Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
Kipigo kimenyong'onyea: Zelensky aililia China isaidie kumaliza vita yake na Urusi
Bado kumpigia Rais Samia tu
Kipigo kimenyong'onyea: Zelensky aililia China isaidie kumaliza vita yake na Urusi
Mkuu mantiki yako ni ngumu kidogo. Sitaki kuamua kama Urusi inaona kweli hatari ya silaha za nyuklia Ukraine. Maana Ukraini ilikabidhi silaha hizo kwa Urusi mwaka 1994 ilhali Urusi iliahidi kutunza umoja na uzima wa Ukraine. Mkataba huo haukuweka vikwazo wa Ukraine kuhusu siasa zake au ushirikiano wowote. Pamoja na hyo, Urusi iliwahi kukubali mapatano ya Helsinki yaliyosema kila nchi ya Ulaya iwe huru kuchagua ushirikiano na mataifa mengine.Naielewa sababu yako, nami ielewe sababu yangu kwa maana nakubaliana na sababu ya Russia kuwa NATO ni tishio kwa usalama wake na sababu hii naipa uzito kwa tukio kubwa lilitokea kwa China.
US ni kaka mkubwa wa NATO. Kuitambua kwake Taiwan ni nchi huru tumekiona alichokifanya kwa China. Amemsindikiza Pelonsi kwa manuwari, ndege vita kwa ufupi alikuwa kamili. Shukrani kwa China akaamua kufunika kombe.
Assume mazingira hayo Ukraine ipo NATO na anasimika mabomu ya nuclear mpaka mwa Russia na akili za Russia tunazijua patachambika.
Swali muhimu; kwa nini tunaiweka dunia kwenye hatari ya namna hiyo? Hivyo sababu ya Russia naiona ina mashiko kuwa NATO ni tishio kwa usalama wa nchi na uthibitisho wa wazi kabisa ni kile kilichotokea kwa China juzi.
Ili avunje kabisa na kuitoa dunia hatarini hana budi kumuadabisha huyu aliye act as a catalyst (Ukraine) ili apunguze na kuondoa hatarishi kubwa ya dunia.
Kwa hili, nakubaliana na Russia anachokifanya Ukraine.
S100 mpaka aunde kamati ya kwenda kuteua kamati ndogo ya kumshauri achukue uamuzi gani, Putin SMO atakuwa ameimaliza kitambo sana na kuifanya Ukraine hadi Polandi kuwa majimbo yake.Bado kumpigia Rais Samia tu
Hawa wenzetu wana ile kunya anye kuku akinya bata kaharisha. Kwao US ndio kama Bible kwao inayotoa reference ya kizuri ama kibaya. Anachosema US ndicho ila mwingine kadanganya.Naielewa sababu yako, nami ielewe sababu yangu kwa maana nakubaliana na sababu ya Russia kuwa NATO ni tishio kwa usalama wake na sababu hii naipa uzito kwa tukio kubwa lilitokea kwa China.
US ni kaka mkubwa wa NATO. Kuitambua kwake Taiwan ni nchi huru tumekiona alichokifanya kwa China. Amemsindikiza Pelonsi kwa manuwari, ndege vita kwa ufupi alikuwa kamili. Shukrani kwa China akaamua kufunika kombe.
Assume mazingira hayo Ukraine ipo NATO na anasimika mabomu ya nuclear mpaka mwa Russia na akili za Russia tunazijua patachambika.
Swali muhimu; kwa nini tunaiweka dunia kwenye hatari ya namna hiyo? Hivyo sababu ya Russia naiona ina mashiko kuwa NATO ni tishio kwa usalama wa nchi na uthibitisho wa wazi kabisa ni kile kilichotokea kwa China juzi.
Ili avunje kabisa na kuitoa dunia hatarini hana budi kumuadabisha huyu aliye act as a catalyst (Ukraine) ili apunguze na kuondoa hatarishi kubwa ya dunia.
Kwa hili, nakubaliana na Russia anachokifanya Ukraine.
Mkuu tafadhali unisaidie nipate kuelewa kuna hatari gani kutembelewa na kAbibi kazee kama Pelosi? Pia kuna msingi gani kukasirika hapa? Maana miezi 3 iliyopita maseneta 3 wa Marekani walitembelea Taiwan hakuna aliyesema kitu.China kachukua hatua za busara sana, nawapongeza China. Marekani ni mchokozi na kwa makusudi anataka na anatumia mbinu yoyote ili China ishuke kiuchumi, pale China itakapoingia vita na Taiwan. Kama kawaida Marekani atajiweka pembeni huku akicheka kicheko cha kebehi. Intelijensia ya China imefanya maamuzi sahihi sana ili kulinda uchumi wake na kuepusha hatari zaidi.
Mkuu sina kazi kutetea wala Marekani wala chochote. Naona katika mambo ya NATO inaoneka ni Urusi inayoleta wanachama wapya kuliko nchi nyingine. Sijaona taarifa kwamba Uswidi au Finland walialikwa au kushawishiwa kuingia NATO isipokuwa kuona mashambulio na matishio ya Urusi dhidi ya majirani.Hawa wenzetu wana ile kunya anye kuku akinya bata kaharisha. Kwao US ndio kama Bible kwao inayotoa reference ya kizuri ama kibaya. Anachosema US ndicho ila mwingine kadanganya.
Watakwambia wanapenda Amani wanachukia ugonvi ila ukiwaambia mwanzilishi wa ugonvi ni fulani wanaruka wanageuka kumtetea.
Mawazo yao, mitazamo yao imejaa unafiki mwingi kama upande ule ulivyo.
Sakata jepesi la juzi, Pelosi anawaambia watawalinda Taiwan meanwhile White House wanasema wanaiheshim na kuitambua "One China Policy". Angalia huu unafiki ndio kama walio nao hawa wenzetu.
Huku watasema hiki na kule watasema kile.
Siangalii tena mwananguNaona leo mkuu umeamka na akili za usiku😂😂😂😂 mwenetu mchina katuvuruga sana.
Vipi utaendelea kuangalia MOVIE zake?
Ni kweliWengi humu ni mara ya kwanza kufuatilia maswala ya kijeshi. Russia mara zote huwa anaanzaje vita hapo Ukraine.Nyerere alitangaza vita lini ? Saizi China anafanya kile alichpfanya Russia kabla ya kuvamia
Zombi amka kumekucha!Kiufupi mpaka sasa mmarekani ameshajua wakati wa kuanguka kiuchumi, kijeshi na kiushawishi umekaribia, sasa alichotaka kukifanya ni kuhakikisha dunia nzima inaanguka kiuchumi na Siyo peke yake, lakini wenzake wamemkwepa wanasuburia kipindi cha baridi wakati ulaya unahaha kujiokoa na baridi, huku viwanda vikifungwa, na watu wakikosa Ajira mfumuko wa bei ukiwa juu kiasi kwamba hawawezi kununua vitu vya bei kubwa kutoka marekani kutokana na wananchi kuanguka kiuchumi hapo, anguko linahamia marekani anazalisha wanunuzi hawapo, kukosa wateja wa bidhaa za marekani itasababisha makampuni kufungwa na kupunguza wafanyakazi, hapo ndipo kila mwananchi ataanza kujibana Kwa kuwa hawana pesa na ughali wa maisha matokeo yake ni kuanguka kiuchumi kibaya zaidi, kuna kitu ambacho ambacho sijui watu mmekigundua, mataifa ya ulaya yanapeleka dolla na uero kwenye benki ya urusi halafu benki inabadilisha hiyo pesa na rubo, Ile pesa iliyobadilishwa inabaki bank, toka mzozo uanze mrusi kakusanya kiasi gani cha dolla na euro?????
Vipi kama wakiamua China na urusi kuziachia hizo pesa maana yake dolla na euro inaenda kufa thamani maana kutakuwa na pesa nyingi kuliko mahitaji, hii itapelekea matajiri waliohifadhi pesa Kwa Dola wabadilishe kwenye kwenye pesa kama rubo na yuan, ushajiuliza makundi kimafia, makundi ya kuuza madawa ya kulevya yanamiliki Dola ngapi??, Kibaya zaidi makundi haya yanamiliki pesa ndefu lakini hawaweki benki kukwepa kukamatwa, Leo wakiambiwa dolla inaenda kuanguka kuna kiasi gani cha Dola kitaingia kwenye mzunguko kukwepa dolla isije ikashuka thamini????? Hii itasababisha dolla iwe toilet paper [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Angalia marekani alivyokuwa anamsindikiza pelosi Taiwan ni kama marekani walijiandaa Kwa Vita na hata majeshi mengi kuelekea NATO dhumuni hasa ilikuwa ni Vita na uchina na Siyo urusi
View attachment 2314080
Ikiwa kama utahitaji twende kwa history inatubidi tujifunge mkwiji, nachelea mmoja baina yetu kwa ghafla nguo zinaweza zikamvuka. Ijapokuwa huu mjadala umeshajadiliwa kwa mapana zaidi humu ndani Bwana Kipala umeuhuisha. Kwa namna hiyo utaniwia radhi, uwasilishaji wangu utakuwa wa ujumla jumla ikiwa kama utahitaji tulijadili hili.Mkuu mantiki yako ni ngumu kidogo. Sitaki kuamua kama Urusi inaona kweli hatari ya silaha za nyuklia Ukraine. Maana Ukraini ilikabidhi silaha hizo kwa Urusi mwaka 1994 ilhali Urusi iliahidi kutunza umoja na uzima wa Ukraine.
Tukubaliane kwa hilo! Lakini vipi kipindi cold war came to a close?!Mkataba huo haukuweka vikwazo wa Ukraine kuhusu siasa zake au ushirikiano wowote.
Ndio wamekuambia ?Na China ataungana na Russia,Iran,NK na kadhalika Kwa hiyo itakuwa world war 3 ambayo haina mshindi.
Maelezo mazuri bro!Kiufupi mpaka sasa mmarekani ameshajua wakati wa kuanguka kiuchumi, kijeshi na kiushawishi umekaribia, sasa alichotaka kukifanya ni kuhakikisha dunia nzima inaanguka kiuchumi na Siyo peke yake, lakini wenzake wamemkwepa wanasuburia kipindi cha baridi wakati ulaya unahaha kujiokoa na baridi, huku viwanda vikifungwa, na watu wakikosa Ajira mfumuko wa bei ukiwa juu kiasi kwamba hawawezi kununua vitu vya bei kubwa kutoka marekani kutokana na wananchi kuanguka kiuchumi hapo, anguko linahamia marekani anazalisha wanunuzi hawapo, kukosa wateja wa bidhaa za marekani itasababisha makampuni kufungwa na kupunguza wafanyakazi, hapo ndipo kila mwananchi ataanza kujibana Kwa kuwa hawana pesa na ughali wa maisha matokeo yake ni kuanguka kiuchumi kibaya zaidi, kuna kitu ambacho ambacho sijui watu mmekigundua, mataifa ya ulaya yanapeleka dolla na uero kwenye benki ya urusi halafu benki inabadilisha hiyo pesa na rubo, Ile pesa iliyobadilishwa inabaki bank, toka mzozo uanze mrusi kakusanya kiasi gani cha dolla na euro?????
Vipi kama wakiamua China na urusi kuziachia hizo pesa maana yake dolla na euro inaenda kufa thamani maana kutakuwa na pesa nyingi kuliko mahitaji, hii itapelekea matajiri waliohifadhi pesa Kwa Dola wabadilishe kwenye kwenye pesa kama rubo na yuan, ushajiuliza makundi kimafia, makundi ya kuuza madawa ya kulevya yanamiliki Dola ngapi??, Kibaya zaidi makundi haya yanamiliki pesa ndefu lakini hawaweki benki kukwepa kukamatwa, Leo wakiambiwa dolla inaenda kuanguka kuna kiasi gani cha Dola kitaingia kwenye mzunguko kukwepa dolla isije ikashuka thamini????? Hii itasababisha dolla iwe toilet paper 😃😃😃😃😃😃
Angalia marekani alivyokuwa anamsindikiza pelosi Taiwan ni kama marekani walijiandaa Kwa Vita na hata majeshi mengi kuelekea NATO dhumuni hasa ilikuwa ni Vita na uchina na Siyo urusi
View attachment 2314080
Kuna neno wenye fani zao wanaiita fana.Hawa wenzetu wana ile kunya anye kuku akinya bata kaharisha. Kwao US ndio kama Bible kwao inayotoa reference ya kizuri ama kibaya. Anachosema US ndicho ila mwingine kadanganya.
Watakwambia wanapenda Amani wanachukia ugonvi ila ukiwaambia mwanzilishi wa ugonvi ni fulani wanaruka wanageuka kumtetea.
Mawazo yao, mitazamo yao imejaa unafiki mwingi kama upande ule ulivyo.
Sakata jepesi la juzi, Pelosi anawaambia watawalinda Taiwan meanwhile White House wanasema wanaiheshim na kuitambua "One China Policy". Angalia huu unafiki ndio kama walio nao hawa wenzetu.
Huku watasema hiki na kule watasema kile.
Bro najiuliza hapa tushirikiane kumuelimisha huyu au naye atasema anachangiwa na mtu yule yule kwa Identity tofauti... 😂Ikiwa kama utahitaji twende kwa history inatubidi tujifunge mkwiji, nachelea mmoja baina yetu kwa ghafla nguo zinaweza zikamvuka. Ijapokuwa huu mjadala umeshajadiliwa kwa mapana zaidi humu ndani Bwana Kipala umeuhuisha. Kwa namna hiyo utaniwia radhi, uwasilishaji wangu utakuwa wa ujumla jumla ikiwa kama utahitaji tulijadili hili.
Tukubaliane kwa hilo! Lakini vipi kipindi cold war came to a close?!
Mwaka 1998 US diplomat Bw. George Kennan kwenye interview ali-predict hili suala alisema NATO expansion italeta crisis "after which the proponents of expansion would say that we always told you that is how the Russians are" .
Kwa hali ya namna yoyote unaweza usikubaliane na Moscow's position kwa kuendesha Operation nchini Ukraine lakini unapaswa kufahamu the logic behind it. Hii ni Geopolitics: great powers are always sensitive to potential threats near their home territory."