Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Dah sitaki kuamini kama China nae mdebwedo kiasi hiki. Anachofanyiwa sasa ni sawa na Muhuni kuja kumtafuna mwanao nyumbani kwako halaf usimfanye kitu. China katuangusha kifala sana! A p**y paper tiger!
Tulia bro usiwe na haraka, Mind you ilichukua Russia eight years to really respond to the 2014 Maiden coup, SMO hii tunayo iona leo.

Binafsi bado nipo kati nasubiri end result kwa China.
1st now ameshajipa kila sababu ya kuitandika Taiwan...

2nd nahisi wameachana na hiyo Move ya kushambulia "Mgeni" kuepusha direct war with US.... Ambayo of course ni Nuclear war kwani as far as we know China ni third to Russia and US in military capabilities.

Let's wait to the last naona mapema sana ku'judge position ya China kwenye hii mambo.
 
China atafanya kitu ngoja Putin amshauri wapo na maongezi kitanuka lengo ni kumpunguzia sapoti Russia . China asipigane aisaidie Russia SmO kwanza. Akipigana direct Russia atashindwa. HAWA wanaogopa winter wapo tayari kupigana na Russia na China huku Israeli akidili na mwarabu . It's do or die for Nato. China asipigane aweke tension na kuongeza usaidizi kwa special mission kwanza .
 
Tudeal na RUSSIA mzee UCHINA hamna maajabu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
China atafanya kitu ngoja Putin amshauri wapo na maongezi kitanuka lengo ni kumpunguzia sapoti Russia . China asipigane aisaidie Russia SmO kwanza. Akipigana direct Russia atashindwa. HAWA wanaogopa winter wapo tayari kupigana na Russia na China huku Israeli akidili na mwarabu . It's do or die for Nato. China asipigane aweke tension na kuongeza usaidizi kwa special mission kwanza .
SMO ipo well UCHINA yuajua yote hayo kama alikua hanania angekua mpole
Soon TAIWAN itajitangazia uhuru

Sent using Jamii Forums mobile app
 
China atafanya kitu ngoja Putin amshauri wapo na maongezi kitanuka lengo ni kumpunguzia sapoti Russia . China asipigane aisaidie Russia SmO kwanza. Akipigana direct Russia atashindwa. HAWA wanaogopa winter wapo tayari kupigana na Russia na China huku Israeli akidili na mwarabu . It's do or die for Nato. China asipigane aweke tension na kuongeza usaidizi kwa special mission kwanza .
China amsaidie Russia kwny hio SMO kufanya nini?
 
Leo ni mauwaji ya hatari kubwa

⚡️Russian MoD reports;

The Russian Aerospace Forces attacked the stationing point of the "Foreign Legion" in the Nikolaev region, up to 250 mercenaries were destroyed.

In the settlements of Merefa and Chuguev, Kharkiv region, as a result of high-precision strikes by the Russian Aerospace Forces, up to 500 Ukrainian military personnel were eliminated.
🇷🇺🇺🇦 RuMOD briefing on special military operation:

🔹 Over 50 troops of ZSU 54th Mechanized Brigade eliminated near Mar'inka (DPR), around 250 mercenaries from Kyiv Foreign Legion eliminated near Mikolaiv;
🔹 Over 130 troops of 58th Motorized Infantry Brigade eliminated near Bakhmut;
🔹 Retreating 21st battalion of 56th Motorized Infantry Brigade came under ZSU shelling and was nearly totally eliminated;
🔹 Army air force, missile forces and artillery landed strikes on 5 ZSU operation rooms and 142 personnel and armor groupings;
🔹 Russian forces destroyed 7 ZSU munitions depots in DPR territory, Zaporizha Oblast and Mikolaiv;
🔹 In course of artillery duels, Russian artillery landed strikes on 2 Hyacinth-B howitzer platoons in DPR territory, suppressed 4 Grad launcher platoons and 9 artillery platoons in DPR territory, Zaporizha, Mikolaiv and Kharkiv Oblasts;
🔹 Air defense shot 5 UAVs.

#Russia #Rusia #Donbas #Ukraine #Ucrania #RuSO #RuMOD

@riafan_everywhere
 
Tulia bro usiwe na haraka, Mind you ilichukua Russia eight years to really respond to the 2014 Maiden coup, SMO hii tunayo iona leo.

Binafsi bado nipo kati nasubiri end result kwa China.
1st now ameshajipa kila sababu ya kuitandika Taiwan...

2nd nahisi wameachana na hiyo Move ya kushambulia "Mgeni" kuepusha direct war with US.... Ambayo of course ni Nuclear war kwani as far as we know China ni third to Russia and US in military capabilities.

Let's wait to the last naona mapema sana ku'judge position ya China kwenye hii mambo.
China atafanya kitu ngoja Putin amshauri wapo na maongezi kitanuka lengo ni kumpunguzia sapoti Russia . China asipigane aisaidie Russia SmO kwanza. Akipigana direct Russia atashindwa. HAWA wanaogopa winter wapo tayari kupigana na Russia na China huku Israeli akidili na mwarabu . It's do or die for Nato. China asipigane aweke tension na kuongeza usaidizi kwa special mission kwanza .
100%
 
Leo ni mauwaji ya hatari kubwa

⚡️Russian MoD reports;

The Russian Aerospace Forces attacked the stationing point of the "Foreign Legion" in the Nikolaev region, up to 250 mercenaries were destroyed.

In the settlements of Merefa and Chuguev, Kharkiv region, as a result of high-precision strikes by the Russian Aerospace Forces, up to 500 Ukrainian military personnel were eliminated.
Nikajua Russia alikuwa huku Taiwan, kumbe yuko mzigoni?
 
Ndugu yangu unataka itokee vipi?!
Dah sitaki kuamini kama China nae mdebwedo kiasi hiki. Anachofanyiwa sasa ni sawa na Muhuni kuja kumtafuna mwanao nyumbani kwako halaf usimfanye kitu. China katuangusha kifala sana! A p**y paper tiger!
 
Dah sitaki kuamini kama China nae mdebwedo kiasi hiki. Anachofanyiwa sasa ni sawa na Muhuni kuja kumtafuna mwanao nyumbani kwako halaf usimfanye kitu. China katuangusha kifala sana! A p**y paper tiger!
Sio china tu hata huyo mkubwa wenu.. ajichanganye aguse ambapo hapatakiwi kuguswa aone
 
All this drama, all this money wasted, for something no doubt they could have achieved with a simple video call.

Blatant provocation, poking the bear and risking a 3rd world war. This administration is the biggest disgrace in US history and anyone who disagrees is an utter moron.
Well said.
 
Back
Top Bottom