Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hizo nchi za Ulaya hazitunishani misuli kwa majirani zao na wala hazitaki kujipa majukumu ya superpower. Kuwa superpower kunahitaji ugharamikie na uingie hasara wakati mwingine. Sasa Urusi hana naval base nje ya nchi anazidiwa na China ambayo ina base pale Djibout na inajenga nyingine nchini Solomon islands jirani na Australia. Hata India inajenga naval base nchi fulani hapa Indian ocean kujipanga dhidi ya China
Hivi ni wapi hii Urusi ilisema inataka kuwa super power.???.Do they care about being super power au wadau ndo wanawashwawashwa tu...
 
Ebu nipe kazi ya carrier maana naona povu linakutoka tu bila sababu.
Huo ni moshi ya burning fuel. Russia hawajawahi kuwa na nuclear carrier, hilo dude linakunywa diesel na linalazimika kuwa na mission fupi au kusindikizwa na meli ya mafuta wakati Marekani wao carriers zao ni nuclear powered zinakaa miaka hata 10 bila refuering mpaka zipate mid life upgrade. Admiral Kuznetsov haiwezi hata kutoka Mediterranean sea mpaka Cape Town, gari la mkaa hilo. Tangu 2018 itoke Syria iko inakarabatiwa hadi leo na kabla ya hapo ilishakarabatiwa kabla ya kwenda, yani China kaanza kuiunda Type 003 kaimaliza ila Urusi hajamaliza ukarabati. Alafu watu wanakuja hapa wanadai eti Russia hapendi carriers
 
Picha sina wakitaka waseme propaganda waseme tu. Kuna taarifa zimetoka kwenye sources ndani ya Russia za na zenyewe watazikana. Ila ninavyojua hatutakaa masaa mengi kabla hatujapata picha za satellite walau kutoka Maxar au PlanetLab, picha za satellites nilizoona zilikuwa ni resolution ya 300m ambayo haina details nyingi ingawa moto ulionekana. Picha za 2m or 3 metres ndio uhakika. Ni deep within Russian front, zikipatikana picha za camera watakuwa wamepiga wao zimevuja
Hizo utakazozipata ututag MKUU usisahau

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Faida za carriers.
1. Ni alama ya ufahari na ukubwa, greatness ya taifa Kama Marekani.
2.Ni Kama kambi ndogo iliyopo katikati ya maji.
3.Ni kitisho dhidi ya nchi dhaifu kabisa Kama Iraq, Iran na Libya.
Udhaifu wake aircraft carriers.
1. Si salama kwa Vita na taifa kubwa kijeshi Kama Russia.
2.Ni lengo la wazi la kivita.
carriers si nzuri na salama kwa adui mwenye nguvu kama Russia.
3.itokeapo Vita nchi dhaifu Kama Iran zinaweza kutumia lengo ( target) Hili kupunguza kabisa morali ya adui. Hebu fikiria mipigo miwili au 20 inazamisha na kuua watu 6000.
Nb.
Vita si lelemama.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
MKUU hata IRAN haina udhaifu wakupigwa na KARIA yaani taifa la IRAN linapigika sawa ila sio kwa KARIA
KARIA upelekee LIBYA huko na SYRIA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siraha kama
Juveline apo mwanzo, na hizi HIMARS wala sio tegemeo za jeshi la marekani afu zimekiwasha kule balaa, yani ni kama Siraha ambazo Marekani kafungulia kwa kuwa sio tegemezi ila kwa Mrusi ni Jini lililoachiwa, na zinachakaza hatari
Leo hii ndo useme Urusi apigane na Marekani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aya bna
Hivi mnajitia upofu?Hamjaona jinsi miji ya Ukraine ilivyogeuzwa magofu na silaha za kizamani za Russia?
Halafu hivyo vi silaha vya kisasa vya USA vikishambulia kidogo basi kelele kibao watu hatupumui!
Mnachekesha kweli
 
NASAMS zimeundwa kwa ushirikiano wa Kongsberg ya ya Norway na Raytheon ya Marekani. Ukitaka kununua NASAMS Marekani akakataa, huuziwi. Vilevile ikiwa Norway amekataa, huuziwi.

Hizo ni short to medium range na Marekani inazitumia kulinda Washington DC. Patriots za Marekani ni long range, THAAD ni land based missile defence system. AEGIS ni ya majini. Kila kitu kinaenda kwa mfumo, sio kama Russia wanaobeba lori la air defence wanapakia kwenye meli eti lilinde meli
izo air defence unazozidharau ndio namba moja duniani watu wanazigombania kama njugu s400,s500 alafu kuna hii s550 hii ndio noma inatungua mpaka satelite izi ndio air defence bora duniani kuwai kutokea
 
Faida za carriers.
1. Ni alama ya ufahari na ukubwa, greatness ya taifa Kama Marekani.
2.Ni Kama kambi ndogo iliyopo katikati ya maji.
3.Ni kitisho dhidi ya nchi dhaifu kabisa Kama Iraq, Iran na Libya.
Udhaifu wake aircraft carriers.
1. Si salama kwa Vita na taifa kubwa kijeshi Kama Russia.
2.Ni lengo la wazi la kivita.
carriers si nzuri na salama kwa adui mwenye nguvu kama Russia.
3.itokeapo Vita nchi dhaifu Kama Iran zinaweza kutumia lengo ( target) Hili kupunguza kabisa morali ya adui. Hebu fikiria mipigo miwili au 20 inazamisha na kuua watu 6000.
Nb.
Vita si lelemama.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Marekani ilipoteza carriers 12 kwenye WW2. Huwezi acha kutengeneza silaha fulani kisa itashambuliwa, mbona Russia iliipoteza Kursk nuclear submarine mwaka 2000 na kuua wote zaidi ya 100 ila Russia haijaachana na subs.

Carriers zitaendelea kuwepo maana mifumo ya ulinzi ipo. Kwanza hazihitaji kukaribia, carrier battle group inaweza kaa 1000 away na ikaestablish naval blockade kwako. Zinakuja kuleta air dominance, sasa kwanini Russia asiachane nayo ile yake kama haina maana. Maintenance ya nini na kitu hakihutajiki
 
Marekani ilipoteza carriers 12 kwenye WW2. Huwezi acha kutengeneza silaha fulani kisa itashambuliwa, mbona Russia iliipoteza Kursk nuclear submarine mwaka 2000 na kuua wote zaidi ya 100 ila Russia haijaachana na subs.

Carriers zitaendelea kuwepo maana mifumo ya ulinzi ipo. Kwanza hazihitaji kukaribia, carrier battle group inaweza kaa 1000 away na ikaestablish naval blockade kwako. Zinakuja kuleta air dominance, sasa kwanini Russia asiachane nayo ile yake kama haina maana. Maintenance ya nini na kitu hakihutajiki
Sasa MKUU kama unajua kwamba carrier yaweza kukaa 1000 km away naikafanya mashambulizi unahisi kuna ulazima wakufanya hvyo wakat pia waweza ukatumia missile kupiga pia 1000km away
Hapo nahisi nisuala la kukubali kujiendeleza upande upi zaidi
Juu huko kuna jamaa kauliza swali cjui kama nikweli ama laa ila anasema RUSSIA ina bomber yenye sifa gani cjui kuliko zote ulimwenguni
Akaambatanisha na swali je US kashindwa kufanya same na RUSSIA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
^At the end of the day, HIMARS – and other so-called “advanced Western weapons” – is but a tool wielded by the same actor who has been systematically defeated by the Russian military. This will not change, whether Ukraine employs four, eight, 12… or even 60 HIMARS systems.^

cc: HIMARS & T14 Armata
Scott Ritter huwa namsoma. Hayo ni maoni yake na nayaheshimuz HIMARS ni silaha mojawapo kati ya silaha tofauti. Sio pekee inayotumika kupigana, haiwezi kushinda vita hiyo tu. Basi Russia ishinde maana Western weapons hazibadili kitu. Hii misafara ilikuwaje kama Western advanced weapons hazibadili kitu
20220726_092208.jpg
Safari ya Kyiv iliishia wapi. Occupation of Snake island iliishia wapi. HIMARS won't change anything on their own
20220729_090536.jpg
 
Sina maana kwamba carrier sio nzuri ama hazina umuhimu kabisa
Ila maana yangu nikwamba ikiwa RUSSIA atataka kudeal na hizo karia haijalishi kuna nn wala nn atazifyeka
Yaani imagine walifyokua wanaipiga LIBYA na SYRIA vile wapeleke karia zao tuseme hapo GERMAN ama UK ama waieke popote hapo kuitwanga RUSSIA unadhani itakua rahisi hivyo
Hayo makaria nimuhimu ila inategemea unapigana nanani
Yaani ukapigane na UCHINA au RUSSIA uwapelekee karia group itakua huwataki hao watu wako
Sio UCHINA na RUSSIA hizo karia haziwezi kutumika hata wakipigana na KOREA N
Zina umuhumu sawa ila inategemea unapigana nanani kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
North Korea ataipiga aircraft carrier kwa kutumia nini
 
Back
Top Bottom