Achana nae huyo,yeye anatujaziaga humu ma update anayatoa kwa mitandao lakini wengine wakileta update anaanza kuwahoji,utadhani yeye yupo front lineza kutoka wapi kivipi mkuu? wote humu source zetu ni internet tu au we una vyanzo vingine?
Wewe hizo update unazotujazia humu unakuwepo eneo la tukio? Acha na wenzio walete taarifa pia,hakuna aliyeko Ukraine nyote source zenu ni mitandaoni .Hizo ni taarifa kutoka wapi... Wakati misafara yote ya Urusi ilikuwa na ulinzi wa anga (escort)
Mkuu leta habari,nimeamka nikakimbilia kwa TV kutaka kujionea kyiv ikiwa majivu,lahaula nimekuta bado ipo na leo ni tar 3. Vipi tusogeze tena deadline?kinaitwaje na kina kazi gani?
Huyu kaumizwa sana na huu uvamizi ila hawezi mkana PutinRASMI Abramovich akiri kuwa chelsea iko sokoni
pesa itayopatikana ataka iwekwe kwe mfuko wa kuwasaidi wahanga wa vita ukraine
Kwamba wewe unajua sanaRussia ametumia uweledi mkubwa sana katika hichi wanachokiita operesheni ya kijeshi..ndo maana hata imechukua mda mrefu lengo ni kupunguza madhara makubwa kwa raia..mara nyingi majeshi ya Russia yamekutana na resistance ya wananchi lakini wamekua wakitumia busara sana wao wanaatack tu miundombinu ya jeshi na wanajeshi.
Ingekua ni wamarekani hii operesheni ingeisha ndani ya siku 3 sababu wao wanaua tu hawajali kama walivyofanya iraq
. Huyu raisi wa ukraine asalimu amri kuokoa mauaji ya raia kwan yeye ndo anamotivate raia wasio na millitary knowledge kuvaa combat na Russia akija anapiga tu akijua ni wanajeshi.
Ndiyo muda muafaka sasa wa wewe kutuletea zile za ndanii kabisa na za uhakika kutoka KlemlinVyombo vyenu vimeishiwa propaganda ya kupublish naona wapo kimya sana as if nothing is happening in Ukraine. UN wamedai 1M wameikimbia Ukraine
Unadhani hiyo hali haitatufikia huku Afrika?
Armenia hataki isikia hii kitu
Bayraktar UAV
train iliotakiwa kupeleka mafuta ilikutana na hii kitu ndio maana vifaru vikakata fuel iksababisha supply issues, hii ndio kitu pekee iliofanya jamaa waslow down, wale jamaa wa nagoro karabakh wanaielewa vizuri pamoja na ile ya mzayuni
View attachment 2136716
Kumbuka mda wa mazungumzo unaowekwa ndio unachelewesha mambo yaani tuseme golikipa wa Ukraine anapoteza sana mda. Mara mbili ametibiwa hivyo dakika zinaongezwa nyingi.Mkuu leta habari,nimeamka nikakimbilia kwa TV kutaka kujionea kyiv ikiwa majivu,lahaula nimekuta bado ipo na leo ni tar 3. Vipi tusogeze tena deadline?
Kwa hiyo tuongeze tena dakika ngapi za kufidia muda uliopoteaKumbuka mda wa mazungumzo unaowekwa ndio unachelewesha mambo yaani tuseme golikipa wa Ukraine anapoteza sana mda. Mara mbili ametibiwa hivyo dakika zinaongezwa nyingi.