political monger senior
JF-Expert Member
- Nov 26, 2020
- 1,951
- 6,399
mchina kafanya laki yangu niliombetia nimeliwa na pro nato[emoji17][emoji17]
Kiukweli mchina kama kakosea hesabu, alitakiwa akinikishe kipindi pelosi kageuza ndege yaani, yaani ilitakiwa asije kabisa Kwa sababu ya Vita au uchina ingekaa kimya halafu akitoa mguu anaingiza yeyeTusiwe wabishi wa kidwanzi Kama vile wanavyokuaga Wana-NATO,ukweli China Leo kapigwa middle finger mchana kweupeee.Hakuna Cha kujifariji kwny Hilo.
N.KOREA mtoe hapoPoor UCHINA hakuna kitu kama hicho
Anaeweza kufanya kweli ni IRAN RUSSIA na N.KOREA
Sent using Jamii Forums mobile app
China wamebaki na misemo yao ya kihenga na kiuhakika wanayo mengi.Unatetea upopoma mdogo wangu, zile mbwembwe zote zilikuwa za nini sasa? Ana tofauti gani na NATO wazee wa No Actions just Talks Only.
Mara oo don't play with fire my foot ushubwada tu. China hamna kitu hapo, mara 10k ka mwamba kiduku anaishi maneno yake.
Hapana MKUU hazifiki hata 5% kachukua sijui % ngapi Elensky anajuaMarekani hana nuclear? Na Russia kachukua % ngapi mpaka sasa zinafika hata 20%.?
Afu Vita ni akili, mi nikikufanya upigane sina Cha kupoteza but wewe ndie unapoteza.
Kwa akili zako hata Russia akiichukua Ukraine US atakuwa kapoteza nini!
Ila mpaka sasa Russia kapoteza wanajeshi wangapi! Hela! Vifaa! Vikwazo!
I'd yangu una maswali ya kukeraaa saana agiza pepsi nitalipiaChina amsaidie Russia kwny hio SMO kufanya nini?
uchina hawana akiliMathalani China ikipigwa sanctions za nguvu kama Russia itahimili vipi?!
Russia ana rasilimali ambazo zinategemewa kwa namna yoyote! China kwa kiasi kikubwa ni muuzaji wa bidhaa ambalo soko lake Marekani na Ulaya.
Labda wataalamu mtusaidie katika hili!
Ila mbali na yote China ni muoga! Binafsi nilijua hatothubutu! Russia, Iran, North Korea haziko radhi uvunje utu wao wa mipaka ya nchi wakakuangalia lazima patalipuka tu pakubwa na America analijua hilo na kwa misingi hiyo huwezi kumuona akifanya kama alivyofanya leo kwa China.
China ni muoga wamemtia bibi wa watu pressure bure! Bura wangekaa kimya, wamepata aibu kubwa ya dunia. Na kuhusu Taiwan waisahau kabisa! Hawatokichukua hiki kisiwa.
Shida yake ukraine naanaiadabisha kama muonavyoAkigusa nchi ya NATO hata kwa inch moja, ndio ataona NATO iko vipi.. pia si aliahidi kufanya hivyo vipi kafanya?
Mpaka sasa US kapoteza wanajeshi wangapi ukraine?[emoji3] Sijui hata Kama yupo
Na Russia kapoteza wangapi? Sasa nani anachakazwa!
Shida yake ukraine naanaiadabisha kama muonavyoAkigusa nchi ya NATO hata kwa inch moja, ndio ataona NATO iko vipi.. pia si aliahidi kufanya hivyo vipi kafanya?
Mpaka sasa US kapoteza wanajeshi wangapi ukraine?[emoji3] Sijui hata Kama yupo
Na Russia kapoteza wangapi? Sasa nani anachakazwa!
Shida alikua na mbwembwe sana jamaa khaa[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]Duh...inaelekea una hasira Sana.......ila inaelekea watu wanasahau matukio ya nyuma...upo mwaka jet fighter ya China ilidunguliwa na fighter ya Marekani na China haikufanya kitu....na pale ubalozi wa China ulipopigwa na mabomu ya midege ya USA/NATO pale Belgrade na kuua Wachina wawili hakuna kilichotokea[emoji23][emoji23][emoji1787]
Siyo hilo tu maana mteja mkubwa wa gas ya urusi ni uchina marekani anaona Kama mchina atakuwa vitani na kuhakikisha uchina anaingia damage kubwa basi atapunguza uwezo wa China kununua gas na bidhaa za urusi na Kwa namna moja au nyingine anakuwa amefanikiwa kumdhoofisha urusiNever kujitangazia . hilo ni tangazo la vita. China asapoti Russia . US anataka kuidisturb China auwe ishu ya BRICS
Sasa fujo zote 20% plus hv karibun hakuna hatua kubwa waliopiga.Hapana MKUU hazifiki hata 5% kachukua sijui % ngapi Elensky anajua
Kama us hana faida aliongea na lavrov akawaokoe raia wao waliokamatwa pale kwamabadilishano kisa nn hao ndio waliokamatwa mnaowajua ambao hamuwajui watajua wenyewe wakifa
us anapeleka misaada yakazi gani kama ukraine ikianguka hafaidi
Hii SMO lazma watu wafe ili malengo yafikiwe na yanafikie kwausahihi mkubwa sanaaa
Kama mnataka watu wapigane halaf wasife pole
Pia lazma wa RUSSIA wafe ili kuhakikisha taifa lao linakua salama
Nyie kaeni hivyo hivyo muogope kufa View attachment 2312236
Sent using Jamii Forums mobile app
😁😂😁😂🤣🤣😂😂Hapa kuna pro RUSSIA watakua nau NATO fulani
UCHINA kama walijua hawatafanya kitu wangekaa kimya
Kwahapa uchina hana lakutuambia umbwa yule
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaposti nyingine 🤣🤣🤣🤣🤣🤣😄😄 Kule hawawezi wakasogeza pua,afu yule kadrov alipost kwamba Leo ndio dunia itajua Ni Nani gani super power Kati ya China vs US ukiwato wao Russia.
Nadhani atakua amepata jibu 😄😄
Wamejiaibisha sana!
🤣🤣😂😂🤣Wapo pale Kariakoo kwa makumi ...nenda kanunue tiles ...😂😂
Ndio c waona SMO imeishaSasa fujo zote 20% plus hv karibun hakuna hatua kubwa waliopiga.
Madhara kwa russia kwenye hiyo vita haiwezi kuwa sawa na US. Na ukiona Vita imedumu kwa muda mrefu jua anaepigana anazidi kupoteza nguvu ya kijeshi.
Ndio maana Russia alkuwa analia Ukraine isipewe misaada