🤣🤣😂😂🤣Wapo pale Kariakoo kwa makumi ...nenda kanunue tiles ...😂😂
🤣🤣😂😂🤣Wapo pale Kariakoo kwa makumi ...nenda kanunue tiles ...😂😂
NATO wapo JF ?NATO kwa Matangazo. Hakika mmejipanga vizuri. Yaani hata Manati inaweza kupambwa hadi kikosi cha adui kikakimbia
Tails zao zitakua feki nauzee huu nisije teleza nikavunja nyonga[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787]Wapo pale Kariakoo kwa makumi ...nenda kanunue tiles ...[emoji23][emoji23]
Of course kwa hili kajidhalilisha, kelele zote zilikuwa za nini kama wamekiruhusu hicho kibibi kutua kwa mbwembwe zote.Kaposti nyingine 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
"Well, why was it so much to catch up with horrors, scare people, raise a fuss when it was so easy to let the poor old woman fly to Taiwan? — Kadyrov.
PATRON - Subscribe
Backup channel - Subscribe
Hata huyu babu soon ataendaOf course kwa hili kajidhalilisha, kelele zote zilikuwa za nini kama wamekiruhusu hicho kibibi kutua kwa mbwembwe zote.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Aisee leo umenichekesha Sana kwa kweli duh...
***** wameshafanya gheto wanaitana tu [emoji16][emoji16]British MPs are planing to visit Taiwan & Pelosi will lead a congressional delegation to Taiwan.
-----------------
China akisahau hiki kisiwa! Kwa mwendo wake asilani hakichukui hiki kisiwa!
Mkuu sijawahi kuchangia huu Uzi ni msomaji tu na pro east,nakuhakikishia wewe ni kama Mimi tu napenda ugomvi sana ila china Leo kazingua sana sijui atafanya Nini nimuelewe mbwa huyu.Hapa kuna pro RUSSIA watakua nau NATO fulani
UCHINA kama walijua hawatafanya kitu wangekaa kimya
Kwahapa uchina hana lakutuambia umbwa yule
Sent using Jamii Forums mobile app
china wameshaliona kuwa ni kanyaboya kwenye maghala yao ya silaha wamejaza matecno na infinix tu awana kitu kenge waleF*** China
[emoji95] China raised fighter jets over the Taiwan strait in hopes of scaring Pelosi & making the US aircraft change its course. But US didn’t blink. That was the only action we saw today from the “China will act militarily” threats from Xi.
Hawa wazungu wa west ni washenzi sana na ni waoga sana wa kufa. Laiti Kama China ingelijibu kwa vitendo US asingelifanya chochote zaidi ya vikwazo. White house inaulizwa kuhusiana na safari ya bibi inasema haihusiki na kipindi inajibu ndege ya Pelonsi inakaribia anga ya Taiwan.***** wameshafanya gheto wanaitana tu [emoji16][emoji16]