Dah! hapa duniani ukiwa mbabe na mwenye nacho utaishi kwa raha sana, tena utajiamulia mambo yako ya kufanya na hakuna mtu wa kukuingilia.
Just imagine now days UN amegeuka kuwa mtetezi wa Urusi baada ya kujaribu kupima kina cha maji hapo nyuma nakukuta kina kirefu.
Urusi baada ya kuamua kuonesha nguvu yake halisi katika kipindi hiki cha operation imejikuta ipo level sawa na USA kwenye UN yani kutekeleza inachokiamini bila kuhofia uwepo wa UN wala kuingiliwa na UN (Rejea USA-IRAQ war)
Kwanini nasema hivo:
Moja; Juzi UN imetoa ripot ikiitetea Urusi na kuikandia Ukraine kuwa inatumia watu kama ngao ya Vita. (licha ya Ukraine kuvamiwa)
Walisema: A recent UN report from the Office of the High Commissioner for Human Rights (OHCHR) has confirmed that the Ukrainian Army, as it battles Russian forces for control of the eastern Donbass region, is purposefully putting civilians in harm’s way as “human shields.”
Pili: Jana hao hao UN baada ya Odessa kupigwa kitu kizito, wakasema: The UN said that Russia may not have violated the agreement on the export of Ukrainian grain by shelling the port of Odessa. (Hii waswahili wanaita Uchawa kwa mwenye nacho)
Tatu: Hivi karibuni Russia ameongeza ukaribu zaidi na nchi zilizo pigwa ban na UN kama vile Iran na N.korea bila kujali UN watajisikia je na watasema nini, na juzi kati kaenda mbali zaidi kwa kutangaza kuwatumia vijana wa Kim Kiduku kuijenga upya Donbas.
Nanukuu: "North Korean labour could be sent to rebuild Donbas" Russian ambassador says
Tuongezee na hii ya Iran (taifa lenye vikwazo): "Putin forges ties with Iran's supreme leader in Tehran talks" The guardian
Ukiangalia Matukio yote hapo Juu, utagundua kuwa nowdays Russia yupo juu ya UN kama alivyo USA, na utagundua kuwa UN ina nguvu kwa wanyonge tu nasiyo kwa wababe kama Russia, CHINA na USA. Leo hii Russia angekuwa Mnyonge angekuwa anaishi maisha ya ajabu sana kama wakongo, Vikosi vya UN vingekuwa vimezagaa huko Ukraine na Moscow kuvuruga kila kitu kwa mgongo wa kulinda amani. Lakini, kwasababu ya ubabe na power ya Russia aliyo amua kuionesha kipindi hiki, Siyo vikosi vya UN, USA wala NATO vilivyo thubutu kusogeza pua Ukraine kwenda kuingilia operation ya Mrusi. Maana wanajua Urusi siyo Libya, Yugoslavia wala Iraq.
MWENYE NGUVU MUITE SUPER POWER[emoji635][emoji635]