Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Lakini uvumilivu wa China usitafsirike kama woga. What if wana Plan B ambayo ni the cheapest na simplest?
Mathalani China ikipigwa sanctions za nguvu kama Russia itahimili vipi?!

Russia ana rasilimali ambazo zinategemewa kwa namna yoyote! China kwa kiasi kikubwa ni muuzaji wa bidhaa ambalo soko lake Marekani na Ulaya.

Labda wataalamu mtusaidie katika hili!

Ila mbali na yote China ni muoga! Binafsi nilijua hatothubutu! Russia, Iran, North Korea haziko radhi uvunje utu wao wa mipaka ya nchi wakakuangalia lazima patalipuka tu pakubwa na America analijua hilo na kwa misingi hiyo huwezi kumuona akifanya kama alivyofanya leo kwa China.

China ni muoga wamemtia bibi wa watu pressure bure! Bura wangekaa kimya, wamepata aibu kubwa ya dunia. Na kuhusu Taiwan waisahau kabisa! Hawatokichukua hiki kisiwa.
 
Mchina hana tofauti na nato
Hem wajitoe akili wakatembelee CRIMEA
pua uchina

Sent using Jamii Forums mobile app
😄😄 Kule hawawezi wakasogeza pua,afu yule kadrov alipost kwamba Leo ndio dunia itajua Ni Nani gani super power Kati ya China vs US ukiwato wao Russia.

Nadhani atakua amepata jibu 😄😄
 
Siyo Ukraine acha kuficha. Ni US+Ukraine+NATO≈NATO [emoji16][emoji16]

Russia anamchakaza US huko Ukraine
Akigusa nchi ya NATO hata kwa inch moja, ndio ataona NATO iko vipi.. pia si aliahidi kufanya hivyo vipi kafanya?

Mpaka sasa US kapoteza wanajeshi wangapi ukraine?[emoji3] Sijui hata Kama yupo

Na Russia kapoteza wangapi? Sasa nani anachakazwa!
 
VIJANA MNACHEKESHA. CHINA KACHELEWA NINI .VITA SI NGUMI ZA SONGEA. KASOME I VITA YA KAGERA. AMINI ALIINGIA AKAJITANGAZIA TZ haikutangaza vita ilishighulikia km OP tu huku ikijiweka sawa . Wakati mwingine China anamtesa US tu aingie gharama za maandalizi na ashindwe kumanage uchumi wake . Sio kila vita inahusisha risasi. Tension ikiongezeka US anasahau habari ya ZELE
 
Marekani hana nuclear? Na Russia kachukua % ngapi mpaka sasa zinafika hata 20%.?

Afu Vita ni akili, mi nikikufanya upigane sina Cha kupoteza but wewe ndie unapoteza.

Kwa akili zako hata Russia akiichukua Ukraine US atakuwa kapoteza nini!

Ila mpaka sasa Russia kapoteza wanajeshi wangapi! Hela! Vifaa! Vikwazo!
Amechukua zaidi ya 20%wewe unaona ni ndogo?nisawa na kuchukua baadhi ya nchi za ulaya.Russia anachukua maeneo nyeti ndo maana kusafirisha chakula kutoka Ukraine mpaka watu wammbembeleze urusi aruhusu alafu Russia anaenda kuchukua maeneo mengi Tu.
 
Akigusa nchi ya NATO hata kwa inch moja, ndio ataona NATO iko vipi.. pia si aliahidi kufanya hivyo vipi kafanya?

Mpaka sasa US kapoteza wanajeshi wangapi ukraine?[emoji3] Sijui hata Kama yupo

Na Russia kapoteza wangapi? Sasa nani anachakazwa!
Unataka kudhihilisha kua US hana masrahi na vita vya NATO+Ukraine VS Russia?
 
VIJANA MNACHEKESHA. CHINA KACHELEWA NINI .VITA SI NGUMI ZA SONGEA. KASOME I VITA YA KAGERA. AMINI ALIINGIA AKAJITANGAZIA TZ haikutangaza vita ilishighulikia km OP tu huku ikijiweka sawa . Wakati mwingine China anamtesa US tu aingie gharama za maandalizi na ashindwe kumanage uchumi wake . Sio kila vita inahusisha risasi. Tension ikiongezeka US anasahau habari ya ZELE
US ni dude kubwa, uchumi unaruhusu, budget imeshiba, anaweza pigana Vita hata 10 kwa wakti mmoja.

Tunasubiri Russia nae amsaidie China ikitokea vita
 
Amechukua zaidi ya 20%wewe unaona ni ndogo?nisawa na kuchukua baadhi ya nchi za ulaya.Russia anachukua maeneo nyeti ndo maana kusafirisha chakula kutoka Ukraine mpaka watu wammbembeleze urusi aruhusu alafu Russia anaenda kuchukua maeneo mengi Tu.
Lakini si unajua speed ya kuchukua imepungua kwa kasi! Yan urusi atahangaika na Ukraine mpaka mtasahau[emoji16]
 
[emoji1][emoji1] Kule hawawezi wakasogeza pua,afu yule kadrov alipost kwamba Leo ndio dunia itajua Ni Nani gani super power Kati ya China vs US ukiwato wao Russia.

Nadhani atakua amepata jibu [emoji1][emoji1]
Siku haijaisha. Katika vita hata ugomvi wetu street anayeanza kurusha NGUMI ndio mgomvi. China anaangalia NAMNA bora ya KUMFANYA US aanze . China akishapata hiyo namba au sababu atafanya kitu. Ktk vita tunazingatia sana justifikesheni kwa raia wako na wanajeshi wako majirani zako marafiki zako. Sio fulani kapokelewa au Katua basi upigane. There must be something to trigger . Hiyo ya huyo mama haina nguvu ya justification
 
Hakuna mutakachokiona MKUU zaidi ya kurushwa videge viwili vitatu imeisha hio
Hawa uchina huenda hata bidhaa zao ikawa feki kweli hawa UMBWA

Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂🤣🤣Duh...inaelekea una hasira Sana.......ila inaelekea watu wanasahau matukio ya nyuma...upo mwaka jet fighter ya China ilidunguliwa na fighter ya Marekani na China haikufanya kitu....na pale ubalozi wa China ulipopigwa na mabomu ya midege ya USA/NATO pale Belgrade na kuua Wachina wawili hakuna kilichotokea😂😂🤣
 
Back
Top Bottom