Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,936
- 4,713
Ndivyo wakenya walivyo.. Udini na Ukabila unawasumbua sana..We hujitambui mbona unaleta udini na ukabila sana
Ndivyo wakenya walivyo.. Udini na Ukabila unawasumbua sana..We hujitambui mbona unaleta udini na ukabila sana
mwehu uyu winter coming is coming tutaelewana tu
Ikiwa hujui field za vita usiongee Ukraine ni nchi kubwa sana na inajibu mashambulizi kuadvance kutokea ufukweni mpaka kufika kati sio kazi ndogo wewe mwenyewe unaona KDF kila Siku tunapata picha wakiwa wameliwa vichwa na alshabab na bado hamfiki kokote lkn wale wahuni wa msumbuji hapa bongo umeshawasikiaAngalia hiyo picha tena upate aibu...linganisha hilo lisupapawa lenu na hako kataifa...
LithuaniaNitajie nchi ya NATO onayoweza kupambana na Urussi
uyo ndio the mighty Russia yani sasa ivi wanajeshi wametulia tu wanacheza Ps5 kwenye kambi zaoNaona huko Donesk People Republic jeshi la Ukraine 4th, 5th, 6th companies battalion, 72th separate motorized brigade wamegoma kupigana na wataka kurudi nyumbani.
Wame yasema hayo kupitia video waliyo sambaza kwenye mitandao ya kijamii.
Wanasema artillery (makombora) ya Russia ni tatizo kubwa mno. Wana pigwa 24/7 na bila hata kumwona mwanajeshi wa Russia hata mmoja.
View attachment 2303363
Icho kitu Ukraine awataokuja kufanya ata washawishiwe vipi yani kitendo cha kupiga ata risasi mojo tu kwenye ardhi ya crimea ni kama vile umeipiga moscow kichapo watalachokula awatokisahauMshindi bado sana pale Ukraine anataka apige war of attrition na Russia hakuwa na priority napo kwanza. Ukraine amejitahidi kufanya Russia ilete reinforcements pale kisha Ukraine aharibu madaraja na kupambana na supplies ili Warusi waliopo pale watengwe. Ni kuviziana pale, ikiwa Kherson itarudi chini ya Ukraine basi inaweza kuwa sehemu ya kuanzia mashambulizi ya kwenda Crimea ambapo sio priority ya Ukraine kwa sasa
Ikiwa hujui field za vita usiongee Ukraine ni nchi kubwa sana na inajibu mashambulizi kuadvance kutokea ufukweni mpaka kufika kati sio kazi ndogo wewe mwenyewe unaona KDF kila Siku tunapata picha wakiwa wameliwa vichwa na alshabab na bado hamfiki kokote lkn wale wahuni wa msumbuji hapa bongo umeshawasikia
tena?
Mkuu, nikukumbushe tu kuwa Ukraine ni nchi ya pili kwa ukubwa katika bara zima la Ulaya baada ya Russia.Huniaminishi chochote almradi mumeshindwa kufumua kainchi kadogo licha ya kuingia hasara yote hiyo
Sasa s 300 mbona zimesha choke japo hakuna air defense yoyote ya USA inayoweza kuifikia s 300
Zimeshachoka na ziko vitani. Silaha ziletwe vitani ila zikipigwa ziitwe zimechoka. Hiki kisingizio sio cha msingi
Lithuania
Na Kuna watu humu wanasema eti ulimwengu wa Sasa vifaru havina kazi, mamamae uliza hio brigade utapata majibu sahihi.Naona huko Donesk People Republic jeshi la Ukraine 4th, 5th, 6th companies battalion, 72th separate motorized brigade wamegoma kupigana na wataka kurudi nyumbani.
Wame yasema hayo kupitia video waliyo sambaza kwenye mitandao ya kijamii.
Wanasema artillery (makombora) ya Russia ni tatizo kubwa mno. Wana pigwa 24/7 na bila hata kumwona mwanajeshi wa Russia hata mmoja.
View attachment 2303363
Nadhani wana kiherehere mno na kiburi.....September 1939 walikuwa wa Kwanza kuvamiwa na Hitler and is recorded kuwa ndio mwanzo wa WWIi...this time wako kimbelembele against Russia...na hata siku za mwanzo wa crisis hii kwa baadhi ya siku Zele alikuwa mafichoni Poland...halafu wanatamba hivi Sasa kuwa they want to build a strong army kuliko nchi yoyote ya NATO huko Europe...very ambitious and arrogant too...Nchi nyingine yenye kiherehere ni Lithuania...ni ka-nchi kadogo Sana lakini dah kana jeuri Sana na yenye mwelekeo wa fools courage..nadhani pale itakapotokea exchange ya nukes baina ya Russia na West nchi zitakazokuwa za Kwanza kufutwa kwenye ramani ya dunia ni Poland, Lithuania na England..Poland wana bahati mbaya saana miaka yote
Duh...dah...Poland?!?! Are you joking.?? May be Finland na Sweden....lakini Poland.?!Zipo katika hatua za mwisho kujiunga na NATO.Wameshachukua fomu
Ile ni TACTICAL CONVOY. Ni jambo la kawaida sana kwenye medani za vita ambapo unatakiwa uonekane dubwana kubwa na tishio kwa adui yako muda wote na kwenye mazingira yote--MCHANA, USIKU, JUANI ama MVUANI.Hasara yote mlioingia leo mnasema hamkutaka kuiteka Kyev, limsafara lilienda royal tuwa likapigwa za uso....ha ha ha...
Halafu hapo ndio mnajitutumua eti mnaweza kupigana na NATO wakati hawajatia mguu hapo Ukraine, wabeba javelin tu ndio wanawaliza
According to?Special operations inadumu masaa kadhaa na sio miezi
Hizi siyo picha za photoshop kweli?Mnajiliwaza ila tuko wote tunaona kinachotendeka, lini kitu kama hiki hapa kikaitwa special operation, tena kilifyekwa na wabeba javelin
View attachment 2303076