ndammu
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 5,424
- 6,327
Na hakuna sheria ya kutofautisha jinsia ya kutumia hilo neno tafsir zako bako nazo mwenyewe.Kama wewe ni mtoto wa kiume bhs una walaakini “kijifaragua” hili neno mtoto wa kiume hatumiii kama ni mwanamke sawa.
Japo kwamba umkuu wa vikosi lakni usijifarague kwakusema urusi anapigana na nato.
Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app