Hio taarifa imetolewa na serikali ya urusi , wanakiri kupoteza idadi hiyo ya wanajeshiHa ha ha.....
Propaganda at work,
Wanajitangaza wanaongoza mashambulizi,
wkt miji yote kwaSasa imekaliwa na Russians
Afu uzur Russians hawaongei chochote, wao vitendo TU.
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti wanaongea kwa lugha ya unyonge kabisa "Demanding Russia" demand maana kuiasa Russia. Siyo "Forcing Russia"Wanachangamsha Genge.
Weka link.Hio taarifa imetolewa na serikali ya urusi , wanakiri kupoteza idadi hiyo ya wanajeshi
Propaganda,Kumbe hii vita si ndogo
RT Hao, wizara ya ulinzi ya urusi inaripoti https://www.rt.com/russia/551084-military-fatalities-in-ukraine/Weka link.
Kichapo kinachanganya mzeeHalafu nawashangaa humu wanasema Ukraine kapewa msaada Su-29 na MiG!? Wat the stupid is this. Hizi ni ndege za Russia. Kwahiyo Russia inampatia Ukraine msaada ili kupambana na Russia!?
Kwann wasitumie tu nuke tuanze upya tuu maana naskia vta ya nne tutapigania mawe na Fimbo.Urusi wametangaza kwenye kipaza sauti raia wote waondoke mjini.
Usiku huu vitashushwa vitu kama usiku wa Jana.
Tujiandae kuhesabh magofu maana hata mfupa wa kiume hautaonekana.
Yajayo yanafurahisha[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo kura putin kakaanazo mezani anaangalia wanafiki wake ili akianza kunuke ajue wa kuwaacha Pembeni...east africa hapa kuna mtu atakula vyuma sababu ya umbea na upapet wakeResolution hiyo wala siyo ya kisheria, ni ya kupoga kelele tu. Hiyo resolution haina any action plan. Eti wanataka Russia ione namna gani ilivyotengwa.
Hahahahahaha!!? Yaani UN kama watoto vile.
Uoga wakutofautiana na USA na NATO.Dunia imeungana kwa jambo ambalo sio la msingi.
urusi inasema kuwa imepoteza wanajeshi 500 mpk hii https://www.rt.com/russia/551084-military-fatalities-in-ukraine/, kama serikali ya urusi inakiri kupoteza askari 500 basi huenda waukraine wakawa wanasema ukweli kuwa wameuwa zaidi ya wanajeshi 5000 wa urusiRussia expects Ukrainian officials to arrive in Belarus for the next round of talks on Thursday morning, when a ceasefire is set to be discussed, Russian news agencies has cited Moscow’s negotiator Vladimir Medinsky as saying.
Russia maji ya shingo
Rudia Tena,Hio taarifa imetolewa na serikali ya urusi , wanakiri kupoteza idadi hiyo ya wanajeshi
warusi wanaojitambua wanataka apple mzee apple ina hadhi yake huwezi linganisha na huyo mchina ila kwa sababu kun shida now warusi wanatumia mpaka itel na bontel maana tokana vikwazo vya kiuchumi hata uwezo wa kubuy huawei au tecno hawana tena😀😃😄😁😅😂🤣
Hivi kichapo cha jana unatolea wapi nguvu ya kutuma msaada, maana linaputin likiambiwa na mjukuu babu tunaitaka na hangary ni masaa tuHUNGARY imetanga rasmi kuwa haitopeleka wanajeshi wake au silaha nchini UKRAINE. Imetangaza kuwa hawatotoa msaada huo. Hii inafanya kuwa nchi ya kwanza katika NATO kutangaza waziwazi kuwa haitotuma usaidizi wowote, na kwamba kwenye ugomvi huo watakuwa neutral.
[emoji4]Endelea kujitekenyaAisee Putin aomba msamaha kwa zelensky , nakuaidi kumpa urusi. Pia aomba msamaha kwa nchi za magharibi huku akilia. Siku ya nyani miti yote huteleza sio poa wazee
Hawa ambao wanapiga mpaka simu!Канал для российских матерей.
INGIA KWENYE GROUP iLI LA TELEGRAM UONE JINSI HALI HALISI INAYOENDELEA HUKOOO. DAH UTU TUUU WA UKRAINE WANA TUMIA. KWA RUSSIAN CAPTURED SOLDERS
Wanawaonea huruma Ukrainians [emoji4]Kwann wasitumie tu nuke tuanze upya tuu maana naskia vta ya nne tutapigania mawe na Fimbo.
Kinuke tuanze upya aseee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]