Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Yameshabutuliwa huku
Motivational speakers hamjawahi kukosekana.Hii vita inamuumiza zaidi Russia kuliko Ukraine.
Rasilimali anazotumia Russia ni kubwa kuliko mategemeo yake.
Hoja gani?Umekwepa hoja kindezi sana 😁😁😁😁

Sounds exactly like what Russia have been alleging all along. That the US have been producing biological weapons to ethnically cleanse certain individuals of select genome sequences. Idk about you all, but ethnic cleansing with biological weapons doesn’t sound very “Democratic”, but maybe that’s just me.“…there is a possibility that test results will be sold to third parties… and the information obtained could be used to develop biological weapons targeting specific groups… or individuals.”
Take that in for a moment. Yup. Russia just accused the United States of creating and releasing Covid-19. But wait, there’s more.“In May 2022, Jeffrey Sachs – a leading expert in the respected medical journal The Lancet and professor at Columbia University, the leading academic institution for global biosecurity, told a conference in Spain that ‘..the coronavirus was artificially created and is very likely to have been created using American advances in biotechnology…’.”
Russia goes on to directly accuse the US Agency of International Development, (USAID), of involvement of the creation of the new Covid variants. Citing that they have been studying coronavirus since 2009 (Obama), and that one of the main contractors for the project is the infamous Biden biolab company, Metabiota, the main source of biological malfeasance in Ukraine.According to our experts, this is evidenced by the uncharacteristic variability of the genovariants that cause different peaks in the incidence of coronaviruses, significant differences in lethality and contagiousness, uneven geographical distribution, and the unpredictable nature of the epidemic process as a whole. It appears that despite efforts to contain and isolate the disease, the pandemic is being artificially fuelled by the introduction of new variants of the virus in a particular region.
Russia believes not only did the US create and release C19, but they did so with deliberate intentions.The implementation of the COVID-19 scenario and USAID’s emergency wind-down of the Predict programme in 2019 suggest the deliberate nature of the pandemic and US involvement in its emergence.
HOLY SHIT… Russia just said the DNC and US big pharma are intentionally causing pandemics to win elections…Thus we see a clear trend: infectious disease agents that reach the Pentagon’s zone of interest are subsequently pandemic, with US pharmaceutical companies and their patrons, the leaders of the US Democratic Party, as the beneficiaries.
Kwa sasa naona uhuru wa Taiwan upo. Unatishiwa. Unaonaje?
Miaka ya sitini USA ilikua inaisumbua Cuba kwa sababu ya ukomunist.
Ilikua inaitishia kuivamia.
Urusi ikapeleka kibabe silahaza nyukilia kuilinda Cuba.
Ndege ya upelelezi ya USA aina ya U2 ikaingia maeneo ya Cuba,USSR ikaona kua inaweza kutambua zilipo silaha za nyukilia.
Wala Warusi hawakujadili sana,wakaipiga na kuua rubani wake.
Miaka ya sabini ndege nyingine ya upelelezi ya USA aina ya U2 ikaingia anga la Urusi,Urusi haikujadili sana ikaipiga ndege na rubani akatekwa.
KILE ALICHOSHINDWA CHINA KWA PElOS,URUSI ASINGEONGEA MARA MBILI
Miaka ya themanini (1984) ndege ya Korea kusini ikiwa na raia wa USA ambao inaelezwa kulilikua na watu muhimu,wataalamu ama majasusi wa Marekani ndani yake,ilipita eneo Mkoa wa Urusi wenye silaha Kali na za Siri ambalo hakuna ndege ya kigeni ingeruhusiwa kupita eneo like.
Urusi iliionya ndege hiyo isipite eneo hili lkn ikakaidi.
Iliionya zaidi na zaidi ikaleta kiburi.
viongozi wa jeshi la anga la Urusi waliamuru kwa marubani wa jeshi la Urusi waipige ndege Ile
Ndege ya jeshi la Urusi ikaruka juu na kwenda kuitungua ndege Ile.
Mwaka 2007 Putin akiwa uwanja wa michezo ya Olympic mjini Beijing.
Alikatisha starehe ya kutazama michezo na kurudi Moscow haraka,baada ya majeshi ya Georgia kuwapiga kijeshi majimbo yake mawili yaliyokua yanadai haki sawa yenye wakazi wenye asili ya Urusi.Sothern Ossetia na Abkhazia.
Putin aliamiru jeshi lake kwenda kuwasaidia majimbo hayo.
Huku Georgia akitiwa kiburi na NATO,Urusi ilitembeza kichapo na kuyapa Uhuru majimbo hayo.
USA wakiwa wamekula njama na kusababisha maandamano nchini Ukraine yaliyopelekea Rais wa Ukraine kukimbia,makomando wa Urusi aina ya Spetsnaz wakiingia kimyakimya Crimea na kuitwaa na kuirejesha Urusi.
Ikumbukwe Crimea ilikua ni sehemu ya Ukraine.
Haya yote yamefanyika huku Marekani akibweka bila kuuma.
Kabla Urusi hajaivaimia Ukraine,USA alileta dharau sana pale Putin alipokua alifanya juhudi kuisihi USA isiruhusu Ukraine kujiunga na NATO.
Urusi uvumilivu uliishinda.
USA iliionya sana Urusi isivamie Ukraine kwamba itakutana na consequences ambazo itajuta.
Urusi haikujali ikavamia Ukraine.
Marekani na ubabe wake wote Huwa kwa Urusi haifanyi kitu.
Urusi baada ya kuona Assad huenda akaondolewa na USA na wapanmbe wake Urusi ikaingiza majeshi,Assad bado yupo,kwa kifupi Urusi ndio imemuweka Assad kibabe.huku ikizifukuza USA,France na UK.
Urusi imemuweka madarakani kibabe Niko Maduro.
Mwaka 2019 kama sikosei ndegevita moja ya Urusi ilipaa juu ya meli inayosemwa ni ya kisasa sana na iliyo ora zaidi ya Marekani na inayotegemewa zaidi na NATO.
Ndege hiyo ya Urusi iliizunguka melivita hiyo ya USA mara kadhaa na kuondoka.
Kilichotokea meli yote ilizimika Kila kitu,mfano wa mtu azimavyo TV Kwa remoti control.
Meli hiyo ilikuja kukokotwa Hadi kwenye kambi ya meli za USA iliyoko ujerumani.
Mabaharia wa meli hiyo walipofika waliandika barua za kuacha kazi kwa hofu waliokua nayo .
Ushahidi wa matukio yote niliyoandika upo
Yote haya na mengineyo yanafanyika USA akiona.
Urusi ndio mbabe wa Dunia.
USA kazi kuonea vigagaa TU.
Mkuu je unamaanisha kwamba mikataba ya zamani (kama ahadi ya Urusi kutunza uhuru na uzima wa Ukraine ya mwaka 1994) haina umuhimu tena?? Samahani naona ni msimamo wa hatari kwa dunia yetu- Ukikubali kila nchina kilamtu yuko uru kuachana na mikataba mara asipoipenda tena, basi tunazika haki na sheria.Tukubaliane kwa hilo! Lakini vipi kipindi cold war came to a close?!
Mwaka 1998 US diplomat Bw. George Kennan kwenye interview ali-predict hili suala alisema NATO expansion italeta crisis "after which the proponents of expansion would say that we always told you that is how the Russians are" .
Kwa hali ya namna yoyote unaweza usikubaliane na Moscow's position kwa kuendesha Operation nchini Ukraine lakini unapaswa kufahamu the logic behind it. Hii ni Geopolitics: great powers are always sensitive to potential threats near their home territory."
Kwani lini Taiwan imekuwa nchi huru!!!????Kwa sasa naona uhuru wa Taiwan upo. Unatishiwa. Unaonaje?
It's not easy to get to understand who is actually prevaricating proficiently, because both have simple statements with no evidence, except that he's nowhere to be seen.America is really reaching by claiming to have air-struck a guy who already died in 2020 from a medical condition.
Did America blow up his coffin?
😂View attachment 2316482
Hii inaitwa TACTICAL CONSCIOUSNESS. Ni mbinu ya kawaida katika medani za vita kujitambua na kufanya uamuzi makini wa kimkakati kuwa kwenye upande unaoshinda na wenye manufaa.Marekani+NATO+EU zalalamika na kusikitika mno kuwa Uturuki imekuwa na uswahiba mkubwa mno na Urusi, na kwamba Erdoğan na Putin wamekutana hivi karibuni na wamekubaliana kushiriki ktk nyanja za usafirishaji, kilimo, uchumi na ujenzi.
ikumbukwe kuwa Uturuki imeshatangaza wiki chache nyuma kuwa itajiunga na BRICS 😄😄😃😃😇
View attachment 2316478View attachment 2316477
Mkuu T14 Armata nina kimemo chako hapa
Hizi si propaganda kweli nyie fans wa Putin?Colonel Daniel Davis wa Jeshi la Marekani anasema kuwa Ukraine inahitaji miujiza ya fimbo ya Musa (Moses) ili kuyaondoa majeshi ya Urusi kwenye jiji la Kherson
View attachment 2316496View attachment 2316497View attachment 2316499
Tupieni picha jamani tuone hayo machumachuma. Au mmeshayapeleka kwenye jumbo la maonesho?Yameshabutuliwa huku View attachment 2316602View attachment 2316603
Unaona usivyo na akili..suala la kuwa wengi sehem moja haipaswi kuwa sabab ya kuwagandamiza walio wachache..zanzibar wakat wa mfungo hakuna kula mchana hata uwe mkristo..huoni huo ni ugandamizaji wa haki za wengine? Kufunga ufunge mm mkristo inanihusu nn?? Kwa nn hamuheshimu haki za wengine?? Juzi hata wanakataa kanisa kujengwaaa..hata hayo machache yaliyopo wanaoperate kwa shida mno na kwenye event moja viongozi wa kikristo walimlalamikia rais mwinyi kuhusu hilo hukusikia au ulikuwa unasugua uso jomba.Asilimia 99 ya watu wa Zanzibar ni Waislamu ulitaka iweje?
Wana Autonomous yao, hivyo hujipangia sheria kutokana na Tamaduni zao.
Mfano uje hapa Mbeya halafu utake kuleta Utamaduni nje ya Wanyakyusa, Wasafwa, Wamalila na Wandali utakuwa una akili kweli?
Huku duka Nyama ya ng'ombe, duka kitimoto na maisha yanaenda.
Tanzania ubaguzi wa kidini bado.
Tena bado sana kwa sababu ya mchaanganyiko unaoendelea kutengenezwa.
Acha ujuha au hujatembea Tanzania vizuri.
Umepita mulemule! Wapigweeeee! In JG's voiceUnaona usivyo na akili..suala la kuwa wengi sehem moja haipaswi kuwa sabab ya kuwagandamiza walio wachache..zanzibar wakat wa mfungo hakuna kula mchana hata uwe mkristo..huoni huo ni ugandamizaji wa haki za wengine? Kufunga ufunge mm mkristo inanihusu nn?? Kwa nn hamuheshimu haki za wengine?? Juzi hata wanakataa kanisa kujengwaaa..hata hayo machache yaliyopo wanaoperate kwa shida mno na kwenye event moja viongozi wa kikristo walimlalamikia rais mwinyi kuhusu hilo hukusikia au ulikuwa unasugua uso jomba.
Hii nchi siku nyie kuku mkiwa wengi nazani wakristo wajiandae kutwangwaaa..
Hakuna jamii isiyostaarabika kama nyie.
Very good[emoji298]️Russia-Turkey sign 'economic' roadmap - agree to trade in rubles
Ankara and Moscow have sealed a deal to boost co-operation, according to President Erdogan.
The Turkish leader said the agreement will allow the two nations to trade in rubles, while Turkey is ready to be a platform for talks with Ukraine.