Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

If anything, hii inasaidia kuwapembua wenye PROPAGANDA na wale ambao daima wamekuwa wakisema ukweli.

A simple, thoughtful question: Waliotudanganya kuhusu afya ya Putin wametuingiza mkenge mambo mangapi?
@britanicca akiwa mpiga ZUMARI[emoji35][emoji34][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Russia wanalia lia mara wanapigana na wanajeshi wa maabara sijawaelewa kabisa,
Russia hii vita itamgharimu kiuchumu na Ulaya hapo pia lakini US anacheki game kama kwenye vita ya kwanza na ya pili,
Bado US atakuwa na nguvu tu.
Russia nae anaona aibu kuacha vita.
Hivi inaingia akilini kwamba Urusi ilikurupuka kuingia vitani bila ya kujitayarisha kwa kufanya maandalizi ya muda mrefu na ya kutosha? - come on!! FYI Russians are no fools,they knew what they were up against and how to go about it - walisha jiwekea contigence plans za kufanya in case NATO specifically the USA ikijiingiza kichwa kichwa kwenye mgogoro huu wa Ukraine, kama NATO wange thubutu kufanya makosa hayo,basi Russia ingekomesha ujinga wa western alliance against Russia once and for all.

Nyie subirini mtakuja kuniambia-Urusi msiichukulie poa hata kidogo, we unafikiri kwa nini USA haitaki kujiingiza moja kwa moja kwenye vita hii badala yake wanaitumia Ukraine kupigana a proxy war on USA'S behalf, kwa nini? Si USA wana airbases chungu mzima barani Ulaya, mbona hawarushi B-52, B-2, Apache chopper gunships, F-15, 16, 18, 22, 35 kwenda kuchakaza majeshi ya Urusi nchini Ukraine, si NATO wanajifanya magangwe wa vita na waonezi wa Mataifa ambayo ni madhaifu kijeshi - sasa wajaribu kwa Urusi ili tuone matokeo yake yatakuwaje?

One more thing ambacho NATO specifically US inapashwa kutambuwa ni hiki hapa: Katika vita hii Urusi haipo peke yake, wenzake walio anza kuchoshwa na mwenendo na provocations za kila mara za jeshi la USA kwenye anga na majini(Seas and Oceans) zilozopo karibu na Mataifa yao, hivyo kwa kuhofia usalama wa Mataifa yao dhidi ya USA wakaishauri Urusi alianzishe kwanza, halafu wenzie waje kuingia baadae kwa kuchangia kwa hali na mali (wanajeshi,silaha ndege za vita,manowali,nyambizi nk) watafanya hivyo kwa lengo la kusaidiana na Urusi ili wakomesha ufedhuli wa NATO na kiranja wao mkuu, wanajuwa fika kwamba wakiendelea kuiacha/ruhusu US kufanya apendalo bila ya kupewa kipigo kitakatifu na kuhakikisha inapigika kweli kweli making sure it will never rise again kuwa tishio kwa Mataifa ya Urusi , Uchina,Syria and Iran - repeat, ili USA isiendelee kuwa tishio tena, kwa sababu they finally realised that no one will be safe: si China, Korea Kaskazini, Iran wala Syria kwa hiyo ni kheri kushirikiana na kusaidiana na Urusi kukomesha vitendo vya kijambazi vya kuchonganisha mataifa yasielewane, chokochoko na kuhujumu mataifa shindani kwa kulazimisha yawekewe vikwazo vya kiuchumi and all demonic vices you can imagine, who can blame them.
 
Yani germany wakiambiwa ata leo nchi yao iwe mkoa wa Russia [emoji1787][emoji1787] bila shaka watakubali walikuwa na hali mbaya sana yani leo wamefurahia gesi kuanza kuja kwao wakifikiria viwanda vyao vikubwa vingefungwa Pro nato inabidi watambue na wajue kabisa Russia akisema azuie gesi yake isiende Uerope japo kwa miezi 3 tu Civil war inatokea
Hv samahani MKUU umeasi lini huko pro NATO!!!??
Ama nimechanganya id !!!??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umemaliza chief, kiburi cha US ni dollar kwasababu ya international transactions na wahuni washasanuka dollar itapigwa chini nadhani mmeshaanza kuona inflation inavyopaa huko kwao afu kuna taarifa nilisoma inasema ile inflation ya 9.2% tunayoambiwa sio kweli ni zaid ya hapo.

US anaprint pesa anawakopesha mnarejesha na faida juu inshort nyie ndo mnakuza uchumi wake[emoji23][emoji23]. Kila jambo lina mwisho na hakuna marefu yasiyo na ncha.
Huwa nachanganyikiwa na kukasirika sana nikitafakari habari ya kuprinti makaratasi kama pesa na kutumia kama njia ya kufanya mbadilishano wa real asset ama commodity.
 
Hivi inaingia akilini kwamba Urusi ilikurupuka kuingia vitani bila ya kujitayarisha kwa kufanya maandalizi ya muda, mrefu? - come on!! FYI Russians are no fools,they know what they are up against - wamejiwekea contigence plans chungu mzima za kukomesha ujinga wa western alliance against Russia once and for all.

Nyie subirini mtakuja kuniambia- Urusi msiichukulie poa hata kidogo, we unafikiri kwa nini USA haitaki kujiingiza moja kwa moja kwenye vita hii badala yake wanaitumia Ukraine kupigana a proxy on USA'S behalf, kwa nini? Si wana airbases chungu mzima barani Ulaya mbona hawarushi B-52,B-2,Apache chopper gunships, F-15,16,18,22,35 kwenda kuchakaza majeshi ya Urusi nchinita one more thing Urusi haipo peke yake katika ugomvi huu, wenzake walimshauri alianzishe kwanza wenzie wataingia baadae ili wachangie kwa hali na mali (wanajeshi,silaha ndege za vita,manowali,nyambizi nk) watafanya hivyo kusaidiana na Urusi ili kukomesha ufedhuli wa NATO na kinara wao, wanajuwa fika kwamba wakiendelea kuiacha US kufanya apendalo bila ya kupewa kipigo kitakatifu no one will be safe si China, Korea Kaskazini, Iran wala Syria kwa hiyo ni kheri kushirikiana na kusaidiana na Urusi kukomesha vitendo vya kijambazi vya kuchonganisha mataifa yasielewane, chokochoko na kuhujumu mataifa shindani kwa kulazimisha yawekewe vikwazo vya kiuchumi
Well-said!

Taarifa za hivi karibuni zinadai kitendo cha awali mwezi Februari cha wanajeshi wa Putin kuelekea Kiev ilikusudiwa kuwachanganya Ukraine wasijue malengo ya Putin anataka nini hasa.

Wakakimbilia wote kuilinda Kiev, na kuwaachia Warusi mwanya wa kuingia na kujipanga kwenye ukanda wa Donbas.

Kumbuka unapoivamia nchi, mwenye advantage ni mvamiwa kwa sababu hujui amejificha wapi at the moment.

All in all, kauli za Putin kwamba the world will never be the same again, imemshtua sana Mmarekani.

Nani ajuaye? Pengine mwakani tukamshuhudia Joe Biden akija kuomba msaada wa chakula na wawekezaji Tanzania, after US kufilisiwa na Putin.
 
Ogopa sana kushindana na mtu mwenye akili afu Smart utaishia kutia AIBU ndo yanayomkuta US na ndugu zake West. Kila mbinu wanayotumia ili kumuangusha Russia mwezie tayari alishawasoma anapangua anapiga next move anawasikilizia.

Usishangae kuona mataifa hayo ambayo tunaambiwa yana intelligence ya hali juu yanazidiwa na intelligence ya taifa moja. Kinachotokea nchi zao zinazid kuwa na hali mbay kiuchumi bado kisiasa[emoji1316][emoji1316].

Ukisikiliza kwa makini speech za Putin utajua hawa jamaa walijipanga hawabahatishi wanajua nini wanafanya. Next move zao ni kama kete kwenye draft na kila kete wanayocheza ni ya moto.

Hivi wale watu ambao walikua wanasema Russia vikwazo alivyopewa hatoboi mwezi sahivi wako wapi? wananini cha kusema kipya?? waliosema Putin atapinduliwa?? aibu ni kwamba kila siku warussi wanazidi kumuunga mkono kamanda wao. Lakini upande wa pili tunaona serikali zao zinavozodi kuanguka.

Russia anaishi kama hana vikwazo na uchumi unazid kupaa nadhani mataifa mengi yamepata somo kumbe unaweza ishi bila vikwazo na uchumi wako ukatulia, Russia ushawishi wake na mataifa mengine unazidi kuongezeka na wengi wanajiuliza inawezekanaje upewe vikwazo na uendelee kudunda?? lahashaa!! Tumejua Russia ni Superpower ni tegemeo la dunia nzima.

Embu assume vikwazo alivyopewa Russia angepewa US hali ingekuaje kwa hili taifa?? Muda sana uchumi wao ungekua ulishakufa sahivi dollar ingekua sawa na Tshs


Ndomana sikuzote huwa nasema ogopa sana kushindana na mtu aliyekuzidi akili utaishia kuaibika tu maana wewe utakwenda kwa Pupa na hata ukienda kwa akili mwenzako bado atatumia akili zaidi maana kakuzidi.

NB: ulishawai jiuliza ikitokea Russia Kaondolewa vikwazo vyote uchumi wake utakuwaje??
Bado utakua sawa na jimbo moja la nyuu yoki[emoji23][emoji16][emoji23]
MOSCOW KILA GOTI LITAPIGWA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hi vita siyo ya kushabikia wakuu ,inavyoelekea kuna upande utaumbuka sana ,yetu macho ila mda utasema tuu.bora ukae kimya acheni habari za kukopi media za online mkifikiri zina ukweli kuhusu hii vita ,hii vita subirini finally
Leo hii[emoji23][emoji16][emoji23]
Pro NATO akili zenu halisi sasa zimerejelea eeeh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukraine kijesih na kivita bado Sana,
Afu eti Ndo Hawa wamekua wakitrainiwa na USA tangu 2014[emoji848]

Sasa Kama wapiganaji wenyewe waliofunzwa Ndo Hawa,
vipi hao walimu wao wako ktk Hali gan uko wanafunz wao wanazid kuwatia aibu[emoji16]
Hao ni servicemen wamefundishwa kidogo sana kupitia videos na kuelekea front bora hata JKT wetu walipopelekwa vitani Kagera. Toka mwanzo wataalam walisema kama Mauripol itaanguka basi asilimia tisini Russia anashinda. Nationalist ndio walikua askari walioiva na waliitesa Russia wakajichanganya kuingia kwenye handaki
 
[emoji1126] [emoji1099] Hungarian Prime Minister Viktor Orban on Ukraine and Europe's role:

[emoji3581] Peace in Ukraine may be established only after the talks between Russia and the United States since Moscow wants security guarantees;

[emoji3581] Europeans cannot mediate the Ukrainian negotiations anymore as Moscow is not willing to listen to the EU after the failure of the Minsk agreements;

[emoji3581]The task of the EU is not to take sides, but to stand between Russia and Ukraine;

[emoji3581] Russia sanctions have not shattered Moscow's resolve, while Europe has already lost four governments amid economic and political crises;

[emoji3581]The Ukrainian conflict is likely to "put an end to the Western hegemony, and establish a "multipolar global order."
Moja ya mawaziri wakuu wanao jielewa ulaya ni huyu PM Orbán ndo maana alishinda kwa kishindo kikubwa na nchi yake imetulia hakuna makasiriko na kulialia hovyo.

A man is a leader, he deserve to be appreciated and respected [emoji817]
 
Lithuania kapigwa mkwara na Petroshev na leo wameachia njia Russia kufanya mambo yake.

Kaliningrad row: Lithuania lifts rail restrictions for Russian exclave​

Lithuania has lifted a ban on the rail transport of sanctioned goods in and out of the Russian area of Kaliningrad.

Kaliningrad is on the Baltic Sea and uses a rail link to Russia via Lithuania for passengers and freight.

Russia was enraged when Lithuania banned the transit of steel and other ferrous metals under EU sanctions last month, and threatened to respond.

But now Lithuanian Railways says it will resume transporting goods to the exclave.
The European Union last week said the transit ban only affected road, not rail, transit, and Lithuania should therefore allow Russia to ship concrete, wood and alcohol across EU territory to Kaliningrad.

Russia's Tass news agency cited a Kaliningrad government official as saying 60 wagons of cement would soon be shipped into the territory.

Source: BBC, Reuters and Tass
Putin akimaliza operation ya kuikomboa Ukraine yote, aitupie jicho na hii NCHI kabla wanajeshi hawajapoa akitoka hapo amalizie na kiherehere Poland.
 
🇺🇳 The UN said that Russia may not have violated the agreement on the export of Ukrainian grain by shelling the port of Odessa. The words of an unnamed representative of the organization are quoted by The New York Times.

According to the official, "technically, Russia may not have violated the deal, since it did not commit to avoid attacks on those parts of Ukrainian ports that are not directly used for grain exports."

Yea, you got that right unnamed cuck🌚
 
In regards to Gonzalo’s analysis on the US assassinating Zelensky () — it is textbook US behaviour. We’ve heard this song before.

He makes very good points. As the US knows Ukraine is about to fold and donbass is about to fall to the Russians, USA will attempt to turn Ukraine into a civil war mess. Same thing they did to Libya.

But we still think this coup is coming from within Zelensky’s own ranks as we stated in our original analysis.

Time will tell, if Zelensky really is a deadman walking, Russia will be blamed for it one way or another.
The fact is that if Russia wanted Zelensky dead, he’d be fertilizer since the first day of the invasion. Nobody doubts this and everybody knows this. Russia can take him out anytime they like.
 

Ukraine Army Hits Donetsk City with INCINDIARY Artillery Shells​


Ukraine Army Hits Donetsk City with INCINDIARY Artillery Shells

7:18 pm EDT Saturday, July 23 -- The armed forces of Ukraine have hit the civilian city of Donetsk with INCINDIARY artillery shells. A White burning substance is dropping slowly from the sky onto the civilian homes and population below . . .
It seems as though the armed forces of Ukraine are trying to set the civilian city on fire.

and another angle from another part of the city:
UkraineHitsDonetskWithThermite-3.jpg

Multiple videos are being uploaded to social media from multiple different locations inside Donetsk, showing the vast flaming attack:





THIS is your oh-so-gallant Ukrainian Army; attacking civilians with flaming munitions . . . .
 
Back
Top Bottom