wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,209
- 37,871
Sababu yangu Ni rahisi tu,NATO alikua anahatarisha usalama wa Russia kwa kutaka kuleta majeshi mlangoni kwa Russia.Na alivunja makubaliano waliyoingia na Russia ya kutoku-expand kuelekea pande hizo.Sababu za wewe kuunga mkono uvamizi wa nchi huru ni nini?
Je unaunga mkono Idi Amin kuvamia Tanzania na Hitler kuvamia dunia nzima?
Hakuna mahusiano ya Sababu genuine za Russia vs za (Idd Amin+Hitler).