LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
NAOMBA NISEME VIKWAZO KWA RUSSIA VITATIKISA DUNIA NZIMA
Armed Forces of Ukraine are firing from a residential area, Sumy region
 
Halafu nawashangaa humu wanasema Ukraine kapewa msaada Su-29 na MiG!? Wat the stupid is this. Hizi ni ndege za Russia. Kwahiyo Russia inampatia Ukraine msaada ili kupambana na Russia!?
 
Urusi wametangaza kwenye kipaza sauti raia wote waondoke mjini.

Usiku huu vitashushwa vitu kama usiku wa Jana.

Tujiandae kuhesabh magofu maana hata mfupa wa kiume hautaonekana.

Yajayo yanafurahisha[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwann wasitumie tu nuke tuanze upya tuu maana naskia vta ya nne tutapigania mawe na Fimbo.
Kinuke tuanze upya aseee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Russia expects Ukrainian officials to arrive in Belarus for the next round of talks on Thursday morning, when a ceasefire is set to be discussed, Russian news agencies has cited Moscow’s negotiator Vladimir Medinsky as saying.

Russia maji ya shingo
 
Resolution hiyo wala siyo ya kisheria, ni ya kupoga kelele tu. Hiyo resolution haina any action plan. Eti wanataka Russia ione namna gani ilivyotengwa.

Hahahahahaha!!? Yaani UN kama watoto vile.
Hizo kura putin kakaanazo mezani anaangalia wanafiki wake ili akianza kunuke ajue wa kuwaacha Pembeni...east africa hapa kuna mtu atakula vyuma sababu ya umbea na upapet wake
 
Screenshot_20220302-211809_Twitter.jpg
 
Russia expects Ukrainian officials to arrive in Belarus for the next round of talks on Thursday morning, when a ceasefire is set to be discussed, Russian news agencies has cited Moscow’s negotiator Vladimir Medinsky as saying.

Russia maji ya shingo
urusi inasema kuwa imepoteza wanajeshi 500 mpk hii https://www.rt.com/russia/551084-military-fatalities-in-ukraine/, kama serikali ya urusi inakiri kupoteza askari 500 basi huenda waukraine wakawa wanasema ukweli kuwa wameuwa zaidi ya wanajeshi 5000 wa urusi
 
warusi wanaojitambua wanataka apple mzee apple ina hadhi yake huwezi linganisha na huyo mchina ila kwa sababu kun shida now warusi wanatumia mpaka itel na bontel maana tokana vikwazo vya kiuchumi hata uwezo wa kubuy huawei au tecno hawana tena😀😃😄😁😅😂🤣

HUNGARY imetanga rasmi kuwa haitopeleka wanajeshi wake au silaha nchini UKRAINE. Imetangaza kuwa hawatotoa msaada huo. Hii inafanya kuwa nchi ya kwanza katika NATO kutangaza waziwazi kuwa haitotuma usaidizi wowote, na kwamba kwenye ugomvi huo watakuwa neutral.
Hivi kichapo cha jana unatolea wapi nguvu ya kutuma msaada, maana linaputin likiambiwa na mjukuu babu tunaitaka na hangary ni masaa tu
 
Канал для российских матерей.

INGIA KWENYE GROUP iLI LA TELEGRAM UONE JINSI HALI HALISI INAYOENDELEA HUKOOO. DAH UTU TUUU WA UKRAINE WANA TUMIA. KWA RUSSIAN CAPTURED SOLDERS
Hawa ambao wanapiga mpaka simu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwann wasitumie tu nuke tuanze upya tuu maana naskia vta ya nne tutapigania mawe na Fimbo.
Kinuke tuanze upya aseee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanawaonea huruma Ukrainians [emoji4]
Sema mr.comedian anawaponza Kama kibwetele kule uganda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom