Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Mzee ingekuwa Congo imeenda kuvamia Zambia ingekuwaje mpaka sasa Kutoka UN!? Mzee majeshi mengi ya kujitolea yangekuwa yametumwa.Ushabiki kwenye level yake, hii ndio bongo land
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee ingekuwa Congo imeenda kuvamia Zambia ingekuwaje mpaka sasa Kutoka UN!? Mzee majeshi mengi ya kujitolea yangekuwa yametumwa.Ushabiki kwenye level yake, hii ndio bongo land
Shikamoo Mkuu, hakika umechambua vizuri mnoooo.Kwa kawaida kwanza tukubali Russia wanajua nini wanafanya kuliko sisi, zile misafara ya gari zao jana kutembea umbali ule unafikiri hawakufanya assessment ya kwamba nini kinaweza kutokea? Mbona misafara imefika salama? tujue kwamba kuna wataalamu zaidi wa mambo ya kivita huko Russia kuliko sisi tunavyosoma taarifa mitandaoni.
Nadhani utakubali kwamba Russia haikutumia nguvu kubwa sana wakati wa uvamizi kwa Ukraine ilitumia nguvu kidogo na silaha ambazo sio nzito sana, ila baada ya mazungumzo kufeli na kuzagaa propanganda mitandaoni kwamba wanajeshi wao wanakufa sana hapo ndio wakawa serious, mara taarifa kwamba Russia imeshindwa kuingia Kyiv, sasa nini kimewezekana mbona wako Kyiv na jeshi la Ukraine halionekani lilipo.
Kwa mtazamo wangu ni kwamba Russia LABDA walitaka wafanye uvamizi mdogo ili kuwavuta Ukraine kwenye mazungumzo ila walipoona mazungumzo yamefeli na Rais wa Ukraine kasaini kujiunga EU hapo ndio kaamua kuwa serious.
wewe ni shahidi nini kimetokea, Ukraine leo hamna habari ya kuandikwa kuhusu jeshi la Ukraine kila unapoangalia wanaongelea heavy missiles without resistance yyte kutoka jeshi la Ukraine na Russia wameanza kutumia heavy missiles zenye high accuracy kitu ambacho mwanzo hawakufanya.
Kama ulifuatilia ule mgogoro wa juzi juzi wa Israel na Hamas, Israel toka inaanza ilikua inatumia silaha nzito zenye high accuracy toka mwanzo na walikua wanafanya vitu ambavyo Russia anafanya sasa kama kutoa taarifa kwamba atapiga sehemu flan mda flan hivyo wananchi waondoke.
Kwa kuangalia kama Russia wangetumia nguvu hii toka mwanzo wa Uvamizi unadhani Ukraine ingeweza kuwithstand vita mda wote huu?
Mda huo huo NATO wameshamaliza vikwazo vyao kuweka na wamesema hawapeleki jeshi Ukraine na hawaweki No fly zone kwa sababu italeta mtafaruku direct na Russia.
Hao wote wanajuana uwezo wa kivita acha sisi tunaosoma taarifa wanazoamua kurelease wao, leo hii unaskia Russia au US kila mmoja ana nuclear warhead 5000+ hizo ni taarifa wanazoamua kuachia hadharani ila deep inside si ajabu kila mtu ana zaidi ya 10,000+.
Leo hii utakuta watu wanasema Russia hakutegemea vikwazo vikubwa namna hiyo anafikiri washauri wa Putin hawawezi kufanya analysis za nini NATO zitafanya mara wakishaanza kuivamia Ukraine na watatokaje.
Kikubwa ninachounga mkono ni kwamba kila mtu ana mtazamo tofauti kuhusu hii vita na kila mtu ana upande anaotaka ushinde kwa sababu zake binafsi either mapenzi juu ya nchi/uhasama/chuki/ au vyovyote lakini hiyo isipelekee watu wabishane kwa matusi, hoja/mitazamo ndio mpango.
Kwahiyo ukitengeneza unakaa nazo? Maswali gani haya unauliza mzee. F-16 zinatengenezwa na Marekani zinatumika nao na washirika kama Israel, Turkey, NATO members. J-7 za Mchina ila Tanzania tunazo na mifano mingine. Hakuna nchi inatengeneza ndege ikae nazo yenyewe tu unless ni secret kama US alizonazo kadhaa au kwa Japan ambaye katiba inakataza kuuza silaha nje. Otherwise utatumia gharama kubwa sana bila sababu.Mzee sijakuelewa unachoongea. Hebu rudia tena. Katika hizo nchi zilizokuwa Soviet nchi ipi inatengeneza SU and MiG
View attachment 2136564
Mbona unapiga domo sana. Niambie hizo Su-29 wamezitoa wapi!?Kwahiyo ukitengeneza unakaa nazo? Maswali gani haya unauliza mzee. F-16 zinatengenezwa na Marekani zinatumika nao na washirika kama Israel, Turkey, NATO members. J-7 za Mchina ila Tanzania tunazo na mifano mingine. Hakuna nchi inatengeneza ndege ikae nazo yenyewe tu unless ni secret kama US alizonazo kadhaa au kwa Japan ambaye katiba inakataza kuuza silaha nje. Otherwise utatumia gharama kubwa sana bila sababu.
Click hapo Wikipedia soma kipengele cha Operators. Watakupa current na former
Duh Japan kuichukua ardhi ya Russia hii Ni Kama kumtusi mamako matusi ya nguoni.. Russia wanna visiwa vilivyopachikwa jina la urusi viitwavyo Sakhalin islands ambavyo kiasili Ni vya Japan. Hivyo vilitekwa miaka ya 1940 s vitani ww2.yaan mi mtu akini kot na kunisingizia kuwa nimekariri propaganda za west automatically ninapuuza.
ngoja nikujibu kwasababu nipo katika Mode ya kujibu upuuzi.
ujaona vifaru vya Urusi vikikokotwa kwasababu havina mafuta?.
unajua umbali wa Urus na Ukrein ni sawa na Mbagala na Manzese?.
unajua hata wiki hajaisha Urusi iko vitani ila tumeona madhaifu mengi ambayo hatujawai ona kwa mpinzani wake mkubwa?.
Sote tunajua marekani ni dhaifu ila hatujawai ona udhaifu wa kutisha kama anaoonyesha Urusi.
unajua kutoka pentagon had Iraq ni maili ngapi?.
unajua ni miaka mingapi US amekuwa aki oprate mission zake Dunia kote? ngoja nifupishe, nipo darasa la kwanza 1999 ninasikia habari kuhusu marekani today is over 2 decades.. sijasikia US akiishiwa mafuta akiwa ndani ya operation/vita ya namna yoyote ile.
uenda Mrusi ni mzuri zaidi kwa mission ndogo ndogo na fupi kama vile kwenda kuwapiga ISIS kule Syria Etc ila si mzuri katika total war kama tunavyoona.
umejiuliza ni kwanini tunaposema vita ni:,
JESHI
UCHUMI/PESA.
PROPAGANDA.
WASHIRIKA etc?.
unajua kati ya hivyo vyote Urusi ana viwili tu JESHI na PROPAGANDA ila vingine vyote n 0 kabisa.
washilika wake nao ni choka mbaya.
ukiondoa kitisho cha nyukilia Japan leo anaweza ingia Urusi na kunyakua baadhi ya eneo kama alivyowaifanya uko nyuma na Urusi asiwe na cha kufanya.
We jamaa, unachambua bila upendeleo. WelldoneHawa jamaa wapuuzi waongo. Nimechoka kuwa nahoji taarifa zao za uchochoroni, tangu lini battle plans zikwekwa kwenye vehicle frontline, kwani HQ kazi yake nini. Yani documents za juu kabisa kuhidhinisha vita, zenye saini na mhuri eti wanajeshi waende nazo vitani. Makamanda wakubwa wote wako Moscow wamekaa, hata makamanda wa military districts za Russia hawako Ukraine sasa unaanzaje kupeleka hizo taarifa, unampa nani
Na hilo pia limepelekea askari wengi wa Urusi kupoteza maisha, muda huu waingie na utaratibu wa vitani, kwamba usimuamini yeyote ambaye hayuko upande wako, raia ukiona anazidi kukusogelea mchukulie kama adui piga risasi.Russia ametumia uweledi mkubwa sana katika hichi wanachokiita operesheni ya kijeshi..ndo maana hata imechukua mda mrefu lengo ni kupunguza madhara makubwa kwa raia..mara nyingi majeshi ya Russia yamekutana na resistance ya wananchi lakini wamekua wakitumia busara sana wao wanaatack tu miundombinu ya jeshi na wanajeshi.
Ingekua ni wamarekani hii operesheni ingeisha ndani ya siku 3 sababu wao wanaua tu hawajali kama walivyofanya iraq
. Huyu raisi wa ukraine asalimu amri kuokoa mauaji ya raia kwan yeye ndo anamotivate raia wasio na millitary knowledge kuvaa combat na Russia akija anapiga tu akijua ni wanajeshi.
[emoji375][emoji375][emoji375][emoji375] NAKAZIA, NA HAPO NDIO WANAPOJIFICHIA UKRAINE. NIMEMSIKIA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA URUSI AKISEMA WAACHE HIYO TABIA. Nimehisi sasa watawafumua hivyohivyo.Combat zinasaidia kutambulisha wanajeshi wa pande zote wanaopambana (waweze kuwindana wao kwa wao) na kuwatofautisha na raia ili kuwakinga raia wasidhurike.
Kitendo cha kupigana vita huku baadhi ya watu wakijifananisha na raia wa kawaida (kwa kuvaa nguo za raia) ili kupunguza uwezekano wa wao kushambuliwa (kuchukuliwa kama raia wa kawaida) na kuongeza uwezekano wa wao kushambulia kina hatarisha usalama wa raia wa kawaida ambaye hahusiki hata na mapigano. Raia wa kawaida waweza kudhaniwa nao ni ktk wapiganaji waliojificha kwenye mavazi ya raia
Duh!,mambo yanavuka mipaka.Muda mfupi uliopita ndege ya jeshi la romania aina ya mig 21 imepotea kwenye rada kumbukeni romania ni member wa nato aliyepakana na ukreini
Umeelezea vizuri sana. Raia wameambiwa wawe evacuated, makazi watapewa na huduma zote watapata uko Poland na kwingineko. Sijui wanakaa mjini kufanyaje na hakuna biashara wala kazi zinaendelea. Ninashawishika raia halisi wako nje ya mapigano, wavaa kiraia na walioko battleground ni wapiganaji wasio na combat na wanapenda kujificha kwenye majengo ya serikali na sehemu fulani kama za kihistoria au hospitali ili walalamike wakishambuliwa eti Russia kashambulia hospitaliCombat zinasaidia kutambulisha wanajeshi wa pande zote wanaopambana (waweze kuwindana wao kwa wao) na kuwatofautisha na raia ili kuwakinga raia wasidhurike.
Kitendo cha kupigana vita huku baadhi ya watu wakijifananisha na raia wa kawaida (kwa kuvaa nguo za raia) ili kupunguza uwezekano wa wao kushambuliwa (kuchukuliwa kama raia wa kawaida) na kuongeza uwezekano wa wao kushambulia kina hatarisha usalama wa raia wa kawaida ambaye hahusiki hata na mapigano. Raia wa kawaida waweza kudhaniwa nao ni ktk wapiganaji waliojificha kwenye mavazi ya raia
Sio Su-29 ni Mig-29. Umefanya kosa ambalo nami huwa nalirudia. Nimekwambia kwenye screenshot hiyohiyo ingia usome kipengele cha Operators, wewe unanipa link ambayo hujui kuna nini.Mbona unapiga domo sana. Niambie hizo Su-29 wamezitoa wapi!?
NaaamUlaya vitu vimeanza kupanda bei kwa kasi mno... Gas, Aluminium, and now coal
Pearl harbor ilisababishwa hivi
Shukrani mkuu. Niko neutral siku zoteWe jamaa, unachambua bila upendeleo. Welldone
Tumeinasa kwa magnetic ipo Siberia mda huuMuda mfupi uliopita ndege ya jeshi la romania aina ya mig 21 imepotea kwenye rada kumbukeni romania ni member wa nato aliyepakana na ukreini