LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
za kutoka wapi kivipi mkuu? wote humu source zetu ni internet tu au we una vyanzo vingine?
Achana nae huyo,yeye anatujaziaga humu ma update anayatoa kwa mitandao lakini wengine wakileta update anaanza kuwahoji,utadhani yeye yupo front line
 
Iraqi Shiites in Baghdad display posters in support of Russia

IMG_20220303_064216_215.jpg
 
Bomu LIMEPIGA USIKU KARIBU NA TRAIN WENYEWE WANAPOST PICHA YA MTOTO NA BABA, WANA VITA ZA KIMITANDAO
Users are spreading video of a rocket attack on a train station online

Source: All-Seeing Eye
 

Attachments

  • VID_20220303_064520_782.mp4
    419.7 KB
Vyombo vyenu vimeishiwa propaganda ya kupublish naona wapo kimya sana as if nothing is happening in Ukraine. UN wamedai 1M wameikimbia Ukraine
 
Defense Secretary wa Marekani General Lloyd Austin asema kuwa Russia bado wana uwezo na nguvu kubwa mno ya kupambana na Ukraine ambayo hawajaamua kuitumia.

Alipoulizwa kuhusu madai ya kuwa wanajeshi wa Russia wanasalimu amri kwa majeshi ya Ukraine kasema kuwa pamoja na kuwa kuna video nyingi zimepostiwa, madai hayo ni ngumu kuyathibitisha.

 
Russia ametumia uweledi mkubwa sana katika hichi wanachokiita operesheni ya kijeshi..ndo maana hata imechukua mda mrefu lengo ni kupunguza madhara makubwa kwa raia..mara nyingi majeshi ya Russia yamekutana na resistance ya wananchi lakini wamekua wakitumia busara sana wao wanaatack tu miundombinu ya jeshi na wanajeshi.
Ingekua ni wamarekani hii operesheni ingeisha ndani ya siku 3 sababu wao wanaua tu hawajali kama walivyofanya iraq
. Huyu raisi wa ukraine asalimu amri kuokoa mauaji ya raia kwan yeye ndo anamotivate raia wasio na millitary knowledge kuvaa combat na Russia akija anapiga tu akijua ni wanajeshi.
Kwamba wewe unajua sana
 
Vyombo vyenu vimeishiwa propaganda ya kupublish naona wapo kimya sana as if nothing is happening in Ukraine. UN wamedai 1M wameikimbia Ukraine
Ndiyo muda muafaka sasa wa wewe kutuletea zile za ndanii kabisa na za uhakika kutoka Klemlin
 
Mkuu leta habari,nimeamka nikakimbilia kwa TV kutaka kujionea kyiv ikiwa majivu,lahaula nimekuta bado ipo na leo ni tar 3. Vipi tusogeze tena deadline?
Kumbuka mda wa mazungumzo unaowekwa ndio unachelewesha mambo yaani tuseme golikipa wa Ukraine anapoteza sana mda. Mara mbili ametibiwa hivyo dakika zinaongezwa nyingi.
 
Kumbuka mda wa mazungumzo unaowekwa ndio unachelewesha mambo yaani tuseme golikipa wa Ukraine anapoteza sana mda. Mara mbili ametibiwa hivyo dakika zinaongezwa nyingi.
Kwa hiyo tuongeze tena dakika ngapi za kufidia muda uliopotea
 
  • Thanks
Reactions: F9T
Nimesikia dakika 3 zinaongezwa japo refa anaweza maliza game mda wowote kuanzia sasa na kwa kuwa dakika za ziada basi watu hawatalalamika CAS
 
Tokea nikiwa mtoto nilikuwa na ndoto ya kuiangamiza Ukraine. Nakumbuka kipindi nacheza michezo na watoto wenzangu baada ya kuangalia Rambo basi mm nilikuwa Upande wa Urusi na jamaa yangu alikuwa Ukraine. Nilimvunja vunja hatari sana na silaha yake ya mabanzi ya mgomba wa ndizi. Na Gode Russia
 
Jamani mliopo jikoni mtuambie Kiev imeshageuka majivu. ? Tunaona wakata kuni huku nje kuwa wanalalamika poli linaisha harafu msosi hauivi .
 
Back
Top Bottom