passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,881
- 13,096
Nonsense. Russia anauwezo wa kuibadilisha USA kuwa jangwa la lililojaa mionzi tayari.Sio china tu hata huyo mkubwa wenu.. ajichanganye aguse ambapo hapatakiwi kuguswa aone
Nonsense. Russia anauwezo wa kuibadilisha USA kuwa jangwa la lililojaa mionzi tayari.Sio china tu hata huyo mkubwa wenu.. ajichanganye aguse ambapo hapatakiwi kuguswa aone
Tushawazoea [emoji14][emoji14][emoji14]Sio china tu hata huyo mkubwa wenu.. ajichanganye aguse ambapo hapatakiwi kuguswa aone
Unatetea upopoma mdogo wangu, zile mbwembwe zote zilikuwa za nini sasa? Ana tofauti gani na NATO wazee wa No Actions just Talks Only.Tulia bro usiwe na haraka, Mind you ilichukua Russia eight years to really respond to the 2014 Maiden coup, SMO hii tunayo iona leo.
Binafsi bado nipo kati nasubiri end result kwa China.
1st now ameshajipa kila sababu ya kuitandika Taiwan...
2nd nahisi wameachana na hiyo Move ya kushambulia "Mgeni" kuepusha direct war with US.... Ambayo of course ni Nuclear war kwani as far as we know China ni third to Russia and US in military capabilities.
Let's wait to the last naona mapema sana ku'judge position ya China kwenye hii mambo.
Kwa hiyo Pelosi amefanya UNOFFICIAL visit?
😄😄 ndio watu wajue Mrusi anapigana bila cha msaada wa Nani Wala Nani.Ni jeshi la mtu mmoja lile,Mchina hamna kitu pale.Ukweli mchungu
Kama alikua hataki fanya kitu angekaa kimya kabisa
Pua uchina
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni comment ambayo ni joke lakini ni point....tungoje tuone Nini kitatokea baada ya huyo mdada kuondokaBasi walichokifanya mchina leo Ni TACTICAL DELAY 😄😄
Zile story zenu za kahawa[emoji3][emoji3]Nonsense. Russia anauwezo wa kuibadilisha USA kuwa jangwa la lililojaa mionzi tayari.
We Jamaa kajielimishe Kwanza au kafanye utafiti.ukraine inamshindaje ebu kuweni na akili MTU amechukua maeneo mengi ya Ukraine alafu unasema Russia imemshindwa Ukraine?kafanye utafiti na ni kweli sio Russia Tu nchi yoyote yenye nuclear hata NK anauwezo wa kuiharibu USA ndo Maana marekani amebaki kubwabwaja Tu Kwa NK.Zile story zenu za kahawa[emoji3][emoji3]
Hivi huwa mnashirikisha ubongo kweli nyie[emoji16], Ukraine yenyewe bado inamshinda je kwenda direct kwa us ndio ataweza!
Watakuwa wamegundua kwamba hiyo ilikuwa TACTICAL DIVERSION ya Marekani out of Ukraine na pia kujisahaulisha internal problems zake.Basi walichokifanya mchina leo Ni TACTICAL DELAY 😄😄
Never kujitangazia . hilo ni tangazo la vita. China asapoti Russia . US anataka kuidisturb China auwe ishu ya BRICSSMO ipo well UCHINA yuajua yote hayo kama alikua hanania angekua mpole
Soon TAIWAN itajitangazia uhuru
Sent using Jamii Forums mobile app
😄😄😄😄😄 Aiseee 😄😄😄Watakuwa wamegundua kwamba hiyo ilikuwa TACTICAL DIVERSION ya Marekani out of Ukraine.
Possibly Putin amemshauri Xi Jinping afanye TACTICAL FOCUS hadi pengine SMO ikamilike. Hii itakuwa na faida kubwa sana kwa hawa wawili.
Sasaivi ananunua mafuta asiishie hapo ajiingize Donbas km kujenga miji kutoa mafunzo kwa vikosi vya DPR nkChina amsaidie Russia kwny hio SMO kufanya nini?
Mkuu China hana mambo za Mandonga [emoji16][emoji16]Ukweli mchungu
Kama alikua hataki fanya kitu angekaa kimya kabisa
Pua uchina
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa kuna pro RUSSIA watakua nau NATO fulaniUnatetea upopoma mdogo wangu, zile mbwembwe zote zilikuwa za nini sasa? Ana tofauti gani na NATO wazee wa No Actions just Talks Only.
Mara oo don't play with fire my foot ushubwada tu. China hamna kitu hapo, mara 10k ka mwamba kiduku anaishi maneno yake.
Kharkiv na Odessa ndani ya AgustLeo ni mauwaji ya hatari kubwa
[emoji298]️Russian MoD reports;
The Russian Aerospace Forces attacked the stationing point of the "Foreign Legion" in the Nikolaev region, up to 250 mercenaries were destroyed.
In the settlements of Merefa and Chuguev, Kharkiv region, as a result of high-precision strikes by the Russian Aerospace Forces, up to 500 Ukrainian military personnel were eliminated.
[emoji635][emoji1255] RuMOD briefing on special military operation:
[emoji843] Over 50 troops of ZSU 54th Mechanized Brigade eliminated near Mar'inka (DPR), around 250 mercenaries from Kyiv Foreign Legion eliminated near Mikolaiv;
[emoji843] Over 130 troops of 58th Motorized Infantry Brigade eliminated near Bakhmut;
[emoji843] Retreating 21st battalion of 56th Motorized Infantry Brigade came under ZSU shelling and was nearly totally eliminated;
[emoji843] Army air force, missile forces and artillery landed strikes on 5 ZSU operation rooms and 142 personnel and armor groupings;
[emoji843] Russian forces destroyed 7 ZSU munitions depots in DPR territory, Zaporizha Oblast and Mikolaiv;
[emoji843] In course of artillery duels, Russian artillery landed strikes on 2 Hyacinth-B howitzer platoons in DPR territory, suppressed 4 Grad launcher platoons and 9 artillery platoons in DPR territory, Zaporizha, Mikolaiv and Kharkiv Oblasts;
[emoji843] Air defense shot 5 UAVs.
#Russia #Rusia #Donbas #Ukraine #Ucrania #RuSO #RuMOD
@riafan_everywhere
Mchina hana tofauti na nato[emoji1][emoji1] ndio watu wajue Mrusi anapigana bila cha msaada wa Nani Wala Nani.Ni jeshi la mtu mmoja lile,Mchina hamna kitu pale.
Marekani hana nuclear? Na Russia kachukua % ngapi mpaka sasa zinafika hata 20%.?We Jamaa kajielimishe Kwanza au kafanye utafiti.ukraine inamshindaje ebu kuweni na akili MTU amechukua maeneo mengi ya Ukraine alafu unasema Russia imemshindwa Ukraine?kafanye utafiti na ni kweli sio Russia Tu nchi yoyote yenye nuclear hata NK anauwezo wa kuiharibu USA ndo Maana marekani amebaki kubwabwaja Tu Kwa NK.