kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Special epereshen iliyogharimu maisha ya majenerali zaidi ya 22..., asikari wa kawaida zaidi ya 25000..,makumi elf ya vifaru..,ndege kadhaa..., magari ya kivita kadhaa..., helicopter kadhaa..., fuel tank..., boat kadhaa..,meli kadhaa..,nk nk nk..,ni special epereshen hiyo??Tulia wewe pro nato hii small op sisi ndio tuna i control iendeje tukiamua ata leo hii tuimalize hii op no simu moja tu putin anampigia shoigu anampa order hypersonic zinamaliza kazi sema tunataka twende ivi mdogo mdogo ili akili zenu zirudi ili sikunyingine mkiambiwa Russia ni masikini wa kutupwa muwe mnajiuliza mara mbili mbili
Nitakuwa wa mwisho kuamini hili [emoji848]