Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hahaha!

Sina kiasi kikubwa wala kidogo, ninacho cha kati.

Kwa nini nikanushe neema za Mungu?

Leta taswira unavyovimiliki usingevimiliki ungelikuwa unahangaika kama wengine? Jaribu tu kutafakari.

Nikiwaza hivyo huwa nauchukia moja kwa moja umasikini. Siupendi. Kama Medved anavyowachukia NATO ndivyo mimi ninavyouchukia umasikini.

Kwa msingi huo unapata fursa ya kuwafikiria wasiokuwa nacho hali yao ipoje?

Naam; atakaenijia anahitaji msaada ikiwa kama upo ndani ya uwezo wangu nitamsaidia. Ikiwa kama ni kinyume chake nitajaribu kuona wapi anaweza akasaidiwa. Ikishindikana Mungu ndiye mjuzi wa yote.

Kitu kimoja nilichousiwa: Kwa vyovyote itakavyokua ukifika wakati unapata fedha nyingi kuliko ulivyokuwa awali, hizo ndizo pesa zako za kufanya maendeleo makubwa. Usitake kujionesha kwa watu ili wakutambue wewe upoje. Pekee ambae anaetambua nafasi yako ni wewe. Mwanangu; usiuchezee wakati.

----------------------------

Turudi kwenye Uzi comrade.
0716 390 380 please 🙂 (#inapokea meseji za PESA tu!)
 
Kwa China bora direct War kuliko vikwazo kama US atatafuta ushindi dhidi yake. Ndio maana kila mda najaribu kusema tusubiri end results tutakuwa na mengi ya kuzungumza.

Kama mnafatilia haya mambo vizuri niwape swali lingine mlitafakari.

Kwanini US hapendi direct war (military) with Russia (Simsemei kalisema mara nyingi tu) hapo hapo anakwepa vita ya kiuchumi dhidi ya China (mkumbuke alimpa vitisho vingi dhidi ya mahusiano yake na Russia yet hadi sasa hajafanya chochote na China anaendelea kufanya biashara zake na Russia).

Kwanza inabidi tuelewe kua China ni Superior in term of economy, anampa challenge US kwenye huu upande. US anaweza kupigana na huyu kivita ila sio kiuchumi.

Russia ni superior in term of military, huyu anampa challenge US ukurasa huu. Nae US anaweza kupigana na Russia kiuchumi ila sio kivita.

Ukimya wa China jana ni ushindi kwa East no matter nyie mnalitizama vipi. Jana Marekani kanyimwa kile alichokua anakitaka, ambayo ni vita kati yake yeye na China. Vita ambavyo again ingemsaidia kupiga ndege wawili kwa pa1. (China en Russia)

Sasa tubaki tunazungumzia issue ya vikwazo na kivipi US hawezi hiyo league kwa China.

🔸Mosi China ni World largest producer, kampiku US miaka kadhaa iliyopita. Asilimia 28 ya vitu vyote duniani vinatengenezwa China. China ni world largest manufacturing hub kuliko US tena kwa tofauti karibu 10%

Ukitaka kujua litaiathri vipi dunia, angalia GERMANY hapo EU ambayo ni third largest manufacturing hub duniani kuyumba kwake kulivyo haribu uchumi wa ulaya kwa pa1.

Hiyo situation ya Germany izidishe mara 6 ndio itakuwa hali ya China kwa "Chumi" zingine duniani.

🔸US na China wanafanya biashara kwa kiasi kikubwa, ila hii biashara kati yao ni kua US anaagiza vingi kutoka China kuliko China anavyochukua kutoka US. Kufupisha maelezo ni kua US ana trade deficit with China.

Hapa kati mlisikia hadi "baby formula" za US zatoka China, So umewaza nini kitajiri kwenye vita ya kiuchumi dhidi yake?

🔸 Main Supplier wa industries za US ni China. Kuipiga vikwazo china ni kuharibu industry sector ya kwake mwenyewe US. Lugha nzuri hapa niseme itakuwa ni self destruction.

All giants US companies zaitegemea China na mwanae Taiwan kwa mambo mengi, mfano wengi hapa hukimbilia final products ya bidhaa tunazotumia bila kujua au kuangalia imetengenezwa kwa kipi na kipi kutoka kwa nani na nani.

🔸Again china anashikilia deni la US zaidi ya Dollar trillion 1.
Akiamua kuliuza hili deni kwa speed ata trigger inflation US zaidi ya ilivyo sasa je nini kitajiri?

🔸Ukitizama sectors muhim za uchumi wa China zipo balanced. Industries, Agriculture, Services zina almost uwiano sawa. Lakini kwa US Sector kubwa ni "Services" ambayo inachangia zaidi ya 80% ya pato la taifa (GDP).

Uchumi ambao uko vulnerable kuharibika ni wa US ambao unategemea maisha mazuri ya Raia wake. (Spending ndio key ya Services Economy), hali ngumu kwa Raia inapelekea Spending kua kidogo, hivyo kuathiri hii sector. Na hili ndio jibu la kwanini quarter zote hizi mbili uchumi wa US unaonesha negative growth wakati hayupo kwenye vita na yoyote (kwa mujibu wa vyombo vyao vya habari 😅).

🔸China ni largest creditor duniani kuliko hata hizi taasisi za fedha za kimataifa mnazozijua. Hapa tusiweke maelezo mengi kwani kila mmoja anajua mikopo ni utumwa. Mkopeshaji ana sauti juu yako, Mzinguane akutie default. Je US ataweza kumshawishi nani asijihusishe na China?

Natamani kuendelea kukuonesha namna gani vita ya kiuchumi kwa US na China ilivyo ya kufikirika kama ilivyo vita ya Silaha kati ya Russia na US sema asubuhi hii nitachelewa kufanya mambo mengine.

Hapo kwa China vs US wakisema walianzishe (Vita ya silaha) atakaye athirika haraka ni China ambae adui yupo mlangoni mwake. Hatopata nafasi ya kutoka nje kwenda kutafuta nyumba ya adui ilipo.

Kuna njia nyingi za China kuiadhibu marekani kuliko kuuwana kwasababu ya hicho kibibi kinachoelekea kutia "nanga".

Mfano ka chini fikiria vipi China akiamua kufanya just one Move, yani "act 1" tu kama ya Russia ya kusettle payment za bidhaa zake kwa fedha yake. Nini kitatokea kweye dollar? Kupotea kwa dollar kuna maana gani kwa taifa la US?

😀
Tuishie hapo nikipata mda nitarudi, nakazia kile kile tusim'overestimate China wala kum'underestimate. Sie tutulie kati kwa kati tuenjoy show!

Maana now mpira upo kwa China, ana kila sababu za ku'retaliate against US bila kunyooshewa kidole. Kwetu sie warusi wa machame ni burudani tu 🤗.

Muhtasari wa maelezo yote ni kua US anaweza kupigana kivita na China ila sio kiuchumi, US anaweza kupigana na Russia kiuchumi ila sio kivita.
Akili kubwa hii
 
Hahaha!

Sina kiasi kikubwa wala kidogo, ninacho cha kati.

Kwa nini nikanushe neema za Mungu?

Leta taswira unavyovimiliki usingevimiliki ungelikuwa unahangaika kama wengine? Jaribu tu kutafakari.

Nikiwaza hivyo huwa nauchukia moja kwa moja umasikini. Siupendi. Kama Medved anavyowachukia NATO ndivyo mimi ninavyouchukia umasikini.

Kwa msingi huo unapata fursa ya kuwafikiria wasiokuwa nacho hali yao ipoje?

Naam; atakaenijia anahitaji msaada ikiwa kama upo ndani ya uwezo wangu nitamsaidia. Ikiwa kama ni kinyume chake nitajaribu kuona wapi anaweza akasaidiwa. Ikishindikana Mungu ndiye mjuzi wa yote.

Kitu kimoja nilichousiwa: Kwa vyovyote itakavyokua ukifika wakati unapata fedha nyingi kuliko ulivyokuwa awali, hizo ndizo pesa zako za kufanya maendeleo makubwa. Usitake kujionesha kwa watu ili wakutambue wewe upoje. Pekee ambae anaetambua nafasi yako ni wewe. Mwanangu; usiuchezee wakati.

----------------------------

Turudi kwenye Uzi comrade.
mwenyezi mungu akujaalie ziongezeke zaidi
 
Nashukuru bro kwa hiyo Compliment, Shukran Mucho ha ha eti kama Mapacha [emoji23][emoji23][emoji23]

Nasikia hawa wote Qibsyl na Galip Vrl ni mtu mmoko [emoji848][emoji4]. Anyway tuliache hilo.

Issue yetu ya China kwa Taiwan naona kidogo natofautiana na wengi including yeye mwenyewe bro Galip Vrl

Najua kidogo kwenye Geopolitics ni all about "Uvumilivu na subra", kisha hekima na Busara nyingi.

China (Of course na mwenzie Russia) kua threat kwa yule ambae tunamzania na amekua akituaminisha hivyo kua yeye ni Superpower (US) sio kwa bahati mbaya. Inside wanajuana zaidi ya vile sisi tunavyowasoma kwenye mitandao.

Ile chess Move ya jana mie naiunga mkono kwa analysis zangu binafsi. Na kwa details chache nilizonazo juu yao.

US anapenda vita sana ambazo zinapiganwa mbali na mipaka yake. Na Historia yaonesha haisogelei kichwa kichwa nchi ambayo anaona inaweza kupeleka madhara kwenye ardhi yake. Kwa wakati mfupi, hapa sina maana kama China hawezi fikisha madhara kwenye ardhi ya US ila swali nani atamtangulia mwenzie?

Kuna nukta ukizitizama vizuri bado inanishawishi kuuamini mtizamo wangu nilio nao kwenye hili swala. Juu ya kufunga bakuli langu [emoji23] nisubiri dakika ya mwisho nitapata la kuzungumza.

Em fikiria visit ya Pelosi haiku ainishwa kwenye ratiba yake na US wakatamka hadharani kua hatofika, ila kaenda means hiyo ilikuwa inapangwa kimya kimya so maandalizi walikuwa nayo ya kutosha. Ingawa hili ni jambo la kawaida kwa US kuzungumza hivi halafu wakatenda vile.

Pale China karibu kila kona kazungukwa na vibaraka wa US, Ambapo US katia base zake. So kitendo cha kuanzisha tu ingekua ni karata mbovu kwake kurudisha mashambulizi kutoka pande hizo.

First and second world war vimewapa fundisho mataifa mengi yanayojielewa namna ya kudeal na mizozo level ya International. Hawaipeleki kitoto na kimhemuko.

Mda mwingi US na China wamekua kama Master na Slave wake, US akiwa mtoa order na China akiwa mtimiza order. Ila katika hilo US akajisahau hadi sasa imefika wakati ambao Master hana uwezo tena wa kuamrisha kwa Slave wake zaidi ya kumuharibu wakose wote.

Ni kipindi kirefu China kamjengea mazingira tegemezi US ambayo ni ngumu kwake kuchomoka.

Fikiria kampuni kama Apple, 19% ya faida wanayoipata inatoka China. Investors wa hii kampuni watakua radhi China ashambuliwe? Ukiacha mbali faida wanayopata suppliers wao wa materials ni hao hao China. Je nini kitatokea vita ya Uchumi baina yao? Huo ni mfano wa kampuni moko tu.

Mfani mwingine mmesikia hapo, TACL kuhusu kusitisha mradi wao wa kiwanda cha mabetri ya Gari ya Tesla na Ford. Hii ndio Supply chain niliyokua naisemea, Last consumer huwa anabeba final products made in dash dash bila kufikiria vilivyotengeneza anachokitumia vimetoka wapi.

Kibaya zaidi China ana bidhaa za aina zote, from cheap to high expensive, from low quality to high quality means anaweza kufanya biashara na jamii yoyote taifa lolote na watu aina zote duniani wenye nacho na wasio nacho.

Hapa tutamkuta Afrika, USA, EU, South and Latin America yani kila kona ya Dunia na kila bidhaa anaipeleka kulingana na soko husika. Tofauti na mshindani wake ambae anafanya biashara kwa specific countries ambazo we all knows ni EU na pale Middle east.

Katika kipindi ambacho EU inapitia mazito hadi kwake US ana suffer kwa matukio aliyotengeneza mwenyewe.

So nje ya Vita ya Silaha, China ana kila karata ya kuiadabisha US. East hakuna magasho kiwango cha SGR kuna watu wafupi ila wako makini. Matendo yao tunaweza kuona ni kama waoga ila wana plan konki linapokuja usukwaji wa matukio.

Tuupe mda nafasi yake tuna mengi ya kuzungumza.

Utakuwa unafiki kutetea kitendo cha Russia kujiondoa KIYV licha ya ule msafara wake wote alio uweka at the same time kuiponda response ya China despite mkwara alio uonesha. Hilo sakata la Taiwan halijaisha ndio kwaaanza linaanza.

Tukaeni kati tuenjoy show, Geopolitics ni mchezo unaohitaji utulivu wa hali ya juu tuweze kuuelewa.
Wakuu tupo na National security adviser wa nchi wana nondo za moto kwa jinsi anavyotillka tu unajua kabisa uyu jamaa kichwani umeme upo wa kutosha siyo huu tunaoweka sisi wa buku buku unit 2[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Ni mwonekano tu mkuu. Tuma kwa moyo 🙂

NB: Itanipa motisha ya kuendelea kufuatilia kinachojiri kule Taiwan
😂😂😂

Hili la kwako hili! Tuchukue mstari wa mwisho wa aya ya a pili kuanzia mwisho: Tunasema "Mungu ndiye mjuzi zaidi".

Wewe ni tajiri bhana!

Nje ya mada, case 2: Bongo wakikuona una marafiki wajeda, Tiss na aina hiyo wanakuona ni wa ajabu. Na ukilizungumzia linaweza kutafsirika ni kama majigambo.

Na vitu vyengine ambavyo ukivizungumza kwa lengo zuri ila kwa changamoto iliyojijenga ndani ya jamii inatafsirika ni majigambo.
---------------

Ngoja turudi kwenye Uzi.
 
Taarifa ya vita kutoka ukrainside


‼️ 🇺🇦 🏴‍☠️The main thing from the summary of the General Staff of the Armed Forces of Ukraine:

In the Kharkiv direction, the Armed Forces of the Russian Federation fired at the positions of the Armed Forces of Ukraine, carried out an advance in the direction of Kochubeyevka-Dementievka.
The Russians focus their main efforts on the Bakhmut direction. There are attacks from tanks, barrel and rocket artillery. The Russian Federation carried out airstrikes near Semigorye and Belogorovka, led an offensive in the Berestovoye area, in the directions of Vladimirovka–Yakovlevka and Semigorye–Kodema.
The fighting continues on the directions Vladimirovka–Soledar and Pokrovskoye–Bakhmut.
In the Avdiivka direction, the Russian military shelled the Avdiivka area and improved the tactical situation.
In the Slavyansk, Novopavlovsky, Zaporizhia and Yuzhnobuzhsky directions — shelling.
 
Hapo kuna nini kinakutisha mkuu, we inaonekana kichwani ni mweupe sana mkuu.
ni kawaida ya sisi waungwana wa umu jf kupongezana pale mmoja wetu anapoelezea na kuchambua vizuri jamaa kaelezea vizuri kuanzia diplomatic,millitary na Economic ways na tumemuelewa vizuri sana..kama unaniona mimi ni mweupe endelea ivyo ivyo na mtazamo wako
 
Taarifa ya vita kutoka ukrainside


[emoji845] [emoji1255] [emoji2526]The main thing from the summary of the General Staff of the Armed Forces of Ukraine:

In the Kharkiv direction, the Armed Forces of the Russian Federation fired at the positions of the Armed Forces of Ukraine, carried out an advance in the direction of Kochubeyevka-Dementievka.
The Russians focus their main efforts on the Bakhmut direction. There are attacks from tanks, barrel and rocket artillery. The Russian Federation carried out airstrikes near Semigorye and Belogorovka, led an offensive in the Berestovoye area, in the directions of Vladimirovka–Yakovlevka and Semigorye–Kodema.
The fighting continues on the directions Vladimirovka–Soledar and Pokrovskoye–Bakhmut.
In the Avdiivka direction, the Russian military shelled the Avdiivka area and improved the tactical situation.
In the Slavyansk, Novopavlovsky, Zaporizhia and Yuzhnobuzhsky directions — shelling.
Ukiisoma kwa moyo hi taarifa unagundua Jambo.. Ukraine hawapo Tayari kusema kwenye eneo Hilo kichapo Ni Cha mbwa mwizi

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
wanasema aliyemshauri asifanye chochote ni putin ila china walikuwa wameshakubali liwalo na liwe lakini putin akamstopisha ili apate sababu kamili ya kuingia mazima Taiwan ..uyu bibi siku akitoa mguu taiwan basi china anatia maguu apo na kumweka Rais atakayekuwa mtiifu kwa beijing
Ilikuwepo kipindi wanasema ?
 
Wafuasi, mashabiki, na wafautiliaji huku wananiuliza, Eti ni sawa kulikumbuka shuka kukiwa kumepambazuka?
Mkuu kuna tofauti kubwa kati ya China -TAIWAN na Tanzania-Zanzibar. Hapa kuna bara na kisiwa vivilvyoungana mwaka 1964. Huko ni bara na kisiwa vilivyotengana miaka 73 iliyopita. Watu wa kisiwa hawataki kuishi chini ya Wakomunisti wa bara. Wanapendelea utaratibu wao penye uhuru kwa kila dini na maoni tofauti. China bara inataka kuwalazimisha kuwa mkoa chini ya Beijing. Je, hiyo si ukoloni?
 
Kwa China bora direct War kuliko vikwazo kama US atatafuta ushindi dhidi yake. Ndio maana kila mda najaribu kusema tusubiri end results tutakuwa na mengi ya kuzungumza.

Kama mnafatilia haya mambo vizuri niwape swali lingine mlitafakari.

Kwanini US hapendi direct war (military) with Russia (Simsemei kalisema mara nyingi tu) hapo hapo anakwepa vita ya kiuchumi dhidi ya China (mkumbuke alimpa vitisho vingi dhidi ya mahusiano yake na Russia yet hadi sasa hajafanya chochote na China anaendelea kufanya biashara zake na Russia).

Kwanza inabidi tuelewe kua China ni Superior in term of economy, anampa challenge US kwenye huu upande. US anaweza kupigana na huyu kivita ila sio kiuchumi.

Russia ni superior in term of military, huyu anampa challenge US ukurasa huu. Nae US anaweza kupigana na Russia kiuchumi ila sio kivita.

Ukimya wa China jana ni ushindi kwa East no matter nyie mnalitizama vipi. Jana Marekani kanyimwa kile alichokua anakitaka, ambayo ni vita kati yake yeye na China. Vita ambavyo again ingemsaidia kupiga ndege wawili kwa pa1. (China en Russia)

Sasa tubaki tunazungumzia issue ya vikwazo na kivipi US hawezi hiyo league kwa China.

[emoji842]Mosi China ni World largest producer, kampiku US miaka kadhaa iliyopita. Asilimia 28 ya vitu vyote duniani vinatengenezwa China. China ni world largest manufacturing hub kuliko US tena kwa tofauti karibu 10%

Ukitaka kujua litaiathri vipi dunia, angalia GERMANY hapo EU ambayo ni third largest manufacturing hub duniani kuyumba kwake kulivyo haribu uchumi wa ulaya kwa pa1.

Hiyo situation ya Germany izidishe mara 6 ndio itakuwa hali ya China kwa "Chumi" zingine duniani.

[emoji842]US na China wanafanya biashara kwa kiasi kikubwa, ila hii biashara kati yao ni kua US anaagiza vingi kutoka China kuliko China anavyochukua kutoka US. Kufupisha maelezo ni kua US ana trade deficit with China.

Hapa kati mlisikia hadi "baby formula" za US zatoka China, So umewaza nini kitajiri kwenye vita ya kiuchumi dhidi yake?

[emoji842] Main Supplier wa industries za US ni China. Kuipiga vikwazo china ni kuharibu industry sector ya kwake mwenyewe US. Lugha nzuri hapa niseme itakuwa ni self destruction.

All giants US companies zaitegemea China na mwanae Taiwan kwa mambo mengi, mfano wengi hapa hukimbilia final products ya bidhaa tunazotumia bila kujua au kuangalia imetengenezwa kwa kipi na kipi kutoka kwa nani na nani.

[emoji842]Again china anashikilia deni la US zaidi ya Dollar trillion 1.
Akiamua kuliuza hili deni kwa speed ata trigger inflation US zaidi ya ilivyo sasa je nini kitajiri?

[emoji842]Ukitizama sectors muhim za uchumi wa China zipo balanced. Industries, Agriculture, Services zina almost uwiano sawa. Lakini kwa US Sector kubwa ni "Services" ambayo inachangia zaidi ya 80% ya pato la taifa (GDP).

Uchumi ambao uko vulnerable kuharibika ni wa US ambao unategemea maisha mazuri ya Raia wake. (Spending ndio key ya Services Economy), hali ngumu kwa Raia inapelekea Spending kua kidogo, hivyo kuathiri hii sector. Na hili ndio jibu la kwanini quarter zote hizi mbili uchumi wa US unaonesha negative growth wakati hayupo kwenye vita na yoyote (kwa mujibu wa vyombo vyao vya habari [emoji28]).

[emoji842]China ni largest creditor duniani kuliko hata hizi taasisi za fedha za kimataifa mnazozijua. Hapa tusiweke maelezo mengi kwani kila mmoja anajua mikopo ni utumwa. Mkopeshaji ana sauti juu yako, Mzinguane akutie default. Je US ataweza kumshawishi nani asijihusishe na China?

Natamani kuendelea kukuonesha namna gani vita ya kiuchumi kwa US na China ilivyo ya kufikirika kama ilivyo vita ya Silaha kati ya Russia na US sema asubuhi hii nitachelewa kufanya mambo mengine.

Hapo kwa China vs US wakisema walianzishe (Vita ya silaha) atakaye athirika haraka ni China ambae adui yupo mlangoni mwake. Hatopata nafasi ya kutoka nje kwenda kutafuta nyumba ya adui ilipo.

Kuna njia nyingi za China kuiadhibu marekani kuliko kuuwana kwasababu ya hicho kibibi kinachoelekea kutia "nanga".

Mfano ka chini fikiria vipi China akiamua kufanya just one Move, yani "act 1" tu kama ya Russia ya kusettle payment za bidhaa zake kwa fedha yake. Nini kitatokea kweye dollar? Kupotea kwa dollar kuna maana gani kwa taifa la US?

[emoji3]
Tuishie hapo nikipata mda nitarudi, nakazia kile kile tusim'overestimate China wala kum'underestimate. Sie tutulie kati kwa kati tuenjoy show!

Maana now mpira upo kwa China, ana kila sababu za ku'retaliate against US bila kunyooshewa kidole. Kwetu sie warusi wa machame ni burudani tu [emoji847].

Muhtasari wa maelezo yote ni kua US anaweza kupigana kivita na China ila sio kiuchumi, US anaweza kupigana na Russia kiuchumi ila sio kivita.
Ni kweli
 
Kaposti nyingine [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]


"Well, why was it so much to catch up with horrors, scare people, raise a fuss when it was so easy to let the poor old woman fly to Taiwan? — Kadyrov.

PATRON - Subscribe
Backup channel - Subscribe
Kwamba ni dongo kwa Xi.
Halafu huyu Xi urais wa maisha unamtesa.
 
Pelosi tweeted that "Taiwan's freedom" must be respected. But the White House yesterday once again stated that it does not recognize the freedom of Taiwan. And they denied Pelosi's trip there - they said that this was her personal, and not a political initiative. So this just goes to show that Pelosi's visit to Taiwan is not such a big deal. It's just that grandma "wants to do something historical."

PATRON - Subscribe
Backup channel - Subscribe
No, this is not to be true. No politics tu. Haiwezekani Speaker of the house asafiri ktk nchi kama hiyo eti WH hawana baraka. Big NO. Halafu aliyetoa na order ya mobilization ni nani sasa?
 
Mkuu kuna tofauti kubwa kati ya China -TAIWAN na Tanzania-Zanzibar. Hapa kuna bara na kisiwa vivilvyoungana mwaka 1964. Huko ni bara na kisiwa vilivyotengana miaka 73 iliyopita. Watu wa kisiwa hawataki kuishi chini ya Wakomunisti wa bara. Wanapendelea utaratibu wao penye uhuru kwa kila dini na maoni tofauti. China bara inataka kuwalazimisha kuwa mkoa chini ya Beijing. Je, hiyo si ukoloni?
Pia hapa ndipo Unafiki wa Marekani unapoonekana. Hataki kusikia Taiwan inarudi China, lakini Pia hataki kusikia znz inatengana na T/nyika.

Kweli jamaa huangalia maslahi yake tu na si vinginevyo. Nina uhakika znz ingekuwa ni nchi ya Kikristo hakika usingesikia huu muungano.
 
Back
Top Bottom