LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Shikamoo Mkuu, hakika umechambua vizuri mnoooo.

Kongole kwako!
 
Mzee sijakuelewa unachoongea. Hebu rudia tena. Katika hizo nchi zilizokuwa Soviet nchi ipi inatengeneza SU and MiG
View attachment 2136564
Kwahiyo ukitengeneza unakaa nazo? Maswali gani haya unauliza mzee. F-16 zinatengenezwa na Marekani zinatumika nao na washirika kama Israel, Turkey, NATO members. J-7 za Mchina ila Tanzania tunazo na mifano mingine. Hakuna nchi inatengeneza ndege ikae nazo yenyewe tu unless ni secret kama US alizonazo kadhaa au kwa Japan ambaye katiba inakataza kuuza silaha nje. Otherwise utatumia gharama kubwa sana bila sababu.

Click hapo Wikipedia soma kipengele cha Operators. Watakupa current na former
 
Mbona unapiga domo sana. Niambie hizo Su-29 wamezitoa wapi!?
 
Duh Japan kuichukua ardhi ya Russia hii Ni Kama kumtusi mamako matusi ya nguoni.. Russia wanna visiwa vilivyopachikwa jina la urusi viitwavyo Sakhalin islands ambavyo kiasili Ni vya Japan. Hivyo vilitekwa miaka ya 1940 s vitani ww2.
 
We jamaa, unachambua bila upendeleo. Welldone
 
Na hilo pia limepelekea askari wengi wa Urusi kupoteza maisha, muda huu waingie na utaratibu wa vitani, kwamba usimuamini yeyote ambaye hayuko upande wako, raia ukiona anazidi kukusogelea mchukulie kama adui piga risasi.
 
[emoji375][emoji375][emoji375][emoji375] NAKAZIA, NA HAPO NDIO WANAPOJIFICHIA UKRAINE. NIMEMSIKIA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA URUSI AKISEMA WAACHE HIYO TABIA. Nimehisi sasa watawafumua hivyohivyo.
 
Umeelezea vizuri sana. Raia wameambiwa wawe evacuated, makazi watapewa na huduma zote watapata uko Poland na kwingineko. Sijui wanakaa mjini kufanyaje na hakuna biashara wala kazi zinaendelea. Ninashawishika raia halisi wako nje ya mapigano, wavaa kiraia na walioko battleground ni wapiganaji wasio na combat na wanapenda kujificha kwenye majengo ya serikali na sehemu fulani kama za kihistoria au hospitali ili walalamike wakishambuliwa eti Russia kashambulia hospitali
 
Mbona unapiga domo sana. Niambie hizo Su-29 wamezitoa wapi!?
Sio Su-29 ni Mig-29. Umefanya kosa ambalo nami huwa nalirudia. Nimekwambia kwenye screenshot hiyohiyo ingia usome kipengele cha Operators, wewe unanipa link ambayo hujui kuna nini.

Soma hapo hukuona Poland?
 
Morden day conflicts are fought on many fronts the Russians are loosing both on the propaganda front and also on the economic front.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…