Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hindustan Times: Putin's 'Daredevil' 2S4 Tyulpan takes on US HIMARS in Ukraine; Battle gets intense in Kherson.
 
Mabadiliko kati ya tarehe 4 hadi 23 sio makubwa sana
20220725_090154.jpg
Ukraine inajaribu kuazisha counteroffensive eneo la Kherson na ndio maana precision strikes ni nyingi uko
20220725_090157.jpg
Wakati Russia inashambulia zaidi kutokea Donbass kuchukua maeneo zaidi. Ukraine haipigani man to man, inapiga command and control centres, ammunition depots na madaraja ili Russians waliopo frontline wakose supply na command.
 
Miezi miine sasa, licha ya hasara zote alizoingia Urusi, imeshindikana kufumua haka kainchi na imeambulia tumiji twa huko mpakani..... Ukraine, saizi ya mkoa mmoja hapo Urusi, tena jirani kabisa.

main-qimg-4331bb44bc0ddd7beb47108ce8b3293d
Tambua Ukraine hayupo mwenyewe pia. Kuna nato na USA.
Pia tambua kwa Russia iyo sio vita. Ni special operation tu ya kuondoa vibaraka na kuacha infrastructures na maisha kwa ujumla, intact.
Sema ndio hivo collateral damages lazima zitokee. Hao ni watoto wa Russia. He is just taking it easy on em.
Relax, msijikute mna chochote sasa hivi. Dunia nzima ishajua mababa ya ubepari na nyinyi washika bendera zao ni kelele mingi tu, hamna kitu. Kubalianeni na hali halisi au endeleeni kujitutumua.
 
Mtoa madam hujaelewa au una upeo mdogo ktk masusla haya, uelewe. Kati ya operation ya kijeshi na full war ya kuchukua nchi hata silaha anazotumia Russia Ni kidogo na za kuclear mahhala ya Soviet na pia Ni strategical war ndio maana anachukua maeneo alihopakana nayo, bandari etc.
Post yako au akili yako Ni sawasawa useme,,mwaka 1979 to date tumeshindwa kuchukua Uganda ktk Vita na tz , think before posting
 
Special operetion ambayo imemuingiza Urusi hasara ya zana ambazo zinapita inventory ya majeshi yote ya EAC na Afrika ya kati combined, amepoteza ndege zaidi ya 200 ukilinganisha na JWTZ wanazo 33, yaani hasara walioingia Urusi ni inventory ya majeshi ya mataifa kumi Africa combined.

Na NATO hajatia guu hapo, mwambieni huyo Urusi akosee njia aguse kataifa kamoja ka NATO ndio muelewe nini maana yake, ifike mpate aibu kwa kweli.
 
Mnajiliwaza ila tuko wote tunaona kinachotendeka, lini kitu kama hiki hapa kikaitwa special operation, tena kilifyekwa na wabeba javelin

1658734092682.jpeg
 
Special operetion ambayo imemuingiza Urusi hasara ya zana ambazo zinapita inventory ya majeshi yote ya EAC na Afrika ya kati combined, amepoteza ndege zaidi ya 200 ukilinganisha na JWTZ wanazo 33, yaani hasara walioingia Urusi ni inventory ya majeshi ya mataifa kumi Africa combined.

Na NATO hajatia guu hapo, mwambieni huyo Urusi akosee njia aguse kataifa kamoja ka NATO ndio muelewe nini maana yake, ifike mpate aibu kwa kweli.
Abuse some,au ajaribu kutuma Bomu UK,au USA huo mziki wake UN watakimbia
 
Miezi miine sasa, licha ya hasara zote alizoingia Urusi, imeshindikana kufumua haka kainchi na imeambulia tumiji twa huko mpakani..... Ukraine, saizi ya mkoa mmoja hapo Urusi, tena jirani kabisa.

main-qimg-4331bb44bc0ddd7beb47108ce8b3293d
Kichapo kinaendelea huko
 
Ile ni operaration ya kijeshi sio total war mjuwe kutofautisha kati ya Total war na millitary operation.Kuna maeneo yamelengwa na mangine inawezekekana yasiguswe kabisa.Nchi za magharibi ndo zinaaminisha watu kuwa ile ni vita.
Acha uongo na wewe ufunguke akili hiyo ni misemo tu kumuogopesha adui yako ya kwamba ni operation ya Kijeshi wakati unashindwa kule ule msafara wa 45km kwa mbwembwe nyingi, sa hizi hakuna hata msafara wa 1km hahaa so funny

Operation wakati huo
Tanks 1688 mpaka wakulima wanajibebea vifaru vingine na wadau wa kuokota vyuma chakavu wanaokota huko itakuwa biashara ya kuuza vyuma chakavu imepamba moto huko.

Troops 38400 wamekwenda na upepo wa kisurisuri,

Armoured personal vehicles 3890 Ardhi ya ukraine imetafuna.

Helicopters 192 anga la ukraine limemeza.

Cruise missiles 162 zimefwekelewa mbali.

Artillery system 859 crushed.

MLRS 249 drone za mabomu zimefanya yake,
Vehicles and fuel tanks 2750 zimewashwa moto na zenyewe zikasapoti moto,

Anti-aircraft warfare system 112 zimeshindwa kujilinda zenyewe na wapiganaji wa chini, wazo liliishia angani.

Special equipment magari 72.

Aircraft 223 mengine wenyewe wanashambulia ya kwao.

UAV 690 zote chini nyingine huenda wakatengenezea mabanda ya Kuku.

Boats 15, za kijeshi.

Meli vita ukubwa wa Kati 2.

Halafu mwendawazimu mwingine nae anakubali kuaminishwa ni operation.
 
Mabadiliko kati ya tarehe 4 hadi 23 sio makubwa sanaView attachment 2303006 Ukraine inajaribu kuazisha counteroffensive eneo la Kherson na ndio maana precision strikes ni nyingi ukoView attachment 2303007Wakati Russia inashambulia zaidi kutokea Donbass kuchukua maeneo zaidi. Ukraine haipigani man to man, inapiga command and control centres, ammunition depots na madaraja ili Russians waliopo frontline wakose supply na command.
[emoji41][emoji41][emoji41]
Screenshot_20220725-103202.jpg
 
Miezi miine sasa, licha ya hasara zote alizoingia Urusi, imeshindikana kufumua haka kainchi na imeambulia tumiji twa huko mpakani..... Ukraine, saizi ya mkoa mmoja hapo Urusi, tena jirani kabisa.

main-qimg-4331bb44bc0ddd7beb47108ce8b3293d
UTUNGOJE NA OPERATION YETU, kwanza sisi hatukutaka kumtandika Ukraine kihivyoo, hayo mangine yanatokea kwa sababu ya NATO kuleta machinoo mingi. Hivi kwani NATO ilichukua miaka mingapi Afghanistan kupigana vita tena na mgambo wa talibani? Hivi NATO ilichukua miaka mingapi vita ya Iraq tena baada ya kimkagua na kuona hamna kitu?
 
Back
Top Bottom