Nkuba25
JF-Expert Member
- Nov 18, 2015
- 2,386
- 13,136
Labda umeamua kuwa mbishi au umeamua kutotaka kuelewa.Then tunaweza tambua kwamba Russia hawezi unda carrier na wala carrier sio sitting duck. Hizo ndio point za ubishi wote huu
Kama Aircraft carriers haipo inline na doctrine yako, sasa unaitengeneza ya kazi gani. Pia, kutokuwa na aircraft carriers nyingi sio conclusion ya kusema kwamba "hawezi kuunda".
Ni technology gani ambayo Russia hana..