Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,109
- 53,632
Btw, hata Zambian Kwacha has performed the best against USD. Rubble is nothing special.Naamini Russia alijipanga zaidi na hii operation kuliko tunavyofikiria, alijipanga kijeshi na kiuchumi pia. Baada ya kuanza operation nchi za magharibi zilikimbilia vikwazo zikiamini kumuwekea Russia vikwazo kutamuadabisha na ataondoa jeshi ukraine. Nini kimetokea?
Vikwazo havikufanya kazi waliyoitarajia, nchi nyingi za ulaya kwa sasa hali za za uchumi ni tofauti na kabla hawajaweka vikwazo.
Angalia hata thamani ta hela ya Urusi mwezi march alafu angalia na august hii naamini Putin anacheza kete zake kwa akili sana.
Tuliaminishwa na western media kwamba uchumi wa Russia ni wa "kuunga unga" hivyo hawataweza kustahimili vita kwa mda mrefu ila kwa sasa tumeshuhudia tofauti.
Tukumbuke Russia ni mojawapo ya nchi zenye taasisi imara sana ya kijasusi haiwezi kufanya mambo kwa kukurupuka kama tunavyoaminishwa na media
View attachment 2316202View attachment 2316203
Sanctions hurt more than you can imagine.
When imports are banned, some industries must cripple or die. Russian Oligarchs don't believe in their country, they hide their wealth in some European Countries.
Unakumbuka wakati Huawei wanawekewa vikwazo kutotumia Android? Mpaka sasa ameshindwa ku-recover kwenye mobile phones.
Sophisticated industries kama airlines zinatumia pattents toka makampuni ya US au EU either Boeings or Airbus. Airline industry ya Russia haiwezi survive kama haitapewa some equipments toka kwa hao eu na us.
Iran walipowekewa vikwazo, airline industry imekufa kibudu.
Kabla ya vita Russia alikuwa nje ya top 10 ya nchi zenye uchumi mkubwa. Sahivi anapumulia gas na mafuta peke ake na kwa mbali bidhaa za kilimo.
What else does Russia offer other than Gas and Oil?