Morogoro kaskazini
JF-Expert Member
- Jul 5, 2020
- 2,560
- 9,690
Mimi nipo busia kwa kina sospeter hunidanyi chochote kuhusu KenyaNdio umefika mwisho wa uwezo wako au bado tusubiri...
Kenya mna jeshi dhaifu mno
Mimi nipo busia kwa kina sospeter hunidanyi chochote kuhusu KenyaNdio umefika mwisho wa uwezo wako au bado tusubiri...
Mimi nilimwambia ukweli Jana tumeishajua uwezo wao tayari,KDF walijificha kwenye nyasi🤣🤣🤣 waliposikia vibaka wa Al Shabbab wangeingia kambini na kuwaacha US wakipambana wenyewe 🤣🤣🤣 ndio maana wameshindwa huko Somali miaka kumi sasa,aibu!Mimi nipo busia kwa kina sospeter hunidanyi chochote kuhusu Kenya
Kenya mna jeshi dhaifu mno
Swahiba wa Putin anarudi-lmran khan. Hapa wafuasi wkisherekea nchi nzima
Hapa Chini,nimaeneo ambayo anaungwa mkono waziri mkuu wa
Pakistann wa sasa,Hilo eneo lenye wekundu(dot like) ni eneo analoungwa mkono waziri mkuu wa sasa. Ngoma ngumu kwa West.
View attachment 2305353
Anyongweee[emoji35][emoji34][emoji35]Tatizo lake eti naye kaoa, ana mke kabisa.
M7 anajitambuaRais Museven kampokea Lavrov wa Urusi nchini Uganda. Museven kasema Uganda na Afrika zipo pamoja na Urusi...hazitaki kuwa maadui wa adui wa mabeberu ambao wenyewe waliitawala na kuinyonya Afrika kama wakoloni. Urusi haijawahi kuitawala/kuinyonya kikoloni Afrika
View attachment 2304818View attachment 2304821View attachment 2304822
Itakuwa Ukraine wamefanya kitu ambacho kimedani kwa kawaida kinajulikana kama TACTICAL SELF-DEFENSE. Hii ni mbinu ya kujihami kimkakati ambapo hutakiwI katu kabisa kukubaliana na kauli na madai yoyote ya adui, hata yangekuwa yamefanyika wazi mchana kweupe.Unishangaze mie ngoja nikushangaze wewe kwanza
Kati ya RUSSIA anaesema kashambuliwa na UKRAINE anakataa kua hajashambulia yupi tumuamini !!!??
Au leo RUSSIA kupitia RT munawaamini
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapo chimbo wanatafuta mapichapicha waje kuipamba himmars yao[emoji41][emoji41][emoji41]Leo mbona bado mmelala, wapi pro-nato
The price of gas in Europe exceeded $2,300 per 1 thousand cubic meters for the first time since the beginning of March.
Subscribe to @Sputnik
Kwa nchi zote za East Africa naweza kusema JWTZ ndo jeshi bora na imara kuliko majeshi yote likifuatiwa na jeshi la Rwanda then n.k. Kuna kikundi cha wahuni (waasi) kilijaribu kuwasha moto pale kibiti, police wakajaribu kupambana wakashindwa, ikabidi special force kutoka JWTZ waingie mzigoni kwa sare za askari polisi, ndani ya siku kadhaa Waasi wote walitembezewa kipigo cha hatari na kukamatwa pia toka kipindi hicho waasi hawana hamu na Tanzania tena. Pongezi ziende kwa jeshi letu la Wananchi (JWTZ)Mimi nilimwambia ukweli Jana tumeishajua uwezo wao tayari,KDF walijificha kwenye nyasi[emoji1787][emoji1787][emoji1787] waliposikia vibaka wa Al Shabbab wangeingia kambini na kuwaacha US wakipambana wenyewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndio maana wameshindwa huko Somali miaka kumi sasa,aibu!
Habari njema mnoooThe alliance signed between Venezuela and Iran is being called the "Axis of Resistance".
Usikute wako huko wanafanya TACTICAL RATIONING ya gesi hiyo kiduchu na aghali.Leo mbona bado mmelala, wapi pro-nato
The price of gas in Europe exceeded $2,300 per 1 thousand cubic meters for the first time since the beginning of March.
Subscribe to @Sputnik
Uko sahihi mkuu hivi ndivyo wanavyosema wanajeshi wengi tu wanaoenda huko Congo, wakiludi wanatueleza hayo uyasemayo kwamba waasi kambi zao zote zinajulikana, tena wanakuja kugongea misosi na fegi kwenye kambi za UN ni sahihi kabisa nimewasikia wanajeshi walioenda Congo zaidi ya watatu wakisema hivyoKwa nchi zote za East Africa naweza kusema JWTZ ndo jeshi bora na imara kuliko majeshi yote likifuatiwa na jeshi la Rwanda then n.k. Kuna kikundi cha wahuni (waasi) kilijaribu kuwasha moto pale kibiti, police wakajaribu kupambana wakashindwa, ikabidi special force kutoka JWTZ waingie mzigoni kwa sare za askari polisi, ndani ya siku kadhaa Waasi wote walitembezewa kipigo cha hatari na kukamatwa pia toka kipindi hicho waasi hawana hamu na Tanzania tena. Pongezi ziende kwa jeshi letu la Wananchi (JWTZ)
Pia Kuna mwaka kikosi cha JWTZ chini ya UN kilipewa operation command kupambana na waasi wa kongo (M23 or ADF) kikaenda kikosi cha mizinga ndani ya muda mfupi kilitembeza kichapo kitakatifu mpaka waasi wakapoteana.
UN na mabeberu baada ya kuona moto huo wa JWTZ wakaamuru Kikosi cha mizinga kirudi Tanzania, kambi ikabaki na silaha za kawaida. Mnamo mwaka 2017 kama (sijakosea) Kambi ya JWTZ kama walinda amani kongo chini ya UN ilishambuliwa kwa kuvamiwa na waasi nakupelekea jumla ya askari wa JWTZ 14 kupoteza maisha na wengine zaidi ya 40 kujeruhiwa.
Kuna captain wa JWTZ aliekuwa kwenye hiyo operation, alisema UN ndo ilikuwa chanzo cha vifo na majeruhi hao baada ya kuamru kikosi Chao kipunguze nguvu ya silaha kwa kurudishwa kikosi cha Mizinga nyumbani, siku chache mbeleni waasi ndo wakashambulia kambi huku askari wakiwa wamebaki na silaha nyepesi tu kama SMG, SR pistols na n.k. akaenda mbali kwa kusema UN ndo Chanzo cha matatizo na kukosekana kwa amani nchini kongo ikifanya kazi kwa maslahi ya Mataifa ya ulaya na Amerika.
Akaongezea kwa kusema, kambi zote za waasi nchini kongo wanajua zilipo na kuna muda hadi hao waasi wanakuja kwenye kambi za UN kugongea fegi, misosi na nk tena kwa dharau na hurusiwi kuwagusa wala kuwakamata ( Order ya UN).
Inshort mwamba aliongea mengi sana na kwa uchungu sana kuihusu UN chombo kinacho sadikika kulinda amani ya dunia ila walio shiriki "battlefield" chini ya UN ndo wanajua UN ni jitu gani na Lina malengo ngani.
Binafsi Ukiniuliza UN nini, nitakujibu ni organization ya ugaidi na uvunjifu wa amani duniani. Ukiona UN wameleta vikosi nchini mwako tegemea kuona political instability and unrest terrorism kwa kipindi kirefu sana. Ni mjinga pekee ndo anaweza kukubali kuwa waasi wa ADF au M23 wameshindikana dhidi ya jeshi la nchi ya DRC na vikosi vya UN, my friend every thing is under control.
UN ni miongoni mwa sababu zilizo nifanya nisimame na Russia [emoji635] katika operation yake, na natamani huko mbeleni ije kuundwa UN ya kweli isiyo chini ya USA na westerns.
SHAME ON UN
MUCH RESPECT TO JWTZ [emoji1241]
cc: GENTAMYCINEKwa nchi zote za East Africa naweza kusema JWTZ ndo jeshi bora na imara kuliko majeshi yote likifuatiwa na jeshi la Rwanda then n.k. Kuna kikundi cha wahuni (waasi) kilijaribu kuwasha moto pale kibiti, police wakajaribu kupambana wakashindwa, ikabidi special force kutoka JWTZ waingie mzigoni kwa sare za askari polisi, ndani ya siku kadhaa Waasi wote walitembezewa kipigo cha hatari na kukamatwa pia toka kipindi hicho waasi hawana hamu na Tanzania tena. Pongezi ziende kwa jeshi letu la Wananchi (JWTZ)
Pia Kuna mwaka kikosi cha JWTZ chini ya UN kilipewa operation command kupambana na waasi wa kongo (M23 or ADF) kikaenda kikosi cha mizinga ndani ya muda mfupi kilitembeza kichapo kitakatifu mpaka waasi wakapoteana.
UN na mabeberu baada ya kuona moto huo wa JWTZ wakaamuru Kikosi cha mizinga kirudi Tanzania, kambi ikabaki na silaha za kawaida. Mnamo mwaka 2017 kama (sijakosea) Kambi ya JWTZ kama walinda amani kongo chini ya UN ilishambuliwa kwa kuvamiwa na waasi nakupelekea jumla ya askari wa JWTZ 14 kupoteza maisha na wengine zaidi ya 40 kujeruhiwa.
Kuna captain wa JWTZ aliekuwa kwenye hiyo operation, alisema UN ndo ilikuwa chanzo cha vifo na majeruhi hao baada ya kuamru kikosi Chao kipunguze nguvu ya silaha kwa kurudishwa kikosi cha Mizinga nyumbani, siku chache mbeleni waasi ndo wakashambulia kambi huku askari wakiwa wamebaki na silaha nyepesi tu kama SMG, SR pistols na n.k. akaenda mbali kwa kusema UN ndo Chanzo cha matatizo na kukosekana kwa amani nchini kongo ikifanya kazi kwa maslahi ya Mataifa ya ulaya na Amerika.
Akaongezea kwa kusema, kambi zote za waasi nchini kongo wanajua zilipo na kuna muda hadi hao waasi wanakuja kwenye kambi za UN kugongea fegi, misosi na nk tena kwa dharau na hurusiwi kuwagusa wala kuwakamata ( Order ya UN).
Inshort mwamba aliongea mengi sana na kwa uchungu sana kuihusu UN chombo kinacho sadikika kulinda amani ya dunia ila walio shiriki "battlefield" chini ya UN ndo wanajua UN ni jitu gani na Lina malengo ngani.
Binafsi Ukiniuliza UN nini, nitakujibu ni organization ya ugaidi na uvunjifu wa amani duniani. Ukiona UN wameleta vikosi nchini mwako tegemea kuona political instability and unrest terrorism kwa kipindi kirefu sana. Ni mjinga pekee ndo anaweza kukubali kuwa waasi wa ADF au M23 wameshindikana dhidi ya jeshi la nchi ya DRC na vikosi vya UN, my friend every thing is under control.
UN ni miongoni mwa sababu zilizo nifanya nisimame na Russia [emoji635] katika operation yake, na natamani huko mbeleni ije kuundwa UN ya kweli isiyo chini ya USA na westerns.
SHAME ON UN
MUCH RESPECT TO JWTZ [emoji1241]
Nijuavyo Jeshi bora East Africa ni RDF ( Rwanda ) likifuatiwa na UPDF ( Uganda ) kisha kidooogo KDF ( Kenya ) waliobakia wanaendelea tu Kujitahidi kuwa Bora Ili kuwafikia Wenzao tajwa hapa.
Waambia atakuwa anawaletea gesi zimeishia wapiLeo mbona bado mmelala, wapi pro-nato
The price of gas in Europe exceeded $2,300 per 1 thousand cubic meters for the first time since the beginning of March.
Subscribe to @Sputnik
Hayo majeshi yote. yaungane yanakula kichapo Kwa jwNijuavyo Jeshi bora East Africa ni RDF ( Rwanda ) likifuatiwa na UPDF ( Uganda ) kisha kidooogo KDF ( Kenya ) waliobakia wanaendelea tu Kujitahidi kuwa Bora Ili kuwafikia Wenzao tajwa hapa.