Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,451
- 17,939
Xchange rate vp huko masokoni leo. Rubo vs dola. Dola vs euro. Euro vs rubo.
Mkuu usimuulize mji Gani , muulize Kijiji Gani wamekomboaHivi zana za US+NATO zimekomboa mji gani uliokua unakaliwa na Russia huko Ukraine? Maana unasifia negative ufanisi
Huko kijiji mbali sana muulize mtaa gani.Mkuu usimuulize mji Gani , muulize Kijiji Gani wamekomboa
| • Total Area | 733.1 km2 (283.1 sq mi) |
|---|---|
| • 2021 estimate pop. |
|
| • Density | 7,804/km2 (20,212.3/sq mi) |
anajua kitakachomkuta alafu amna wa kumsaidia ameshajifunza kilichomkuta Ukraine[emoji1239][emoji631][emoji845]Taiwan's Foreign Ministry refuses to comment on Pelosi's possible visit:
"We will not give any comments on the reports about Pelosi's travel plan, we will not give any additional information to the media."
Zina mifumo ila THAAD ni land based. Ndio ile mifumo iliyopelekwa South Korea na Japan na Wachina huwa wanalalamika. Carriers huwa zinalindwa na Aegis ships, Aegis ni mfumo mgumu na very complex wenye kukusanya data na kufanya guidance ya missiles. Aegis ship ni kama Ticonderoga na Arleigh Burke. Aegis ziko nyingi zaidi ya 50
Mkuu ni kweli kwamba Urusi inaangalia mipango ya kujenga manowari mpya ya kubebea ndegevita. Ila hawaendelei zaidi maana katika miaka iliyopita walikosa pesa (jeshi la majini ya Urusi kwa jumla lina vyombo vingi vya zamani, gharama ni kubwa). Kutokana na ukosefu wa uwezo kwa sasa wameamua kukarabati admiral Kuznetsov, ambayo ni pia kazi yenye gharama. Hivyo unasema kweli ukidokeza: Angalau jeshi la Urusi haikubali wazo kuwa manowari hizo ni bure.Kama ni sitting ducks Russia asingekuwa na Admiral Kuznetsov. Russia hana hela ya kumiliki aircraft carriers acheni kujifariji. Nchi iliyoenda kwa Ufaransa kununua Mistral amphibious ships ndio unataka iunde aircraft carriers? Kama wangekuwa hawataki kwanini wasiifanyie retirement rusted and unreliable Admiral Kuznetsov. Kwanini waibakize dockyard inakarabatiwa wakati ishaua watu kwenye moto, ishazamisha their only carrier-capable floating deck, ishazima kwenye mission ya kwenda Syria mpaka intel ya UK ikaogopa ajari ikabidi Royal Navy itume meli kukaa karibu in case Kuznetsov ikipata ajari wajiandae kuokoa yasije yakatokea kama ya Kursk disaster mwaka 2001
Uwe una andika Source. Ndio formula ya ku copy na ku paste. Kama ni Wikipidea au Google tujue ni USA. Hawa wana style yao tofauti ya kuripoti habar za washindani wao.Mkuu ni kweli kwamba Urusi inaangalia mipango ya kujenga manowari mpya ya kubebea ndegevita. Ila hawaendelei zaidi maana katika miaka iliyopita walikosa pesa (jeshi la majini ya Urusi kwa jumla lina vyombo vingi vya zamani, gharama ni kubwa). Kutokana na ukosefu wa uwezo kwa sasa wameamua kukarabati admiral Kuznetsov, ambayo ni pia kazi yenye gharama. Hivyo unasema kweli ukidokeza: Angalau jeshi la Urusi haikubali wazo kuwa manowari hizo ni bure.
Ona taarifa:
The overhaul and upgrade of Admiral Kuznetsov is expected to be completed in the first half of 2023. The avionics, flight deck with the ski jump, electric equipment, and the power plant will be replaced. The carrier will also receive a new fully domestic takeoff and landing control system, with the onboard airpower remaining the same. Due to the lack of a large enough dry dock, a new dry dock is being constructed in Murmansk.[90] While this is scheduled to be completed by the end of 2021, Admiral Kuznetsov will not be docked until June 2022 due to safer weather conditions at that time.[91] The ship is not expected to return to active operations until late 2023.[92]
Carrier moja inacost $10b, na apo uwe na technologia, bila technologia ni kupoteza helaHiyo speech ya Putin I think ni ya New Year 2019. Nikumbushe ni lini alitangaza Poseidon wakaonesha na CGI yake na Burevertsnik ikazungumziwa. Russia docktline yake anajua hana ubavu wa kumfuata Marekani kumpigia kwake. Wala Marekani hajawahi ota kupigana na nchi yeyote ile kuanzia mainland kwake. Marekani ana bases zaidi ya 50 duniani kwa sababu hiyo, ana dedicated 82nd Airborne Division kwa ajili ya rapid development popote pale duniani. Ana tactical airlifters za AMC na mambo mengi kuhakikisha hapiganii vita kwake.
Russia ni kinyume kwa kuwa docktline yake vs USA sanasana ni kupigania nyumbani. Anapanga defensive warfare ambayo anaamini kwenye largest landmass kulinda inland. Ndio maana wakati Marekani ana stealth jets aina tatu tofauti zikiwa ni mamia, Russia anayo aina moja ambayo hata units 20 haina. Marekani ana ndege nyingi 4th, 4.5, 5th gen. na bombers nyingi wakati Russia ana chache. Russia inacompensate hilo kwa kuwa na air defence systems nyingi na aina tofauti zikiwa layered, wakati Marekani ana air defence systems chache. Russia hana haja na carriers ila bado hana uwezo kuzitengeneza, na hili haliondoi umuhimu wa carriers
Atapiga US ila hilo pigo litakuwa na impact yoyote!???Nitakujibu swali lako hapa MKUU silaha yeyote itatumika kushambulia KARIA inategemea na silaha inavyotumika
Kwani TOCHKA u alikua azamishe MOSCOVA ndio nature yake
Tukija hapo kwa RUSSIA na US hawa mabwana kupiga wao kwawao sidhanii ila ikitokea kupigana hio vita haitakua namambo mengi RUSSIA haijalishi anaishambulia US tokea wapi ila anauwezo wakupiga ndani ya US chini ya nusu saaa
Kuwepo ama kutokuepo kwa KARIA haimaanishi udhaifu kwa RUSSIA nisuala lamaamuzi
INDIA umesema anakambi ya jeshi nje anabajet gani yaulinzi
KARIA inategemea unataka kuaje ama kipaombele chako kipi kwaulinzi
Mwisho KARIA mhimu sana sana sana sanaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Angekuwa hatari kivita angemshinda Ukraine na kuchukua nchi hatariMkuu statistics nyeti Kama hizo huwezi wewe tu kuzijua kirahisi. Hakuna Nchi inayo disclose 100% ya mambo ya Military Power na Technology zao.
Hata hizo open records tunazojua kua US ni wa pili kwa wingi wa nuclear warheads baada ya Russia yaweza kuwa, fact empirical data ni zingine kabisa. Wao wanajuana na ndo maana hawa ingiliani kirahisi.
Waweza kuta Russia anamzidi kila kitu US kwenye ST ya vita na mbinu.
Tujitahidi kurejea statistics lakini kumbuka Propaganda ipo mpaka kwenye sensitive Military data.
Russia ni hatari sana Kivita.
Achana na US+NATO wana mambo ya sawa na mtu kujitungia paper, kisha ajisahihishe na ajijazie alama na kisha anataka umwamini [emoji16][emoji16]
Sura yako na unayoongea yanaendanaHivi zana za US+NATO zimekomboa mji gani uliokua unakaliwa na Russia huko Ukraine? Maana unasifia negative ufanisi
Hiyo mifumo hufanya kazi kama Iron dome ?Zina mifumo ila THAAD ni land based. Ndio ile mifumo iliyopelekwa South Korea na Japan na Wachina huwa wanalalamika. Carriers huwa zinalindwa na Aegis ships, Aegis ni mfumo mgumu na very complex wenye kukusanya data na kufanya guidance ya missiles. Aegis ship ni kama Ticonderoga na Arleigh Burke. Aegis ziko nyingi zaidi ya 50
Ivi unajua ICBM inavyofanya kaz au unaongeaongea tuHilo dude ukiwa na makombora ya ballistic sio tishio kwako hata Iraq kwa kutumia makombora ya scud wanaweza kulisambara tisha
Mahusiano ya Ujerumani na Urusi yakiimarika, Ujerumani anakuwa super power Ulaya, yakiyumba anakuwa Burundi ya EAC.Moshi mweupe nauona kwa Russia na mweusi unaelekea NATO
"Too many German politicians want to revive relations with Russia" says Andrei Melnik, the ex-ambassador of Ukraine to Germany.
Melnik was asked to resign after comments he made to the German foreign minister as well as insults on the German president.
Many German leaders want to improve relations with Moscow in order to continue receiving gas from Russia.
After all, it is he who is the basis of Germany's economic success.
"They just have to give up these fantasies," says Melnik.
He promised that to do this, his successor "will continue to maintain pressure on Germany."
@NewResistance
Labda Mrudi kwenye sera za kila jeshi.Huyo bwana anataka kusema France, UK, USA, China, India na Russia ni wajinga kuwa na carriers. Kama ni hasara kwanini Russia abaki na lile lichumachuma, si aachane nalo
Huna facts unaongeaongea tu, pole maskinUSA is dead. Mpaka inuke ndio ujue kuwa imekufa!? Soma kitabu kinaitwa:- "Who Moved My Cheese"
Kitakusaidia.
In short USA hawana mordern weapons