Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

IMG_20220802_101541_463.jpg

❗️Bomb Threats Received at Taipei’s Taiyuan International Airport

Local media reports that authorities received a tipoff that three explosive devices have been allegedly placed at the airport.

That comes as US House Speaker Nancy Pelosi is scheduled to visit Taiwan Tuesday, though she will arrive at another airport.
 
Hii ya wa Africa kwenda kuchukua nchi zao ki tachtical inaitwaje hii?
TACTICAL INTERPOSITION. Kwa wale ambao wanaweza kupata utata kidogo, hii ina tofauti fulani na TACTICAL INTERVENTION ambapo ni mbinu ya mapebari kutumia kisingizio cha instability (ambayo pengine waliipandikiza wenyewe) kwenye nchi fulani maskini ili kujipenyeza, kuidumaza kisiasa, na kunyonya rasilimali zake.

Hii ya Afrika kwenda Ulaya na Marekani ili kutuliza vurugu na kulinda amani ni purely philanthropic na humanitarian in nature. It's a sort of African NPO (nonprofit organization).
 
Marekani imefanya shambulizi mjini Kabul, Afghanistan. Mojawapo ya waliokufa ni kijana wa Waziri wa Mambo ya Ndani wa Taliban na mkwe wa Waziri huyo.

Ni fujo tu duniani kwa sasa
Hizi jitihada za Marekani kujisafisha aibu yake kuhusu Russia hadi ziishe zitai-cost sana dunia. Sasa hivi JB anapokea ushauri wa kila aina tu ilimradi ku-boost mood ya Marekani na kujisafisha fedheha plus kuondoa mawazo ya raia wake kwenye internal problems.
 
View attachment 2311705

[emoji779]️Bomb Threats Received at Taipei’s Taiyuan International Airport

Local media reports that authorities received a tipoff that three explosive devices have been allegedly placed at the airport.

That comes as US House Speaker Nancy Pelosi is scheduled to visit Taiwan Tuesday, though she will arrive at another airport.
Secret services wakimpeleka Pelosi nitaona ni ujinga koz hawawezi kujihakikishia usalama koz swepers wao siyo wengi ndani ya Taipei.

China wakilipua msafara wa Pelosi is ana act of war. Pia naamini hawatofanya hivyo. Ngoja tuone
 
Labda umeamua kuwa mbishi au umeamua kutotaka kuelewa.

Kama Aircraft carriers haipo inline na doctrine yako, sasa unaitengeneza ya kazi gani. Pia, kutokuwa na aircraft carriers nyingi sio conclusion ya kusema kwamba "hawezi kuunda".

Ni technology gani ambayo Russia hana..
Alishajijibu huyo " Urusi ana Air Defense System nyingi kuliko USA sio kwamba USA hana uwezo wa kutengeneza ".... Ila mapenzi yanampofua.... waswahili wanasema KIMFAACHO MTU CHAKE... Sioni umuhimu wa Carriers nimejikita kwenye Air Defense wewe unayeona Air Defense sio muhimu kwako jikite na maKARAI Pooh sorry MaKRIA...mchezo uishie Hapo.... Kila nchi inafanya lile Bora Kwa nchi yake....
 
Mwenye uelewa na hili wakuu atusaidie kudadavua nini maana ya "stronger union than a federation"
Jesus Mlokozi ,Bwana Utam ,T14 Armata 🇷🇺🇷🇺🇷🇺👇👇
Nk

Russia and Belarus Could Become Closer – Lukashenko

The nations could form a union stronger than a federation or confederation without losing their sovereignty, Belarusian President Alexander Lukashenko said Monday.

As reported by local media outlets, the Belarusian leader noted that his country’s sovereignty and independence were “a constant.”

Lukashenko went on to say that “by preserving the independence of Russia and Belarus, we will build such a union that both federal and confederate states, and, perhaps, even unitary states will be envious of.” He added that, “We are quite smart people. The Russian president is an absolutely reasonable person and understands in which direction we should move.”

Subscribe to RT
Ukishaona nchi inatumia misamiati complex kama hizi, basi jua kwamba kiwango cha mahaba yao kiko almost kileleni. Tell me anything and I'll be happy, they say!

Federal state --- RUSSIA

Confederate states --- akina Belarus wale mataifa yako kindakindaki kwa Russia

Unitary states --- akina Ukraine wanaovutwa kwa nguvu za Iskander

Essentially, Lukashenko ameshaonesha plan ya Putin: We want to EXCEED in every whichway the former USSR and be the real USSR -- United States of Russia!!!
 
Why now?
This is what grinds my head.
Ugomvi wao kwa miaka ya hivi karibuni hata mwaka juzi huwa inaletwa na number plate za magari. Wale watu wana ethnic problems, wenye asili ya Serbia wanaoishi Kosovo mpakani na Serbia huwa hawajiamini kwahiyo hawasajili magari yao kwa namba za Kosovo bali za asili yao wakiofia muda wowote hali ikichafuka warudi asili yao na wavuke haraka mpakani. Kosovo haipendi watu wanaoishi kwake wasajili magari kwa namba za Serbia, ila Serbia inaona ndio wanaweza kutambuliwa kirahisi. Kosovo ikikazana kuzuia number plate au kulazimisha usajili ndio hutokea fujo mpakani.

Likeness ya vita haipo. Ila kukitokea mataifa makubwa duniani yana mgogoro, mataifa madogo yenye visasi hupata upenyo
 
OK turudi kwenye game ,ngapingapi JESUS mulokos
 
❗️Chinese Foreign Ministry Reaffirms Beijing Will Respond with Serious Measures Should Nancy Pelosi Visit Taiwan

That’s as Chinese media has published footage of recent PLA military exercises and media reports all flights have been canceled in the region.

Video uploaded to social media also purports to show Chinese military equipment and troops being deployed to the beaches of the Fujian province.

Subscribe to RT
 
[emoji779]️Chinese Foreign Ministry Reaffirms Beijing Will Respond with Serious Measures Should Nancy Pelosi Visit Taiwan

That’s as Chinese media has published footage of recent PLA military exercises and media reports all flights have been canceled in the region.

Video uploaded to social media also purports to show Chinese military equipment and troops being deployed to the beaches of the Fujian province.

Subscribe to RT

Na wao wasipofanya kweli ndo basi tena. Marekani atakuwa amewanyea kichwani na hawatakuwa na namna ya kujitetea kwa ulimwengu maana mikwara waliyopiga ni mingi mno.

Sasa tunasubiri vitendo tu.
 
Mwenye uelewa na hili wakuu atusaidie kudadavua nini maana ya "stronger union than a federation"
Jesus Mlokozi ,Bwana Utam ,T14 Armata [emoji635][emoji635][emoji635][emoji116][emoji116]
Nk

Russia and Belarus Could Become Closer – Lukashenko

The nations could form a union stronger than a federation or confederation without losing their sovereignty, Belarusian President Alexander Lukashenko said Monday.

As reported by local media outlets, the Belarusian leader noted that his country’s sovereignty and independence were “a constant.”

Lukashenko went on to say that “by preserving the independence of Russia and Belarus, we will build such a union that both federal and confederate states, and, perhaps, even unitary states will be envious of.” He added that, “We are quite smart people. The Russian president is an absolutely reasonable person and understands in which direction we should move.”

Subscribe to RT
MKUU sijui kwawenzangu wanaweza wakajua ila binafsi sijui juu ya hilo
Ila kwamaoni yangu binafsi nahisi hakutakua nautofauti wowote na partnership nyengine sijui kwenye muundo nauendeshaji
Pia namjni hizi partnership zinatakiwa tu kua na taasisi imara ili zijiendeshe
Mwisho naiona USSR ikirudi kwanamna nyengine kama BELARUS atajiunga na RF ukijumlisha na yale maeneo yanayodokolewa kule kwenye SMO
Haya mawazo mitazamo namaoni yangu MKUU Bugucha ila swali lako sina uelewa nalo nadhani wajuvi ulowatag nausio watag watakujibu pia watanieka sawa namie nijifunze kupitia swali lako MKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vikosi vyake vilikuwa hatarini maana hana mifumo mizuri ya ulinzi, ata hayo madude ma s400 au s500 hayana uwezo tunaoaminishwa, otherwise yangewalinda
Pengine usichokijua mkuu Ni Kwamba Hakuna mfumo ulio na usahihi kwa asilimia 100 dhidi ya makombora au ndege Vita.
Ingekuwa Ni 100% usahihi wake wa kikazi basi nchi ya kivita Kama US isingepoteza hat mtu mmoja kwenye Vita huko duniani

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom