Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hawa wazungu wa west ni washenzi sana na ni waoga sana wa kufa. Laiti Kama China ingelijibu kwa vitendo US asingelifanya chochote zaidi ya vikwazo. White house inaulizwa kuhusiana na safari ya bibi inasema haihusiki na kipindi inajibu ndege ya Pelonsi inakaribia anga ya Taiwan.

Kijeshi China si mshirika wa kumtegemea.
Tuliwambia Pelosi atafika Taiwan mkawa mnabisha, China walichelewa sana maana mpaka Marekani anaweka base zake pale China alifikiria nini..!?
 
NASAMS zimeundwa kwa ushirikiano wa Kongsberg ya ya Norway na Raytheon ya Marekani. Ukitaka kununua NASAMS Marekani akakataa, huuziwi. Vilevile ikiwa Norway amekataa, huuziwi.

Hizo ni short to medium range na Marekani inazitumia kulinda Washington DC. Patriots za Marekani ni long range, THAAD ni land based missile defence system. AEGIS ni ya majini. Kila kitu kinaenda kwa mfumo, sio kama Russia wanaobeba lori la air defence wanapakia kwenye meli eti lilinde meli
Zile zilizopoteza netiweki kule saudi arabia zilikuwa za majini nini maana sio kwa kile kipigo
 
Tho hakukuwa na umuhimu wa kutunisha misuli kuwa akitua atakiwasha huku akijua hatokiwasha ila kama amepiga hesabu zake akaona vita itampotezea direction ni sawa kutulia maana hata huku tunataka atulie ili mambo yasiharibike vita ikaathiri production yake. Tunamtegemea sana, products za nchi nyingine nje ya china kwa PP yetu hatuziwezi. Unless anaweza kupigana huku mambo ya uzalishaji yakiendelea kama kawaida.
 
To some point bado niko na view tofauti na wenzangu hapa. Most katika mnaoiponda China naona mko too emotional 😄...

Me nahifadhi ulimi wangu nasubiri end result nitakuwa na la kuongea, huwa sipendelei kuzungumza kitu later nikirudishe kinywani.

Kuna maswali mkitulizana mnaweza kukaa kuyatafakari kama mkiweza.

1. Sote twajua kua US hegemony is collapsing, Je US akipoteana nani will come next? Probably ni China ambae ndie second in term of economy.

Sasa hapo em tujiulize kwanini US akaamua kama mbwai na iwe mbwai kwenda mazima kumchokoza wazi China huku dunia yote ikiwatizama?

Kwa upande wenu wadau hamuoni ni kama US anatafuta wa kudondoka nae kwenye korongo alilopo?

2. We all knows part wanayo play China na Taiwan kwa pa1 kwenye Global economy. Kama hali kwa Russia mmeiona ilivyokua hadi uku tunaisoma number. Hapo ni kwenye energy pekee vipi China na Taiwan nao?

Hii mbona nayo pia kama yafanana vile na kile ambacho tunaweza kukitafsiri US anatafuta wa kushuka nao kwenye korongo alipo. Hapo tusisahau Quarter zote hizi 1 na 2 za mwaka huu uchumi wa US unasoma negative growth.

Tukiacha zile mbwembwe alizofanya China kuna kitu me naweza kukisema kwa udadisi wangu mdogo huu nilio nao. Kuna ule msemo unasema usimpe adui kile anachohitaji.

Hicho nahisi ndicho China kaamua kukifanya, hapa nifahamike vizuri. Sio kwamba namtetea China ila najaribu kuwaza nje ya box.

Inaonekana kama US alikuwa anataka direct war with China akiwa na sababu zake na akitaka kuitumia hiyo Chance ya uchokozi akiamini wazi China atareact kwa shambulizi dhidi yao hivyo yeye kupata justification ya kuwazoa nduguze wote waingie hapo kuibomoa China. Ambae of course ndie back up in term of economy ya taasisi nyingine ambazo US na team yake hawamo.

Kwa tukio la leo kama ambavyo Russia aliondoka Kiev kimkakati. Naamini kuna jambo anakuja nalo China dunia haitaamini. Simtetei China ila daima huwa na mashaka sana na maamuzi ya watu wakimya wasio penda kuongea ongea sana kama Putin na Xi.

Let us not forget nenda kote duniani aliye fanikiwa kusimama kidete against US kiuchumi toka kuvunjika kwa USSR ni China pekee, na hawakufika hapo bahati mbaya. So tusiwa overestimate wala kuwa underestimate. Tukae zetu kati tu.

Sie tuwe observers tu inatosha!

Mda una majibu mazuri tuupe nafasi yake. Tusiwe wepesi w kuhukum.

Nyongeza ya maelezo, Kwa wale wapenzi wa Multipolar inabidi tushangilie hizi ***** ***** za US na China. Why?, Ni hivi wadau, mvurugano zaidi wa US na China utazidi kumsogeza China karibu na Russia.

Mvurugano zaidi wa Russia na US utazidi kumsukuma zaidi na zaidi Russia kwa China. Hii combo ya Superior Military (Russia) na Superior Economy (China) ndio tunayo ihtaji wapenda multipolar.

Hii visit ya huyu bibi inazidi kukoleza speed kwenye mteremko katika kuharibika kwa Unipolar world inayoisumbua dunia.

Mawazo yangu hayo mwenye mtazamo tofauti anakaribishwa.
 
Marekani hana nuclear? Na Russia kachukua % ngapi mpaka sasa zinafika hata 20%.?

Afu Vita ni akili, mi nikikufanya upigane sina Cha kupoteza but wewe ndie unapoteza.

Kwa akili zako hata Russia akiichukua Ukraine US atakuwa kapoteza nini!

Ila mpaka sasa Russia kapoteza wanajeshi wangapi! Hela! Vifaa! Vikwazo!

Acha kukaza fuvu hilo unauliza US anapoteza nini mpaka sasa kashapeleka kiasi gani?? Barbosa bado unaishi kwa Remy hapo au umehama?
 
Akigusa nchi ya NATO hata kwa inch moja, ndio ataona NATO iko vipi.. pia si aliahidi kufanya hivyo vipi kafanya?

Mpaka sasa US kapoteza wanajeshi wangapi ukraine?[emoji3] Sijui hata Kama yupo

Na Russia kapoteza wangapi? Sasa nani anachakazwa!

Kwanini nyinyi msimguse mbona mna assumption za kitoto sana?
 
Aircraft carrier, Ni meli ya mizigo.
Kama Russia haina sera ya kuwa na base za kijeshi Africa, au hawana mizigo kiasi cha kuhitaji carrier from point A to B, then carrier za nini?

Russia ndio nchi pekee ina bomber kubwa duniani, je tuseme USA hana uwezo kuitengeneza? au China?

Carrier na escort za warship sio salama ukiwa kwenye mgogoro na nchi zinazojielewa, lile ni kama ferry la kigamboni.
Zile zinaoneka ziko vizuri kama us[emoji631] anapigana na nchi kama libya, zimbabwe n.k maana hizo nchi hazina silaha za kisasa...ila kama unapigana na taifa lenye tech nzuri kijeshi kama russia china iran n.korea n.k hizo aircraft carrier ni floating mass coffin
 
[emoji630][emoji1258][emoji1239] President Xi Jinping on Pelosi's visit to Taiwan:

“We continue to look at the world with wide eyes so as not to miss a single provocation by American reactionaries. Pelosi's visit to Taiwan is yet another demonstration of the uncivilized campaign of the imperialists and the victory of the Chinese Communist Party."
action mwachie mwenyewe putin wewe endelea kupiga kelele
 
Back
Top Bottom