Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wale waliokuwa wanasema Urusi ilishindwa kuingia Kiev, ukweli huu hapa, Zelensky alimillia Putin kupitia Erdogan aache kuizingira na kuchukua Kiev.

IMG_20220801_213316.png
 
Snake island ina faida gani Rusia aliona hakuna chochote pale zaidi ya kuviweka vikosi vyake hatarini ni kama vile unaleta mabishano ya watoto Kiev walirudi nyuma ili mazungumzo ya Amani yaendelee maana sharti moja wapo ni vikosi vya Rusia vitoke mbali na eneo la Kiev ili kufanya mazungumzo ya aman yaendelee Ila pro NATO mnakuja kujisifu uku kuwa Rusia alifurushwa Leo la Kwanza la Rusia ni kuchukua jimbo la donbase Ayo mengine yalikuwa kunogesha Sherehe tu
Snake island kama sio muhimu waliteka ya nini. Na mbona wakitandikwa hata hawakuondoka wenyewe, kwani Moskva ilipigwa ikiwa karibu na nini? Si ni hii hapa na machumachuma yao baada ya kupigwa helicopters, air defence system, Raptor boat na silaha nyingine
20220708_124852.jpg

Kyiv walitandikwa vilevile. Huku ndio kufanya mazungumzo? Na kama Kyiv ni kunogesha sherehe mbwembwe zote za misururu ya silaha zilikuwa za nini, kutalii ama
20220726_092208.jpg
 
Wale waliokuwa wanasema Urusi ilishindwa kuingia Kiev, ukweli huu hapa, Zelensky alimillia Putin kupitia Erdogan aache kuizingira na kuchukua Kiev.

View attachment 2311450
Ukraine huwa anakataa masharti ambayo Russia huwa anampangia. Wapigane, mambo ya mazungumzo yashashindikana kwa sasa labda baadae.

Hata hivyo huwezi leta chanzo cha taarifa kwa kumuuliza Putin mwenyewe. Haiwezekani Putin aseme walishindwa, atatafuta sababu nyingine
IMG_20220801_220028.jpg
 
Uwe una andika Source. Ndio formula ya ku copy na ku paste. Kama ni Wikipidea au Google tujue ni USA. Hawa wana style yao tofauti ya kuripoti habar za washindani wao.
Mkuu asante kwa kutukumbusha kuhusu umuhimu wa kutaja vyanzo vyetu. Nilinukuu makala ya Wikipedia kuhusu manowari hiyo (nimeweka link). Ila si sahihi kusema kwamba makala za Wikipedia kwa lazima zinaonyesha msimamo wa Kimarekani. Maana kila mtu anaweza kuchangia na wasomaji kote duniani wanaweza kusahihisha na kubadilisha michango. Pamoja na hayo, makala za wikipedia zinatakiwa kuonyesha ushahidi. Hapa unaweza kukagua mwenyewe kama matini inatumia vyanzo unavyokubali au la. Makala hiyo inatumia taarifa taarifa nyingi za Kirusi, pamoja na RIA Novosti.
 
Atapiga US ila hilo pigo litakuwa na impact yoyote!???
Wenzako wanaona kutungua bomb ni kama kutungua Ndege, angalia Irone dome ya israel inavyofanya kazi ndo utajua vita ya sikuizi sio unayodhani
Haitakua na madhara itaifanya US izidi kuinarika zaidi
Hio IRON DOME ilikua inapigana dhidi ya taifa gani!!!??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Putin anakataa vita ya nyuklia
Wakuu vita hii na mauaji hayo pande zote ni kitu kibaya mno. Leo nimefarijiwa kiasi nilipoona tamko la Rais Putin aliyesema ni muhimu kuepukana na vita ya kinyuklia maana hakuna atakayeshinda.
Nimeona hapa marafiki kadhaa wa upande wake wanaopenda kuonyesha roketi kubwa na kujigamba na uwezo wa uharibifu wa silaha hizo. Nafarijiwa kwamba rais wa Urusi anaelewa ambacho wengine wa wafuasi wake hawaelewi.
"

Russia-Ukraine live news: Putin warns against nuclear war​

By David Child and Hamza Mohamed
Published On 1 Aug 20221 Aug 2022
  • Russian President Vladimir Putin has said nuclear war “should never be unleashed” and warned any such conflict would have “no winners”.
  • (Chanzo: AlJazeera leo )
 
Hiyo ni International politics, unafikili anaweza kufanya disarmament ya nukilia zake, kama hiyo ndo imani yake, kasha soma muelekeo wa vita kwamba Urusi inashinda na Marikani amesha ogopa nakuona hana uwezo wa kupambana naye, kwahiyo anasafisha jina la Urusi tu
 
Kwanza utuambie wewe pro Nato au Pro East ili tujue umesimama na upande gani?[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
😂😂😂

Kwamba ataje upande zijulikane changez ni za mlengwa upi dah 🤗.

Lakini kwa kutizama heading tu naotea asipokua east basi atakuwa NAM kama Jasmoni Tegga alivyootea. "Brains" za pro-west ziko incapable kujua shida zinazo wazunguka.

Stories of changes kwao ni kitendawili kisichoteguka.
 
Snake island kama sio muhimu waliteka ya nini. Na mbona wakitandikwa hata hawakuondoka wenyewe, kwani Moskva ilipigwa ikiwa karibu na nini? Si ni hii hapa na machumachuma yao baada ya kupigwa helicopters, air defence system, Raptor boat na silaha nyingineView attachment 2311452

Kyiv walitandikwa vilevile. Huku ndio kufanya mazungumzo? Na kama Kyiv ni kunogesha sherehe mbwembwe zote za misururu ya silaha zilikuwa za nini, kutalii amaView attachment 2311454
Kwahiyo Ukraine ina shinda??
 
Mkuu asante kwa kutukumbusha kuhusu umuhimu wa kutaja vyanzo vyetu. Nilinukuu makala ya Wikipedia kuhusu manowari hiyo (nimeweka link). Ila si sahihi kusema kwamba makala za Wikipedia kwa lazima zinaonyesha msimamo wa Kimarekani. Maana kila mtu anaweza kuchangia na wasomaji kote duniani wanaweza kusahihisha na kubadilisha michango. Pamoja na hayo, makala za wikipedia zinatakiwa kuonyesha ushahidi. Hapa unaweza kukagua mwenyewe kama matini inatumia vyanzo unavyokubali au la. Makala hiyo inatumia taarifa taarifa nyingi za Kirusi, pamoja na RIA Novosti.
Nashukuru kwa kukiri ni Wikipidea. Ila siyo kuwa taarifa zao ni sahihi by 100%. Hata ww ukiandika mada zako Facebook yenye ukweli kuhusu America lazima fb waanze ku kutumia Warnings za kukufungia Account. Hivyo hivyo pages za vyombo mbalimbali fb kama RT, China News, nk link zake uki fungua fb wana kupa angalizo. USA controlled media wana propaganda hata ktk maudhui ya Habari mitandaoni ndio maana hivi Karibuni Google, Youtube, zime pigwa faini nyingi na nchi mbalimbali. Hata habari za BBC na vyombo vyote vya magharibi kwa sasa havina mizania.
 
Back
Top Bottom