Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Screenshot_20220726-173116.jpg
 
Huyu dada Mmarekani alikamatwa na bange Russia kesi yake bado inaendelea namuonea huruma sababu ni mweusi tu. Nampaka kaanza kuvaa nguo za zenye ujumbe..[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635] tutamwachia hivi karibuniView attachment 2304622
Utamwachia we na nani ndugu au kichwan ndio tayari umekuwa kama coconut
 
Ndio kinachomkuta Urusi, hauwezi ukaingia kwa nchi ya watu bila ridhaa yao utegemee kuwapiga, hata Tanzania ilipovamia Uganda walifanya hivyo kwa ushirikiano wa maelfu wa waasi wa Uganda na pia Waganda walikua wamemchoka Id Amin, hivyo Waganda waliruhusu nchi yao na bendera ya kukojolewa, ila leo jaribu kuivamia Uganda ambayo wananchi wake wana uzalendo na nchi yao.

Urusi kwenye huu ugomvi ameingia cha kike, hajui ageuze vipi bila aibu.
Tuna waenzi mashujaa wetu wote walio ipigania nchi yetu pendwa ya Tanzania dhidi ya uvamizi Idd Amin 78-79

Lakini acha kupoteza mda ku-compare vita vya Nchi maskini tena miaka ya 70s. Ukijichanganya kuto tanguliza qualifications za kijeshi badala yake ujifiche kwenye kigezo cha just uzalendo!! Mzee baba mtafyekwa wote na kumuachia adui Nchi yenu afanye atakavyo.

Russia ni speed ya light kwenye vita vya masrahi.
Akitaka hapo Ukraine anapafanya majivu within half a day.
 
Eneo limechukuliwa huko pro-nato mnasemaje

‼️ 🇷🇺 🏭 Uglegorskaya TPP came under the control of Allied forces‼️

Thanks to the assault actions of the fighters of the Wagner PMCs and the LPR, the Ukrainian N@zis began to flee.
 
Rais Museven kampokea Lavrov wa Urusi nchini Uganda. Museven kasema Uganda na Afrika zipo pamoja na Urusi...hazitaki kuwa maadui wa adui wa mabeberu ambao wenyewe waliitawala na kuinyonya Afrika kama wakoloni. Urusi haijawahi kuitawala/kuinyonya kikoloni Afrika

SmartSelect_20220726-190244_Chrome.jpg
Screenshot_20220726-181813_Chrome.jpg
Screenshot_20220726-181929_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom