Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

IMG_20220725_001543.jpg
ndio maana US haiaminiki, kelele zote za kufungua bandari kumbe wanataka kupitisha silaha😁😁
 
Umemaliza chief, kiburi cha US ni dollar kwasababu ya international transactions na wahuni washasanuka dollar itapigwa chini nadhani mmeshaanza kuona inflation inavyopaa huko kwao afu kuna taarifa nilisoma inasema ile inflation ya 9.2% tunayoambiwa sio kweli ni zaid ya hapo.

US anaprint pesa anawakopesha mnarejesha na faida juu inshort nyie ndo mnakuza uchumi wake[emoji23][emoji23]. Kila jambo lina mwisho na hakuna marefu yasiyo na ncha.
Sahii chief,
Uchumi wa ujanja ujanja ufike kikomo
 
View attachment 2302698
"I want to sort things out by levelling up Ukraine and rebuld it from scratch" - Putin akimwambia rafiki yake Steven Seagal.

Kama vile wapi zilipo maabara zingine za siri za "biological warfare".

Kumbuka Russia ameziteka na sasa anadhibiti na kuzisimamia maabara zingine katika facilities mbalimbali nchini Ukraine.

Ukraine ni sehemu ilobeba mambo mengi ya siri za wale wanazi.
Hii inaitwa TACTICAL WISHFUL THINKING! Kimedani katika masuala ya vita, unamwacha adui ajitwalie na kujitawalia kila anachotaka, at least mawazoni mwake.

With unabashed reasoning, anaweza akadhani hata dunia yote iko mikononi mwake. And before they know it, upepo wa kisulisuli na wa kisirisiri unamgeuka.
 
So Zere demands all to shed their last drop of blood in it's defense. The old, the young, the weak, women and the HOMOs. If they stand for ukraine, they will die for ukraine. Plant by plant, Building by building. Room by room. One rat at a time."

Viktor roznov

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
He is probably afraid of the consequences after the war. If nobody else gonna be there, case closed. Mission accomplished.
 
Tactical tawanyika kwa njia saba...lugha ya malkia imeniacha

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
TACTICAL DISINTEGRATION & SPREADING -- Hii katika medani za vita ni pale mnapoihitaji kutumia jeshi dogo kui-activate kwenda kumshambulia adui mwenye watu wengi zaidi.

What happens? Mnaanzisha simultaneous assaults from various locations (disintegration), adui atagawanyika kuwafuateni kila mahali (spreading). Na hiyo itawafanya wawe decimated in every whichway katika manageable namba mnayoweza kuikabili kwa idadi yenu ndogo kwenye specific location mnayotaka kuiteka.
 
Hii inaitwa tactical kidnapped

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
TACTICAL SELF-KIDNAPPING. Pale unapozidiwa vitani au unapoona bosi wako ni hard-headed, comedian asiyeshaurika, japo ni mbabe, so mnaamua kujitegesha na kujikamatisha kwa adui.

Sometimes, tactical self-kidnapping inaweza isihusishe askari kama askari, bali kusalimisha silaha kwa adui na hata kumpa intelligence za harakati zenu na maeneo muhimu ya kutungua such as depots, etc.
 
Back
Top Bottom