitu wanachokitaka kinafika kwa wakati na wana fanyiwa kila kitu na wazazi wao, Ila siku ikitokea wazazi wakatangulia mbele za haki na Mali zikapukutika, hao watoto wakishapigwa na shida za dunia ndo pale akili ya U Junior itakapo watoka na kuja akili ya watoto wa mama Ntilie na Wasaka tonge na hapo ndo watajua kuwa kumbe hakuna kazi ambayo haiwezekani hata zile walizo kuwa wakidhani haziwezekani.
Ndo kama wewe ( Watery ) sasa unaedhani bila Ulaya na Marekani simu yako itazima, kwababu tu hao Mabwana bado wapo, ila siku wakitoweka amini nakwambia akili hiyo itabadilika na simu hiyo haitazima kwa kutumia akili yako mpya.

Mwisho: Ukipata muda kasome THEORY OF LIFE hasa Darwinism and Lamarckism theory ambapo moja inaelezea Survive for the fitest (how a man can survive and adopt for the environment) nyingine Use and dis Use theory. Wa afrika wengi Vichwa vyetu vimekuwa makopo tu kwasababu hatuvitumii ipasavyo (dis-Use) finally they will become weak and disappear according to the Use and Dis-use theory.
Ukizisoma hizo theory vizuri harafu ukaanza kuzi relate na maisha halisi ya Blacks and Whites ndo utajua kwanini Sisi tupo hivi na wazungu wapo vile hasa kiakili.

Nawasilisha Jibu langu[emoji120] bila kuathili msimamo wangu wa "I stand with a man who saved the world VVP"[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635].
Hongera MKUU
Nadhani kaelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 2298397
[emoji845][emoji631][emoji2407][emoji630]The United States is losing influence in the UN because of its debt to this organization, said US Ambassador to the UN Linda Thomas-Greenfield.

According to her, the debt to the UN makes it difficult to influence the processes taking place there.

The US Permanent Representative noted that she has to listen to reminders about debt every day and admitted that she has to compete with China for every niche that China is trying to fill in the absence of the US there.

Thomas-Greenfield stated that it is not a shame to have a large debt, but this problem must be solved in order to be able to influence the activities of the UN.
Tukisema sisi weusi kwamba US anapotea tunaonekana waongo
Gooo PUT IN

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu labda tuseme habari ziwe verified na western media.

Ila ukiingia telegram utapata habari motomoto za kuhusu Kremlin.

Mmiliki wa telegram ni mrusi na aliwahi kufanya kazi Kremlin na akatimkia kwenye nchi moja jina kapuni ndiko kwenye servers za telegram.
So huko uarabuni hamna cha kuficha
 
Mambo yanaanza kugeuka.
[emoji1126][emoji635]The meeting of the Foreign Ministers of Russia and Hungary begins in Moscow.

HUNGARIAN FM"First of all, I would like to talk about how to make Hungary's energy supply safer in the coming months. This is one of the most important issues of our bilateral cooperation. And in the current international situation, the most important thing for us is to ensure Hungary's energy security. Therefore, I would like to agree that the existing volumes of gas supplied to Hungary should be increased. My Government has authorized me to negotiate on this issue. That's why I'm in Moscow today": Yesterday the European Union decided to completely abandon Russian gas, and today the Hungarian Foreign Minister flew to Moscow to ask to increase supplies.
Eurosolidarity in its purest form.
MOSCOW kila goti litapigwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahio kina Boris wanataka waanze kula washwasha 😂😂😂
Extrovert mimi haya mambo yananiudhi kwa kuwa NWO Elite,morons wao na stooges wamefika mahali sasa wametuona sisi Binadamu ni Zombies,so we can do anything they tell us,hata kula mawashawasha.Lakini sishangai,baada ya kutingisha viberiti huko nyuma tukatii,na worst scenario in C-19 tukatii kufungwa matambara midomoni na kufungiwa ndani kama Ng'ombe,nini kitawazuia sasa kutulisha mawashawasha?Lakini siajabu na watu watatii,na tutaanza kuona stooges na morons wa NWO wakituambie mende wa chooni hawana shida,ni a good source of protein!Ni dharau sana.Shame on them.
 
Extrovert mimi haya mambo yananiudhi kwa kuwa NWO Elite,morons wao na stooges wamefika mahali sasa wametuona sisi Binadamu ni Zombies,so we can do anything they tell us,hata kula mawashawasha.Lakini sishangai,baada ya kutingisha viberiti huko nyuma tukatii,na worst scenario in C-19 tukatii kufungwa matambara midomoni na kufungiwa ndani kama Ng'ombe,nini kitawazuia sasa kutulisha mawashawasha?Lakini siajabu na watu watatii,na tutaanza kuona stooges na morons wa NWO wakituambie mende wa chooni hawana shida,ni a good source of protein!Shame on them.
Agenda namba moja ya kila taifa, EXCEPT Tanzania, ni NWO
 
Extrovert mimi haya mambo yananiudhi kwa kuwa NWO Elite,morons wao na stooges wamefika mahali sasa wametuona sisi Binadamu ni Zombies,so we can do anything they tell us,hata kula mawashawasha.Lakini sishangai,baada ya kutingisha viberiti huko nyuma tukatii,na worst scenario in C-19 tukatii kufungwa matambara midomoni na kufungiwa ndani kama Ng'ombe,nini kitawazuia sasa kutulisha mawashawasha?Lakini siajabu na watu watatii,na tutaanza kuona stooges na morons wa NWO wakituambie mende wa chooni hawana shida,ni a good source of protein!Ni dharau sana.Shame on them.
Mimi sio miongoni mwa watu waliotii na hata chanjo yao siwezi tumia. Labda nife
 
Hawa ******* USA itakuwa wanadaiwa kafara la damu na lucifer damu za watu million kadhaa wanzitafuta kwa hali na mali la sivyo empire yao iliojengwa kichawi itaanguka.

Hiki kitu wanaongelea cha kupunguza idadi ya watu kwa asilimia 9O ili wabakie wao tu. Sijui hata wanawaza nini Russia uwa washenzi
wote tuko nyuma yako. US must go to hell!!!
Halafu haka kamama kako kushugurika na masokwe inawezekana akili zimehamia huko
 
Majeshi ya Russia yajongelea kituo cha pili kikubwa cha nyuklia kilichopo sehemu iitwayo Vuhlehirska. Kituo hicho kipo kilomita 50 (maili 31) kaskazini mashariki mwa jimbo la Donetsk.

Kituo hicho kipo katika mpango mzima wa kijeshi wa Russia (military plan) kukamata miundombinu muhimu katika miji muhimu ya Kramatorsk na Sloviansk.

Wakati huohuo mashambulizi ya anga yamelenga mji wa Kharkiv huku gavana wa jimbo hilo bwana Igor Telekhov akiwasihi raia kutafuta maficho kujikinga na mashambulizi hayo.

Katika jimbo hilo la Donetsk majeshi ya Russia tayari yameshambulia na kuharibu majengo mbalimbali kama mashule katika miji hiyo ya Kramatorsk, Kostiantynivka, eneo kubwa la viwanda la Kramatorsk na katikati ya mji wa Bakhmut.

Wizara ya Ulinzi ya Russia pia imetangaza kuwa majeshi ya Russia yameidungua ndege ya kijeshi ya Ukraine aina ya SU-25 ambayo inasaidikiwa ilikuwa ikipeleka mzigo wa silaha kupitia sehemu ya Kramatorsk.

Mashambulizi yote haya yanofanywa na Russia yalenga kudhoofisha uwezo wa Ukraine kujibu mapigo na pia kuharibu silaha ambazo zahifadhiwa katika majengo na miundombinu mbalimbali kama mashule, maduka makubwa, viwandani na sehemu zenye maghala ambazo zote zilikwishaandaliwa na Ukraine kwa kipindi kirefu.

Chanzo: Telegram.
Habari njema sana hizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilichogundua,
USA Ni superpower wa mchongo,
Huyu Putin katufumbua mengi mno,

Kumbe Jamaa ukilia shida,
anaingia stationary anaprint minoti kibao na kukupa Kama msaada kwa masharti ya kubeba rasilimari zako na kuzipa upendeleo kampuni zake.

Hii imemfanya kuzd kuneemeka miaka na miaka kwa shida za waafrika[emoji3525]

Umemaliza chief, kiburi cha US ni dollar kwasababu ya international transactions na wahuni washasanuka dollar itapigwa chini nadhani mmeshaanza kuona inflation inavyopaa huko kwao afu kuna taarifa nilisoma inasema ile inflation ya 9.2% tunayoambiwa sio kweli ni zaid ya hapo.

US anaprint pesa anawakopesha mnarejesha na faida juu inshort nyie ndo mnakuza uchumi wake[emoji23][emoji23]. Kila jambo lina mwisho na hakuna marefu yasiyo na ncha.
 
Back
Top Bottom