Hivi mnajitia upofu?Hamjaona jinsi miji ya Ukraine ilivyogeuzwa magofu na silaha za kizamani za Russia?
Halafu hivyo vi silaha vya kisasa vya USA vikishambulia kidogo basi kelele kibao watu hatupumui!
Mnachekesha kweli
Hizo silaha za US sio za sikuizi, Russia ndo anatumia siraha za kisasa, sema nazo ni chache ndo maana anatumia za kizamani, ni kama Su 57 zipo nne
Ata hizo HIMARS ni za zamani, na najua ulikuwa huzijui kabla ya hii vita
Ukitaja Siraha za US huwez kutaja hizo zilizopo Ukraine, HIMARS ana kaka zake ambao Range zao ni kubwa sana, ila Marekani kagoma kuzipeleka,
Apo mnagombana na mtu anaesaidiwa na anapewa tujisilaha twa zamani ambazo zina modification tu na apoapo wanajeshi wake wana limited training
Sa mkigombana na za kisasa, maana apo Ukraine advantage zote Russia anazo na kila mtu dunia nzima alijua ndo hvyo Ukraine imeanguka, sa leo ni mwezi wa 6 na furaha yenu ni kupigana kwa propaganda, Yaani Superpower anagombana na kinchi kidogo Jiran kwa Propaganda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Zile Meli, zile S 400, zile ndege jeshi na milipuko ya kutisha iko wapi sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Iskander iko wapi sasa[emoji23][emoji23][emoji23], Themobarric, Vaccum bombs hazisaidii
Tulitegemea ndani ya wiki Ukraine iwe ishageuzwa na kuchukulia, ila leo mnagombana mitandaoni sijui mmeziharibu Howtizers[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tunahitaji Balance duniani ila Russia kakosea sana, tena ye ndo kavamia kibaya