Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Umeulizwa source za taarifa yako na who conducted hiyo research?? Sijaona majibu hapa naona unaongelea vitu vingine kabisa
Jaribu kusoma. Alama hizo ndogo ni herufi, zinafanya maneno.
Niliandika "Nimeonyesha waziwazi kura ya maoni ilitekelezwa na Pew". Pew hujui? Basi uliza google ukafurahie kujifunza. (nikusaidie: taasisi kubwa Pew Research Center)
 
Itakuwa Ukraine wamefanya kitu ambacho kimedani kwa kawaida kinajulikana kama TACTICAL SELF-DEFENSE. Hii ni mbinu ya kujihami kimkakati ambapo hutakiwI katu kabisa kukubaliana na kauli na madai yoyote ya adui, hata yangekuwa yamefanyika wazi mchana kweupe.

Hii mbinu inatumika hasa kuepusha kumpa adui pointi za mezani. Mathalani, Ukraine akikubali kwamba ndiye alimshambulia Russia, hapo atakuwa anahalalisha indirectly kichapo anachopewa hadi kifike Kiev.
Hizo tactical mbona zimekuwa nyingi mnoo?
 
Mimi nimeshindikana kote, njoo Quora uone ninavyowaliza Warusi asili, wacha nyie hapo mnaoiga.
Hapo kwenyewe unatamani kukimbia uzi ila unaona aibu nyie ndo ulio kuwa unasema nato lazima waingilie wazima wazima vita hii ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha cha ajabu nato silaha zao zenyewe zina waumbua
 
Swahiba wa Putin anarudi-lmran khan. Hapa wafuasi wkisherekea nchi nzima

Hapa Chini,nimaeneo ambayo anaungwa mkono waziri mkuu wa
Pakistann wa sasa,Hilo eneo lenye wekundu(dot like) ni eneo analoungwa mkono waziri mkuu wa sasa. Ngoma ngumu kwa West.
View attachment 2305353
Wapikistan mpaka wanalia wakikutana live na uyu mzee wanampenda kupitiliza alikataa mabilion ya dola kutoka USA alivyokuwa waziri mkuu ili wajenge military base yao pakistan lakini mwamba akagoma na the way alivyowajibu West walivyomtaka atoe tamko kuhusu Russia kuivamia Ukraine mwamba aliwajibu vizuri sana nanukuu "" ivi mnatuchukuliaje sisi kuwa ni watumwa wenu kuwa kila mnachoamua sisi tutekeleze" uwo ndio ukawa mwanzo wa figisu mpaka wakafanikiwa kumtoa madarakani kimagumashi sasa mwamba anarudi ulingoni huu mwaka pro NaTO na vibaraka wenu wengine mtaomba pooh.
 
Kwa nchi zote za East Africa naweza kusema JWTZ ndo jeshi bora na imara kuliko majeshi yote likifuatiwa na jeshi la Rwanda then n.k. Kuna kikundi cha wahuni (waasi) kilijaribu kuwasha moto pale kibiti, police wakajaribu kupambana wakashindwa, ikabidi special force kutoka JWTZ waingie mzigoni kwa sare za askari polisi, ndani ya siku kadhaa Waasi wote walitembezewa kipigo cha hatari na kukamatwa pia toka kipindi hicho waasi hawana hamu na Tanzania tena. Pongezi ziende kwa jeshi letu la Wananchi (JWTZ)

Pia Kuna mwaka kikosi cha JWTZ chini ya UN kilipewa operation command kupambana na waasi wa kongo (M23 or ADF) kikaenda kikosi cha mizinga ndani ya muda mfupi kilitembeza kichapo kitakatifu mpaka waasi wakapoteana.

UN na mabeberu baada ya kuona moto huo wa JWTZ wakaamuru Kikosi cha mizinga kirudi Tanzania, kambi ikabaki na silaha za kawaida. Mnamo mwaka 2017 kama (sijakosea) Kambi ya JWTZ kama walinda amani kongo chini ya UN ilishambuliwa kwa kuvamiwa na waasi nakupelekea jumla ya askari wa JWTZ 14 kupoteza maisha na wengine zaidi ya 40 kujeruhiwa.

Kuna captain wa JWTZ aliekuwa kwenye hiyo operation, alisema UN ndo ilikuwa chanzo cha vifo na majeruhi hao baada ya kuamru kikosi Chao kipunguze nguvu ya silaha kwa kurudishwa kikosi cha Mizinga nyumbani, siku chache mbeleni waasi ndo wakashambulia kambi huku askari wakiwa wamebaki na silaha nyepesi tu kama SMG, SR pistols na n.k. akaenda mbali kwa kusema UN ndo Chanzo cha matatizo na kukosekana kwa amani nchini kongo ikifanya kazi kwa maslahi ya Mataifa ya ulaya na Amerika.

Akaongezea kwa kusema, kambi zote za waasi nchini kongo wanajua zilipo na kuna muda hadi hao waasi wanakuja kwenye kambi za UN kugongea fegi, misosi na nk tena kwa dharau na hurusiwi kuwagusa wala kuwakamata ( Order ya UN).
Inshort mwamba aliongea mengi sana na kwa uchungu sana kuihusu UN chombo kinacho sadikika kulinda amani ya dunia ila walio shiriki "battlefield" chini ya UN ndo wanajua UN ni jitu gani na Lina malengo ngani.

Binafsi Ukiniuliza UN nini, nitakujibu ni organization ya ugaidi na uvunjifu wa amani duniani. Ukiona UN wameleta vikosi nchini mwako tegemea kuona political instability and unrest terrorism kwa kipindi kirefu sana. Ni mjinga pekee ndo anaweza kukubali kuwa waasi wa ADF au M23 wameshindikana dhidi ya jeshi la nchi ya DRC na vikosi vya UN, my friend every thing is under control.

UN ni miongoni mwa sababu zilizo nifanya nisimame na Russia [emoji635] katika operation yake, na natamani huko mbeleni ije kuundwa UN ya kweli isiyo chini ya USA na westerns.

SHAME ON UN
MUCH RESPECT TO JWTZ [emoji1241]
heko mkuu, I've learned something
 
[emoji817][emoji817] kuna ndugu yangu alitoka Darfur alituadithia kuwa waasi kule sudan wanasilaha latest kuliko wanajeshi wa UN yani kuna muda wanakuja mpaka kambini kwao wanapiga nao story jamaa alikuwa anashangaa inakuaje muasi anakuwa na silaha ambayo yeye anaishia kuiona kwenye movie tu aya mambo Russia anayajua ndio mahana UN walipotaka wai ndio waende kwenye mji wa mariupol kuwatoa raia putin akasema iyo aina shida tupeni sisi izo nguo zenu za UN then tuingie kwa mwamvuli wa UN tukawatoa awo raia UN wakagoma na putin akasema bac asikanyage kenge yoyote wa UN mariupol habari yao ndio ikaishia apo.
 
Hapo kwenyewe unatamani kukimbia uzi ila unaona aibu nyie ndo ulio kuwa unasema nato lazima waingilie wazima wazima vita hii ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha cha ajabu nato silaha zao zenyewe zina waumbua

Wewe sijui unabwabwaja nini muda wote, hebu iga wenzako tuendelee na hoja, niache nimewaambia mimi ni kama Zelensky, nimeshindikana kwa wote.
 
Kwa nchi zote za East Africa naweza kusema JWTZ ndo jeshi bora na imara kuliko majeshi yote likifuatiwa na jeshi la Rwanda then n.k. Kuna kikundi cha wahuni (waasi) kilijaribu kuwasha moto pale kibiti, police wakajaribu kupambana wakashindwa, ikabidi special force kutoka JWTZ waingie mzigoni kwa sare za askari polisi, ndani ya siku kadhaa Waasi wote walitembezewa kipigo cha hatari na kukamatwa pia toka kipindi hicho waasi hawana hamu na Tanzania tena. Pongezi ziende kwa jeshi letu la Wananchi (JWTZ)

Pia Kuna mwaka kikosi cha JWTZ chini ya UN kilipewa operation command kupambana na waasi wa kongo (M23 or ADF) kikaenda kikosi cha mizinga ndani ya muda mfupi kilitembeza kichapo kitakatifu mpaka waasi wakapoteana.

UN na mabeberu baada ya kuona moto huo wa JWTZ wakaamuru Kikosi cha mizinga kirudi Tanzania, kambi ikabaki na silaha za kawaida. Mnamo mwaka 2017 kama (sijakosea) Kambi ya JWTZ kama walinda amani kongo chini ya UN ilishambuliwa kwa kuvamiwa na waasi nakupelekea jumla ya askari wa JWTZ 14 kupoteza maisha na wengine zaidi ya 40 kujeruhiwa.

Kuna captain wa JWTZ aliekuwa kwenye hiyo operation, alisema UN ndo ilikuwa chanzo cha vifo na majeruhi hao baada ya kuamru kikosi Chao kipunguze nguvu ya silaha kwa kurudishwa kikosi cha Mizinga nyumbani, siku chache mbeleni waasi ndo wakashambulia kambi huku askari wakiwa wamebaki na silaha nyepesi tu kama SMG, SR pistols na n.k. akaenda mbali kwa kusema UN ndo Chanzo cha matatizo na kukosekana kwa amani nchini kongo ikifanya kazi kwa maslahi ya Mataifa ya ulaya na Amerika.

Akaongezea kwa kusema, kambi zote za waasi nchini kongo wanajua zilipo na kuna muda hadi hao waasi wanakuja kwenye kambi za UN kugongea fegi, misosi na nk tena kwa dharau na hurusiwi kuwagusa wala kuwakamata ( Order ya UN).
Inshort mwamba aliongea mengi sana na kwa uchungu sana kuihusu UN chombo kinacho sadikika kulinda amani ya dunia ila walio shiriki "battlefield" chini ya UN ndo wanajua UN ni jitu gani na Lina malengo ngani.

Binafsi Ukiniuliza UN nini, nitakujibu ni organization ya ugaidi na uvunjifu wa amani duniani. Ukiona UN wameleta vikosi nchini mwako tegemea kuona political instability and unrest terrorism kwa kipindi kirefu sana. Ni mjinga pekee ndo anaweza kukubali kuwa waasi wa ADF au M23 wameshindikana dhidi ya jeshi la nchi ya DRC na vikosi vya UN, my friend every thing is under control.

UN ni miongoni mwa sababu zilizo nifanya nisimame na Russia [emoji635] katika operation yake, na natamani huko mbeleni ije kuundwa UN ya kweli isiyo chini ya USA na westerns.

SHAME ON UN
MUCH RESPECT TO JWTZ [emoji1241]
Naungana na wakongoman kwahili wanaloliendeleza
UN taasisi yahovyo kabisa kuwahi kutokea
Hii taasisi inatakiwa ivunjwe kwanza haijawahi kuwa namaaba yeyote hapa DUNIANI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapikistan mpaka wanalia wakikutana live na uyu mzee wanampenda kupitiliza alikataa mabilion ya dola kutoka USA alivyokuwa waziri mkuu ili wajenge military base yao pakistan lakini mwamba akagoma na the way alivyowajibu West walivyomtaka atoe tamko kuhusu Russia kuivamia Ukraine mwamba aliwajibu vizuri sana nanukuu "" ivi mnatuchukuliaje sisi kuwa ni watumwa wenu kuwa kila mnachoamua sisi tutekeleze" uwo ndio ukawa mwanzo wa figisu mpaka wakafanikiwa kumtoa madarakani kimagumashi sasa mwamba anarudi ulingoni huu mwaka pro NaTO na vibaraka wenu wengine mtaomba pooh.
PAKISTAN TAIFA TEULE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pro Russia tumeingia ubaridi au Himmars? Hope there'll be a way out . Dawa ya Himmars ipo
Tumaini tu. Uwezo wa tekinolojia wa Urusi ni duni. Wanao mahandisi wazuri wanaoweza kubuni tekinoloja nzuri, lakini mfumo wote ni bovu, hapa sababu walipitiwa tayari na China na kuwa nyuma kimataifa. Hawana viwanda vya kuzalisha vitu vizuri vilivyobuniwa, hawana vipuli mbadala kwa vipuli vya kimagharibi wanavyotumia ndani ya vifaa vyao, na Putin alijenga utawala wake kwa kutumia wezi wakubwa - kumbe anaiba.
Kwa hiyo: dawa ya HIMARS - sidhani inapatikana.Jeshi la Putin linategemea maelfu silaha za kale. Hizo HIMARS chache tayari zimeleta matatizo.
 
Unishangaze mie ngoja nikushangaze wewe kwanza
Kati ya RUSSIA anaesema kashambuliwa na UKRAINE anakataa kua hajashambulia yupi tumuamini !!!??
Au leo RUSSIA kupitia RT munawaamini

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo wewe leo Russia huwaamini. Si huwa unasema wale wengine ni propaganda, sasa kama Russia huwaamini tena unadhani Mungu atatuma malaika aje kukwambia wewe
 
  • Thanks
Reactions: PNC

Berlin confirms sending rocket systems to Ukraine​

Kiev has received three Mars-II multiple-launch rocket systems, German Defense Minister Christine Lambrecht has said
Berlin confirms sending rocket systems to Ukraine

FILE PHOTO: Germany's Mars multiple-launch rocket system. © Global Look Press / IMAGO / Sven Eckelkamp
Berlin has delivered a fresh batch of heavy arms to Kiev, German Defense Minister Christine Lambrecht confirmed on Tuesday. The shipment includes the first of several multiple-launch rocket systems promised by Germany to Kiev, she said.
“The promised Mars II multiple rocket launchers and another three self-propelled howitzers [PzH] 2000 have been delivered,” Lambrecht told journalists. “We keep our word,” she added. According to the German media, at least three Mars-II systems have been sent to Kiev.
Mars-II is a European modification of the US-made MLRS M270 multiple rocket launcher, which was jointly developed by Germany, Italy and France. According to the German KMW company, which is one of the system’s producers, Mars-II is capable of firing up to 12 missiles in a minute at a range of over 70km. According to media reports, it can fire guided missiles using a GPS system or mine-ejecting missiles.
Kiev confirms arrival of heavy weapons from Germany
READ MORE
Kiev confirms arrival of heavy weapons from Germany

Apart from Mars-II, the fresh weapons shipment also included three PzH 2000 self-propelled howitzers, bringing the number of such long-range artillery systems delivered to Ukraine to ten. Lambrecht also spoke of five self-propelled ‘Gepard’ anti-aircraft guns supplied to Ukraine. On Monday, Ukrainian Defense Minister Aleksey Reznikov confirmed receiving three such systems together with “tens of thousands of rounds” of suitable ammunition for them.
Germany had previously promised to deliver at least 30 ‘Gepard’ air-defense tanks to Ukraine. The first shipment of 15 tanks is expected to have arrived before the end of this month, while another 15 are to be delivered in August.
On Tuesday, Berlin promised to send a Cobra-type artillery radar to Ukraine in September. “The contract has already been signed,” Lambrecht told journalists, adding that Ukrainian troops will soon start their training on “this highly complex system.”
According to the media, Germany will also start training Ukrainian soldiers on the Iris-T SLM anti-aircraft missile systems “in a few days.” Chancellor Olaf Scholz repeatedly promised to send Kiev Germany’s most modern air-defense system. The announcement even caused some confusion earlier this year when the Bundeswehr – the German Armed Forces – admitted they do not have a ground-based version of the IRIS-T system themselves.
Ukrainian sailors trained in Scotland to fight Russia
READ MORE
Ukrainian sailors trained in Scotland to fight Russia

According to German media reports, Kiev will get the promised air-defense system no earlier than November. According to reports on Tuesday, a “spanking” new system will arrive in Ukraine “in autumn.”
This is the second time Berlin has sent heavy weapons to Kiev. Back in June, Germany transferred seven PzH 2000 howitzers along with other military hardware to Ukraine. Previously, the country supplied Ukrainian forces with thousands of portable anti-tank and anti-air missiles, tens of thousands of anti-tank mines, as well as millions of rounds of ammunition. However, Kiev and even the former Ukrainian ambassador to Germany have still repeatedly criticized Berlin for what they called reluctance to send military aid to Ukraine and the slow pace of deliveries.
In July, Lambrecht admitted that Germany had to send Ukraine weapons from its own army stocks and its capacity was limited. On Tuesday, she also said that both the multiple rocket launchers and howitzers had come from Bundeswehr stocks.
 
Ukraine only has weeks to turn the tide - US committee head​

Kiev needs longer-range weaponry before it is too late, the head of the House Armed Services Committee, Adam Smith, believes
Ukraine only has weeks to turn the tide - US committee head

Rep. Adam Smith (D-WA) meets Ukrainian President Volodymyr Zelensky in Kiev, Ukraine, on July 23, 2022.
Ukraine might only have a few weeks left if it hopes to take back territories controlled by Russia, Chairman of the House Armed Services Committee Adam Smith told Politico’s National Security Daily on Monday. The Ukrainian forces would need longer-range weapons like tactical missiles and strike drones to change the tides of battle, he said, in the wake of his visit to Kiev.
The approaching winter would turn the ongoing conflict between Moscow and Kiev into a war of attrition that would only benefit Russia, the news outlet said, adding that Kiev has asked the American congressional delegation to convince Washington to urgently send aid.
“Help them now as much as possible. The next three to six weeks are crucial,” Smith (D-WA) told the outlet. According to the congressman, the Ukrainian government is willing to reach a peace agreement with Moscow but still wants its territories back, particularly those in the south.
Russian troops have seized control over Ukraine’s southern Kherson region and most of the neighboring Zaporozhye Region soon after the start of the military operation in February. Local officials in the two regions have considered holding referendums on joining Russia since then.
US to send more HIMARS to Ukraine
READ MORE
US to send more HIMARS to Ukraine

Kiev has repeatedly stated that its goal is to take back all of its territories. Earlier in July, Ukrainian Foreign Minister Dmitry Kuleba said that his nation’s goal in the conflict was to “restore our territorial integrity, and full sovereignty in the east and south of Ukraine.”
But this is not the first time Kiev has indicated that it wants to see the end of the conflict before cold temperatures set in. In late June, President Vladimir Zelensky told the G7 summit that he wanted to see the conflict end by the onset of winter, according to Reuters.
Smith believes the Ukrainian forces would need heavier weapons to achieve this goal. “The HIMARS systems with their range … [of] 30 to 50 kilometers is really helpful. We’ve seen the impact already just in the last month. But if they had a longer range, it’d be tougher for the Russians to hide their stuff,” Smith told RFE/RL on Saturday while still in Kiev.
Washington supplied Kiev with 12 HIMARS multiple-launch rocket systems so far. Last week, the Pentagon announced Ukraine was about to get another four of these systems, which would bring their total number on the battlefield to 16.
Smith, however, apparently believes this is not enough, as he told RFE/RL his aim was to send as many as 30 such systems to Ukraine as soon as possible. Kiev previously requested at least 50 HIMARS multiple rocket launchers. Other weapons on the congressman’s possible supply list are “drones and the electronic warfare” systems.
US concerned about Zelensky’s safety
READ MORE
US concerned about Zelensky’s safety

The House Armed Services Committee head admitted, however, that providing Ukraine with American fighter jets was not feasible at the moment. Washington has provided Ukraine with $8.2 billion in aid since the start of the Russian military operation but has so far refrained from supplying Kiev with some of its longer-range weapons like the Army Tactical Missile Systems (ATACMS) with a range of some 300 kilometers of MQ-1C Gray Eagle drones.
The administration of US President Joe Biden is concerned about a potential escalation of the conflict if Ukrainian forces get their hands on weapons capable of hitting Russian territory. Smith, however, believes Washington might yet change its mind.
“The administration is not prepared to do that at this point, but there are good arguments being made. That could change at some point,” he told Politico. Another congressman, Mike Waltz (R-FL), went even further after he suggested sending American military advisors to help Kiev with planning and logistics.
Russia sent troops into Ukraine on February 24, citing Kiev’s failure to implement the Minsk agreements, designed to give the regions of Donetsk and Lugansk special status within the Ukrainian state. The protocols, brokered by Germany and France, were first signed in 2014. Former Ukrainian president Pyotr Poroshenko has since admitted that Kiev’s main goal was to use the ceasefire to buy time and “create powerful armed forces.”
In February 2022, the Kremlin recognized the Donbass republics as independent states and demanded that Ukraine officially declare itself a neutral country that will never join any Western military bloc. Kiev insists the Russian offensive was completely unprovoked.
 
Back
Top Bottom