Google chrome
JF-Expert Member
- Nov 26, 2017
- 2,287
- 12,856
Wakabaki wanalalamika tunakumbuka vizuri sana hilo tukio pia liliongelewa sana marekani nilikuwa ndio nimeingia nikiwa mgeni mgeni na all the main news channels were broadcasting and castigating their government
wacha niongezee na video hapa
What? No comment!Vijana wa 2000s hawawezi kuielewa Russia mkuu unatwanga maji kwenye kinu.
Nawashangaa sana watu wanaohangaika kutafuta matusi mazito mazito dhidi ya opponents wao, wakati kuna njia mbadala na rahisi ya kuufikisha ujumbe. Hili la Russia ni zaidi ya tusi kwa ufalme wa Magharibi.nakumbuka vizuri sana hilo tukio pia liliongelewa sana marekani nilikuwa ndio nimeingia nikiwa mgeni mgeni na all the main news channels were broadcasting and castigating their government
wacha niongezee na video hapa
Kwa sababu eti anasema ni stratetic zaidi kutokana na mazingira aliyomo. Kwamba anafanya kitu ambacho kitaalam kinajulikana kama TACTICAL CAMOUFLAGE ili at least aweze kuwa feasible & practical kwa small brains.Mbona mawazo yake ni ya chekechea?
Russia at the top as always!🇺🇳🇺🇦 The Office of the United Nations High Commissioner for Refugees has published the latest data on the movements of refugees from Ukraine.
As of August 03, 6,303,226 refugees have been registered in Europe.
Top 5 countries:
🇷🇺 Russian Federation - 1,968,127
🇵🇱 Poland - 1,256,568
🇩🇪 Germany - 915,000
🇨🇿 Czech Republic - 400 559
🇮🇹 Italy - 157 309
Nakazia..udini upo sana hapa tz..mm ni pro russia ila kwenye suala la udini umepiga kwenye mshono..we angalia zanzibar kulivyoo..ni ujinga kujifariji..udini umejaa tele tena teleeee...Udini upo ndani ya damu yenu, hamuwezi kujitoa, mlidanganywa eti mnamkomoa Marekani, leo mnahangaika na hasira...ha ha ha
ACHA KUFANANISHA MADEREVA WA MALOR NA VITU VYA KIPUMBAVU BRODereva wa malori huyo
kiukweli that was humiliating. its reminds me mbogi yangu mtaani Nairobi tukizozania warembo. opponent alienda kurusha teke bahati mbaya akaslide akaanguka. Muriu wangu alimuuliza tu "unaanguka na sijakuguza.na nikikuguza,amka i dont hit a man when he is down" yaani we all laughed and dispersed. so Russia anakuonyesha napita juu yako na si vita. na ikawa ni war?Nawashangaa sana watu wanaohangaika kutafuta matusi mazito mazito dhidi ya opponents wao, wakati kuna njia mbadala na rahisi ya kuufikisha ujumbe. Hili la Russia ni zaidi ya tusi kwa ufalme wa Magharibi.
Hii katika medani za vita inajulikana kitaalamu kama TACTICAL AMPHIPROTICITY--the ability of a potential adversary or enemy to act favorably or even excessively philanthropic in a way that is both surprising & humiliating to a seemingly formidable opponent.
...this time flying too closer to the rear of the ship that the crew could probably spots whats the pilot missed shaving that morning...Wakabaki wanalalamika tuView attachment 2316306
Asilimia 99 ya watu wa Zanzibar ni Waislamu ulitaka iweje?Nakazia..udini upo sana hapa tz..mm ni pro russia ila kwenye suala la udini umepiga kwenye mshono..we angalia zanzibar kulivyoo..ni ujinga kujifariji..udini umejaa tele tena teleeee...
Hapo wanajificha mashimoni huwezi kuona hata mmoja akichangia hapa.... For sure watu wote wanaoitakia mema dunia hii hawawezi kuisupport USA maana ana Kila dalili ya ushetaniWale waliosema Urusi ilishindwa kuingia Kiev,sasa wajiandae kujificha.
Hata degree Moja hawezi kuwa nayo. Mtu aliyesoma utamjua tu ktk arguments zake. Sasa kama MK254 naye ni Msomi basi itakuwa ni Msomi wa kuendesha Matatu pale Kakamega.Usimchukulie poa MK254 . Nimepewa dokezo 🙂 hapa kwamba ana digrii tatu za political science & regional intergration kutoka chuo kikuu cha Nairobi na Frankfurt.
Zelenskyy akisoma hapo anaweza kutamani aende front line mwenyewe (si kupigana per se, bali kusafisha jina lake lililotukuzwa na Magharibi ila likatukutwa na wababe wa Mashariki).🆕🔥🔥🔥Dmitry Medvedev on Zelensky asking the Ukrainian parliament to approve the decision to confiscate all Russian property:
"They take from us on paper, while we take from them on the ground. And the issues of confiscating the Kiev regime's criminally acquired property and turning it into the property of the Russian Federation are successfully handled by our Armed Forces🔥🔥🔥