Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji633][emoji1212][emoji1141]Spanish Prime Minister Pedro Sanchez:

"We support Serbia when it comes to Kosovo. Spain has been, is and will always be on Serbia's side"

But Pedro saying that because he has same problems with Catalonia not because he cares about the teritorial integrity of Serbia
Safi saana
 
Aircraft carrier, Ni meli ya mizigo.
Kama Russia haina sera ya kuwa na base za kijeshi Africa, au hawana mizigo kiasi cha kuhitaji carrier from point A to B, then carrier za nini?

Russia ndio nchi pekee ina bomber kubwa duniani, je tuseme USA hana uwezo kuitengeneza? au China?

Carrier na escort za warship sio salama ukiwa kwenye mgogoro na nchi zinazojielewa, lile ni kama ferry la kigamboni.
Ni kweli
 
Sasa MKUU kama unajua kwamba carrier yaweza kukaa 1000 km away naikafanya mashambulizi unahisi kuna ulazima wakufanya hvyo wakat pia waweza ukatumia missile kupiga pia 1000km away
Hapo nahisi nisuala la kukubali kujiendeleza upande upi zaidi
Juu huko kuna jamaa kauliza swali cjui kama nikweli ama laa ila anasema RUSSIA ina bomber yenye sifa gani cjui kuliko zote ulimwenguni
Akaambatanisha na swali je US kashindwa kufanya same na RUSSIA

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo sasa
 
Ngoja niwape ufafanuzi kidogo kuhusu Aircraft carriers.

1. Yatupasa tuelewa kwamba, kila nchi inatofautiana kwenye "Military Doctrine".

2. Kazi ya Aircraft carriers Ni " kubeba zana za Vita" (hasa hizo ndege au helicopter au drones). Aircraft carriers hairushi makombora.

Sasa, Military Doctrine ya US Ni kuwa na base nyingi za jeshi na kupigana Vita nyingi mbali huko na America continent.

Russia yeye miaka yote hana mpango wa kuwa na base za jeshi nyingi na kupigana Vita nyingi mbali huko na mipaka yake.

Hadi hapo mtakuwa mmeshaona utofauti.

Pia, Kama Ni wafuatiliaji vizuri wa speech za Putin, miaka ya nyuma kidogo wakati kwa Mara ya kwanza anazindua prototype ya hypersonic missile alisema kwamba, hili kombora linafika popote duniana kwa hiyo hakuna haja ya kuwa na aircraft carrier (Kama 3 yrs ago).

China yeye amefata nyayo za US za kuwa na bases nyingi za jeshi. Ndio maana aircraft carrier zinakuwa za muhimu.
Ni kweli
 
Aircraft carrier, Ni meli ya mizigo.
Kama Russia haina sera ya kuwa na base za kijeshi Africa, au hawana mizigo kiasi cha kuhitaji carrier from point A to B, then carrier za nini?

Russia ndio nchi pekee ina bomber kubwa duniani, je tuseme USA hana uwezo kuitengeneza? au China?

Carrier na escort za warship sio salama ukiwa kwenye mgogoro na nchi zinazojielewa, lile ni kama ferry la kigamboni.
Mkuu, bila shaka unajadili ndege ya Tupolev TU-160. Nimekuta utathmini ufuatao kuhusu uwezo wake, ambao si mzuri sana. Je una data za kinyume ? Je faida ya kuwa kubwa ni nini kama huwezi kwenda mbali?


TU-160 is one of the largest bombers ever built, and it has variable swing wings. It can hit speeds of Mach 2+, but it comes at a cost. It has less than half the range of the Tu 95 (Bear) bomber even with air to air refuelling

Only 16 were in service and 8 of those were purchased from the Ukraine although a newer model Tu 160M2 is now in production with an original order of 50.

The White Swan (what the Russians call it) requires air to air refuelling to perform its mission which is a ‘stand off’ missile launch, not a true bomber. If it uses its high speed (Mach 2+) its range is drastically reduced, its cruising speed is Mach .9 and to fly its combat radius it has to fly at Mach .7

It can only reach Mach 2 at altitude and its payload is less than the US B1, its maximum altitude is also 9000 feet lower.
 
Screenshot_20220802-162904.png

Watu wanafuatilia ni wengi mno.
 
Back
Top Bottom