Jackal
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 10,258
- 14,106
Ukiwa term Putin lazima ujitoe ufahamu kwanza ndio uingie humu🤔Watasema imepikwa wakati ule msafara 45km hatujui ulipotelea wapi na walikuwa wanasafisha njia moja kwa moja mpaka Kyvi.
Ukiwa term Putin lazima ujitoe ufahamu kwanza ndio uingie humu🤔Watasema imepikwa wakati ule msafara 45km hatujui ulipotelea wapi na walikuwa wanasafisha njia moja kwa moja mpaka Kyvi.
Hahahah, wazee wa kutoshindwa, kule Ukraine hawatoi uthibitisho.Sio China opens corridor for Nancy to leave Taiwan...! waache kusema hivyo.
Alitaka flex muscles ila alipoona kiburi akaamua akae kimyaI humbly supported the Chinese decision Ila why ile mikwara. Mi nafkiri mikwara ilitokana na kukosa details. Nafkir China hajawekeza sana ktk military intelligence ilitakiwa ajue kuwa US walishafanya maamuzi ya vita kabla ya jana. Hapa ndo panaponifikirisha. China asitegewe ktk vita.
Hongkong walishawahiwa, wako ndani ya China ile One Country Two governments ilitupiliwa mbaliUko sahihi. Ila why China alete mbwembwe zote zile?
Attention ilikuwa haina maana kwasababu hata Taiwan naye ashajua mpango wa China kuwa yupo tayari kijeshi kukamata Taiwan yote unafkiri vikao vya west vitaisha hapo Taipei? No. Is the beginning of new era.
Jana Taiwan ndo walikuwa wa kwanza kurusha warning fires. Maana yake they are ready to die. No one predicts what comes after death, is hell or paradise.
What is next? HongKong. James Wong mwengine akianzisha tena maandamano itakuwa hapakaliki. It is chain reaction of many events from now onwards
tunaomba uandae kitabu cha TACTICALThanks! Hii katika medani za kivita inaitwa TACTICAL PREPOTENCY (China over US) na TACTICAL PREDOMINANCE (US over everybody else).
cc: T14 Armata (tuletee japo comment yako ya mstari mmoja mkuu)!
Wengi humu ni mara ya kwanza kufuatilia maswala ya kijeshi. Russia mara zote huwa anaanzaje vita hapo Ukraine.Nyerere alitangaza vita lini ? Saizi China anafanya kile alichpfanya Russia kabla ya kuvamiaAlitaka flex muscles ila alipoona kiburi akaamua akae kimya
US Kasema anatambua one China basi inatosha . US hajakaidiAlitaka flex muscles ila alipoona kiburi akaamua akae kimya
Hapo naona itahitajika TACTICAL RESEARCH ya kutosha. But ntaomba msaada wa T14 Armata & Qibsyl na wengineo wote humu, EXCEPT MK254 🙂 ambaye anangoja deportation kwenda DPRN kwa Mr Kiduku akajifunze nidhamu, utu, na uzalendo.tunaomba uandae kitabu cha TACTICAL
Slava Ukraine [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1258]Recent updates as of 2.08 [emoji116]View attachment 2313042
All the way to the former USSR, baby![emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2313065
^Kipigo huwa ni siri ili usitafute njia za kujihami.^ ^...unapomkosesha adui yako kujua next move yako ndio ushindi wenyewe.^Vipi kama nao waliamua kumuingiza US chaka kama tulivyofanya kwa Ukraine kuwaaminisha tunaitaka Kyiv kwa ule msafara wetu kumbe hatuna habari nayo kwa wakati ule?
Huu mfano naurudia mara kwa mara kwasababu umenifundisha kitu cha muhim sana.
So what if China aliamua kushupalia lile swala, akijua US ni mpenda ugonvi atalazimisha kwenda Taiwan. Then akienda wao itawapa kila sababu za kuanzisha kile walichokua wanakitaka hapo Taiwan?
Alichokifanya jana Pelosi kwani kisingewazakana hata kwa mawasiliano ya kawaida kwa sim au n.k?
Again tena bro we unafikiri kwa alichokianya US ataendelea kuwaambia akina nani juu ya kuheshim sovereignty ya mataifa mengine?
China ataonekana mwoga ila upande wa East hasa Xi na Putin washajua west wana ombwe la nini... Ubabe usio na tija na kwasababu hawafikirii mara 2 mbili naona kama kila kona wanaingizwa mkenge.
Hakuna shambulizi la kuambiwa utapigwa kwa namna hii hadharani tena mbele ya Media kwa adui yako. Kipigo huwa ni siri ili usitafute njia za kujihami.
Tuendelee kula mtori matarajio ya ujio wa Multipolar yanazidi kuongezeka. I don't know why nawaamini sana upande wa mashariki.
Kila Chess Move yao kwangu Bingo, ha ha ha yani ipo nje ya matarajio ya walio wengi na of course unapomkosesha adui yako kujua next move yako ndio ushindi wenyewe.
Like penalty shoot, unamuhadaa kushoto ajabu unapiga kulia, Una score muruuuua kabisa washabiki tunaamka kwenye viti.
Chonde chonde tutulieni wakati wapishi wetu wako jikoni 😂.
^the House speaker promised that the US “will not abandon our commitment to Taiwan,”^China Opens Corridor for Pelosi to LEAVE Taiwan; She has departed
AUGUST 2022
China and the US worked out a safe flight corridor for Speaker Nancy Pelosi so her US Air Force plane could safely depart from Taiwan. Reports are coming in as of 7:30 AM EDT that the Speaker's aircraft has, in fact, safely departed.
US House Speaker Nancy Pelosi concluded her controversial visit to Taiwan, with a plane carrying America’s third highest-ranking official taking off from Songshan Airport in Taipei on Wednesday.
Pelosi arrived on the self-governed island on Tuesday despite stern warnings from Beijing, which views Taiwan a part of its territory under the One China policy.
During her short stay in Taipei, the House speaker promised that the US “will not abandon our commitment to Taiwan,” describing it as “one of the freest societies in the world.”
The 82-year-old addressed the local parliament, held a meeting with the island’s leader Tsai Ing-wen, and was awarded with the one of Taiwan’s highest civilian awards – the Order of Propitious Clouds with Special Grand Cordon – for her firm stance in “safeguarding freedom, democracy and human rights.”
The Chinese Foreign Ministry has condemned Pelosi’s trip, saying it “seriously infringes upon China's sovereignty and territorial integrity” and will have a “severe impact on the political foundation of China-US relations.”
Hakuna tatizo Mkuu.Hammaz hata ukiwa mjeda kuna shida gani anayoweza kuipata mtu.
Halafu mbona wajeda wengi wajanja na wasomi. Au kuna kitu sijaelewa.
Goju Ryu!? Bado sijacheza.Navutiwa na yote uandikayo humu lkn Leo nimevutiwa zaidi kujua kuwa wewe ni Martial artist.
Mwamba uko vizuri.
Naomba niwe muwazi napenda sana hizi mambo.
Nime train Goju Ryu karate do.
Kacheka tena na tena 😂😂😂Galip Vrl anacheka.
Yaani itangazwe tu jeshi la akibaaaa!Kacheka tena na tena 😂😂😂
Uive kwanza nikufanyie majaribio, 🤗🤗🤗Yaani itangazwe tu jeshi la akibaaaa!
Siku PK anafanya maujinga jinga yake kwa Tz aisee! Mapema sana naenda.
Yaani leo tunapiga, kesho tunarudi tunakunywa chai.