Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Upuuzi wa Majeshi ya Zelensky kuweka Silaha kwenye maeneo ya raia Kama vile shule, hospitals n.k ndo unasababisha yalipuliwe.

Na hii ni kwakua Russia ana kila nyenzo kitechnology kutambua, Basi hulipua silaha hizo na kuharibu mipango ya Zelensky na US.

Huu mkataba wa juzi Putin kawa hurumia watoe nafaka zao, wao wakapeleka machumachuma ya US ili wayatumie kijeshi, jamaa akaona ayalipue. Sasa wanalalama tu.

Wanaendeleza tabia hizi [emoji116]
Watalipuliwa kila sekunde. Russia real super power

UN wameanza kuongea ukweli[emoji81]
 
Hivi vikwazo kwa Russia limekuwa janga kubwa

News of "punishing Russia" with sanctions.

In France, shopkeepers will be fined for opening the door when the air conditioner or heating is running. For 750 euros.

This was told by the Minister of Environmental Transformation of France, Agnes Panier-Runache, to the Journal du Dimanche newspaper.

Another decree of the government will ban light advertising at night in all cities with a population of less than 800 thousand people.

All for the sake of saving energy.

Subscribe to @Sputnik
 
IRAN mwenyewe wakati mwingine inabidi akae kimya maana akifikiria zile sub-marine za OHIO aka The ultimate dooms day zipo 14 zina uwezo wa kushambulia umbali wa 12000 km zipo zimesambaa dunia nzima

Iran alilipua kambi za US, uyo shoga yako alifanya nini? Unamchukulia Iran poa sana???
 
IRAN mwenyewe wakati mwingine inabidi akae kimya maana akifikiria zile sub-marine za OHIO aka The ultimate dooms day zipo 14 zina uwezo wa kushambulia umbali wa 12000 km zipo zimesambaa dunia nzima
Kwa nini sasa hamzipeleki Ukraine kupitia ushirika wa US& Israel ili mrudishe hata mji mmoja unao kaliwa na Russia?
Bado tu unadanganyika?
 
Dunia inabadilika kwa kasi sana. Tulipoishia kabla ya ukoloni tunaanzia pale pale.
View attachment 2302577

[emoji1210][emoji1666][emoji1130]Saudi Arabia, Iran to hold first ‘public’ meeting on reconciliation talks in Baghdad

Iraq says it will host a “public” meeting between Iran and Saudi Arabia at the level of foreign ministers as part of successive reconciliation talks mediated by Baghdad.
Wanaharibu biashara ya silaha na mafuta ya shoga mkuu duniani
 
Miezi miine sasa, licha ya hasara zote alizoingia Urusi, imeshindikana kufumua haka kainchi na imeambulia tumiji twa huko mpakani..... Ukraine, saizi ya mkoa mmoja hapo Urusi, tena jirani kabisa.

main-qimg-4331bb44bc0ddd7beb47108ce8b3293d
 
Hujui chochote kuhusu dunia hii. Hebu kwanza soma historia ya Israel uielewe. Na soma historia ya Jews na movement ya kutafuta nchi. Soma historia ya vita vya kwanza na vya pili.

Kisha soma mawaziri wakuu wa mwanzoni na maraisi wa mwanzoni wa Israel walitoka nchi gani. Kisha ulete utumbo wako hapa.
Hao mawazir wakuu na marais walitoka nchi gan bandugu???
 
Back
Top Bottom