Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Huo moshi vipi? Hapo imepigwa bomu au?
Huo ni moshi ya burning fuel. Russia hawajawahi kuwa na nuclear carrier, hilo dude linakunywa diesel na linalazimika kuwa na mission fupi au kusindikizwa na meli ya mafuta wakati Marekani wao carriers zao ni nuclear powered zinakaa miaka hata 10 bila refuering mpaka zipate mid life upgrade. Admiral Kuznetsov haiwezi hata kutoka Mediterranean sea mpaka Cape Town, gari la mkaa hilo. Tangu 2018 itoke Syria iko inakarabatiwa hadi leo na kabla ya hapo ilishakarabatiwa kabla ya kwenda, yani China kaanza kuiunda Type 003 kaimaliza ila Urusi hajamaliza ukarabati. Alafu watu wanakuja hapa wanadai eti Russia hapendi carriers
 
Hizi HIMARS balaa lake sio dogo, naona hazikosei ktk kile kilichotumwa.
HIMARS zinasumbua kwa zile GMRLS zake ambazo ni ghali sana. Ila kuna Caesar (France) na Pz2000 (Germany) self propelled howitzer zina accuracy ingawa range yake sio kubwa sana. Ingetokea Marekani ikapeleka Excalibur shells za kutosha basi zingesumbua sana.

Marekani anatoa intel kwa Ukraine. Build up, command centres, ammo depots, fortifications vikionekana Marekani inawaambia Ukraine na kukaa kimya. Usiku Urusi ina performance mbaya, Ukraine wanashambulia asubuhi unakutana na taarifa
 
Watakuja hapa waseme ni propaganda za NATO. Tunaomba na picha tujiridhishe mkuu T14 Armata
Picha sina wakitaka waseme propaganda waseme tu. Kuna taarifa zimetoka kwenye sources ndani ya Russia za na zenyewe watazikana. Ila ninavyojua hatutakaa masaa mengi kabla hatujapata picha za satellite walau kutoka Maxar au PlanetLab, picha za satellites nilizoona zilikuwa ni resolution ya 300m ambayo haina details nyingi ingawa moto ulionekana. Picha za 2m or 3 metres ndio uhakika. Ni deep within Russian front, zikipatikana picha za camera watakuwa wamepiga wao zimevuja
 
Marekani anaogopa kupeleka machumachuma yake ya Patriot PAC-3 n.k. nchini Ukraine yakalipuliwe na Urusi, badala yake anaamua kununua mifumo ya Ulinzi wa anga ya Norway na kupeleka Ukraine ili hata ikibomolewa na Urusi, isiwe aibu na fedheha kwa Marekani na biashara yake ya machumachuma chakavu kwa waarabu wa mafuta

SmartSelect_20220801-115658_Chrome.jpg
 
Ni hasara kwa wanaoziunda nakuzimiliki au kwa wasionazo?

Maana kama ni hasara walioziunda sijui kama kuna siku walizilalamikia.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
Huyo bwana anataka kusema France, UK, USA, China, India na Russia ni wajinga kuwa na carriers. Kama ni hasara kwanini Russia abaki na lile lichumachuma, si aachane nalo
 
Huyo jamaa ana ubishi wa ajabu kabisa...ni zaidi ya ubishi wa kitoto..Yaani bado anadhani aircraft carriers ni deal....Fikiria Ndugu yangu li-Aircraft carrier kama Nimitz Lina Askari zaidi ya 4000 halafu linadunguliwa kiulaini na hypersonic missile moja..just imagine....hizo ni sitting ducks....hata zilindwe namna gani zinadunguliwa tu...
Sio rahisi kihivyo kaka, usemayo ni kweli kuwa aircraft carriers lina asikari wengi ko ukiichapa yote umepoteza man power kubwa
Ila ndo maana ina ulinzi wa kutosha na haitembei pekeyake, ndo maana inaitwa carrier battle group
Yani ukiona aircraft carrier inatembea jua kuna Submarines zisizopungua mbili, kuna destroyers tatu,
frigates,
cruisers,
Na kama jina linavyosema pia kuna fighter crafts kama 120 ndani, ambazo zinaweza kuruka mda wowote ambazo ni operational

Na kila meri au submqrine ina defensive mechanism yake, ambazo ni superiour sana
Ni kama Irone dome za muisraeli kwangu mimi ni superiour sana kuliko za Warusi, sema warusi hudanganya sana ndo tatizo
Sasa kama hizo zinarinda kila meli, na pia zina zile guns zinazopiga 500rounds per second, ambazo zinarinda hewa
Ko njia pekee ya kumaliza Carrier group nzima ni kutumia nuclear, ata Aircraft pekee huwezi iangusha kwa bomb tofauti na nyuklia
Na pia tangu vita vya dunia wanatumia meli kusafirisha wanajeshi kutoka nchi moja kwenda nyingine, lkn sasahivi ndo wameaziadvance kuwa kwa mfumo wa aircraft carrier ambayo ni kama walking militaly island


Abraham-Lincoln-battlegroup.jpg
 
Marekani anaogopa kupeleka machumachuma yake ya Patriot PAC-3 n.k. nchini Ukraine yakalipuliwe na Urusi, badala yake anaamua kununua mifumo ya Ulinzi wa anga ya Norway na kupeleka Ukraine ili hata ikibomolewa na Urusi, isiwe aibu na fedheha kwa Marekani na biashara yake ya machumachuma chakavu kwa waarabu wa mafuta

View attachment 2310875
NASAMS zimeundwa kwa ushirikiano wa Kongsberg ya ya Norway na Raytheon ya Marekani. Ukitaka kununua NASAMS Marekani akakataa, huuziwi. Vilevile ikiwa Norway amekataa, huuziwi.

Hizo ni short to medium range na Marekani inazitumia kulinda Washington DC. Patriots za Marekani ni long range, THAAD ni land based missile defence system. AEGIS ni ya majini. Kila kitu kinaenda kwa mfumo, sio kama Russia wanaobeba lori la air defence wanapakia kwenye meli eti lilinde meli
 
Super Power lazima afanye mambo mengi kwa wakati mmoja
Nchini Ukraine Russia yaendelea kuwapelekea moto mkali na kuwaua wanajeshi wa US+NATO+Ukraine wakati huo huo nchini Uturuki (mwanachama wa NATO) Urusi yapeleka mabilioni ya dola kujenga mtambo wa nyuklia.

Vita ya Ukraine haiathiri pesa za Urusi za miradi mingine...

View attachment 2310777
Hakuna wanajeshi wa NATO waliopelekwa uko
Nchi za kidemocrasia huwezi kupeleka wanajeshi wako kihorela bila bunge kupitisha
Hao unaowaona uko ni wale raia wa kawaida waliojitolea, otherwise ni properganda
Hizo nchi ni Total democracy, hawafanyi mambo kihorela
 
Siraha kama
Juveline apo mwanzo, na hizi HIMARS wala sio tegemeo za jeshi la marekani afu zimekiwasha kule balaa, yani ni kama Siraha ambazo Marekani kafungulia kwa kuwa sio tegemezi ila kwa Mrusi ni Jini lililoachiwa, na zinachakaza hatari
Leo hii ndo useme Urusi apigane na Marekani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aya bna
 
Aircraft carrier, Ni meli ya mizigo.
Kama Russia haina sera ya kuwa na base za kijeshi Africa, au hawana mizigo kiasi cha kuhitaji carrier from point A to B, then carrier za nini?

Russia ndio nchi pekee ina bomber kubwa duniani, je tuseme USA hana uwezo kuitengeneza? au China?

Carrier na escort za warship sio salama ukiwa kwenye mgogoro na nchi zinazojielewa, lile ni kama ferry la kigamboni.
 
Kwa ufupi; urusi ameshajua fika kuwa Ukraine ni mwanaume mwenzie, hivyo Sasa hivi anapigana kwa adabu,hatusikii Tena Ile mikwala yake ya kuyataka majeshi ya Ukraine kujisalimisha,ameacha kabisa kutoa vitisho kwa wanaotoa msaada kwa Ukraine..,Kuna wakati alisema Crimea ikishambuliwa basi itakuja Ile aliyoitangaza kama ""jugement day "" Sasa drone za Ukraine hizoo,ndo zimefanya yake huko Crimea, ngoja tusubir hiyo ""jugement day""
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa jeshi lote limeenda kule ata meli zote ziko kule na ata Vacuum bombs zimeenda na pia Supersonic sijui su 57 na kila kitu, ila bado tu watu wanakata kamba[emoji23][emoji23][emoji23]
Sa Hiyo judgement day yenyewe ipi sasa ndugu yangu
 
Siraha kama
Juveline apo mwanzo, na hizi HIMARS wala sio tegemeo za jeshi la marekani afu zimekiwasha kule balaa, yani ni kama Siraha ambazo Marekani kafungulia kwa kuwa sio tegemezi ila kwa Mrusi ni Jini lililoachiwa, na zinachakaza hatari
Leo hii ndo useme Urusi apigane na Marekani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aya bna
Hahaaaa hapo ndio Russia akili imemrudi kaogopa balaa, mpaka ikabidi akakae kikao maana hapo ndio utaona Marekani Teknolojia yake ipo juu na katoa kakifaa kadogo tu maana hataki wahuni waibe Teknolojia.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa jeshi lote limeenda kule ata meli zote ziko kule na ata Vacuum bombs zimeenda na pia Supersonic sijui su 57 na kila kitu, ila bado tu watu wanakata kamba[emoji23][emoji23][emoji23]
Sa Hiyo judgement day yenyewe ipi sasa ndugu yangu
Hahaaa Russia kumbe nili mu overestimate kumbe ni kama pilipili hoho.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa jeshi lote limeenda kule ata meli zote ziko kule na ata Vacuum bombs zimeenda na pia Supersonic sijui su 57 na kila kitu, ila bado tu watu wanakata kamba[emoji23][emoji23][emoji23]
Sa Hiyo judgement day yenyewe ipi sasa ndugu yangu
Hata vile vitisho vyake napiga Nucleur kasanda kimya kaufyata,
Alipojua kumbe vitisho vyake hakuna mtu anae sumbuka nae
 
Mtu kawekwa mtu kati huko

⚡️Now we can say unequivocally: the grouping of the Armed Forces of Ukraine near Lisichansk (at least 5 thousand people) fell into the cauldron.

Centralized supply through Seversk (about 20 km) Is completely cut off. Fighting is already underway on the very approaches to Lisichansk.
Hii ni TACTICAL CONSOLIDATION.
 
Pata vitu vipya Toka uwanja wa mapambano
⚡️ Russian Defence Ministry report on the progress of the special military operation in Ukraine

▫️The Armed Forces of the Russian Federation continue the special military operation in Ukraine.

💥High-precision strike has destroyed 2 US rocket launchers of HIMARS multiple-launch rocket system on the territory of the Ukrainian Energy Machines plant in Kharkov. 53 Ukrainian nationalists and foreign mercenaries have been also eliminated.

💥High-precision weapons of the Russian Aerospace Forces have struck a temporary deployment point of 92nd Mechanized Brigade of AFU near Kharkov city . The attacks have resulted in the elimination of up to 200 nationalists and 7 units of military equipment.

▫️Due to heavy losses in 93rd Mechanized Brigade of AFU in Kharkov direction and 128th Mountain Assault Brigade in Zaporozhye direction, there is mass abandonment of combat positions and desertion of personnel of these formations to the central and western parts of Ukraine.

💥Operational-tactical and army aviation, missile troops and artillery strikes continue against military facilities in Ukraine.

▫️2 ammunition depots near Seversk and Kaleniki, Donetsk People's Republic, 1 fuel supply centre for AFU military equipment near Nikopol, Dnepropetrovsk Region, as well as 239 areas of enemy manpower and military equipment concentration have been destroyed.

▫️In addition, 1 launcher of American anti-ship Garpoon missile system has been destroyed near Velikyi Dalnik, Odessa Region.

💥In the course of counter-battery warfare 1 artillery battery of AFU has been destroyed near Umanskoye, Donetsk People's Republic.

▫️8 Ukrainian Grad MLRS platoons and 6 artillery and mortar platoons at firing positions near Sukhaya Balka, Petrovskoye, Vodyanoye, Tonenkoye, Kurdyumovka and Dzerzhinsk, Donetsk People's Republic have been suppressed.
Russian air defence means have shot down 10 Ukrainian unmanned aerial vehicles near Makeyevka and Petropavlovka, Donetsk People's Republic, Lyubimovka, Zaporizhzhya Region, as well as Chervonyi Yar, Krasnoye, Andreevka, Zavody, Vernopol'e and Iziyum, Kharkiv Region.

📊In total, 261 Ukrainian airplanes and 145 helicopters, 1,659 unmanned aerial vehicles, 361 anti-aircraft missile systems, 4,215 tanks and other armored combat vehicles, 778 multiple launch rocket systems, 3,234 field artillery and mortars, as well as 4,621 units of special military vehicles were destroyed during the operation.

#MoD #Russia #Ukraine #report
@mod_russia_en
 
Back
Top Bottom