Ujue kujua Id ya mtu yuleyule sema ni majina tofauti ni kazi ndogo sanaa kuna floo ya maandishi,kuna hisia zinakua sawa,kuna matumizi ya neno flani,kuna aina za rangi ata aweke profile picture gani ila ni lazima rangi flani itamalaki mfano blue(mr.blue[emoji23][emoji23][emoji23])
Kupitia huu uzi nikajua matumizi ya ignore [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nilikomaliaga id ziunganishwe kumbe hiyo fashen imepitwa na wakati coz watu wengi wana misafara ya ID.
We ukigundua piga nyundo tuu.
#usinyanyue kidole walii badoo hajastaafu[emoji23][emoji23][emoji23](nyundo)