Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Haya maelezo mengi hayana maana, ungesema tu Russia ni defensive na USA ni offensive.

Ndio maana Urusi ana best mifumo ya kulinda anga kama S300, S400, S500, S550 na huku Wazee wa ugasho Wana Aircraft carrier aka Kambi katoto
Ule mfumo uliokuwa kwenye ile meli ya urusi iliyozamishwa haukufanya kazi au sio bora?

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Pengine usichokijua mkuu Ni Kwamba Hakuna mfumo ulio na usahihi kwa asilimia 100 dhidi ya makombora au ndege Vita.
Ingekuwa Ni 100% usahihi wake wa kikazi basi nchi ya kivita Kama US isingepoteza hat mtu mmoja kwenye Vita huko duniani

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Kwanini utolee mfano marekani ambao tunajua mifumo yao ni ya hovyo?
 
Snake island kama sio muhimu waliteka ya nini. Na mbona wakitandikwa hata hawakuondoka wenyewe, kwani Moskva ilipigwa ikiwa karibu na nini? Si ni hii hapa na machumachuma yao baada ya kupigwa helicopters, air defence system, Raptor boat na silaha nyingineView attachment 2311452

Kyiv walitandikwa vilevile. Huku ndio kufanya mazungumzo? Na kama Kyiv ni kunogesha sherehe mbwembwe zote za misururu ya silaha zilikuwa za nini, kutalii amaView attachment 2311454
Ndyo maana nakuita mpiga buluji snake [emoji216] ilikuwa mzigo Tu Kwa Rusia haijawai kuwa lengo lake mwanzo WA vita ilikuwa kukuchukia ili kuipunguza nguvu ya Ukrein kwenye kuanzisha mashambulizi Ila haikuwa lengo lake ndyo maana kaondoka.

Kiev aliondoka mwenyewe baada ya mazungumzo kuanzaa Ila nyie makelele na kupindisha habarii toka Lin kwenye vita zana za kivita haziharibiwii kuna vita gani uyoo mmarekani kabigani vifaa havijaaribiwa muskova kuangushaa ilo ni Jambo la kawaida sana kwenye vita kama vifaa vingekuwa vimearibiwa lakin bado hapata ata nusu ya lengo lake ningesema kweli Rusia Hana uwezoo Ila hadi sasa maeneo yote anayoyatakaa kapata na anazidi kusogea maeno mengine
 
🇷🇺The Russian army shot down 34 Ukrainian planes in July alone.

The VKS also intercepted 39 Tochka-U missiles and 226 MLRS shells, Shoigu said.

Among the foreign weapons, 6 HIMARS installations, 33 M777 howitzers and five Harpoon anti-ship installations were destroyed.

Subscribe to @Sputnik
 
Wakuu Salam

Mmesikia US still doing drone strikes in Afghanistan hu? Isn't it pathetic we are cry over Russia all day but we are still bombing countries in the middle east?

Look like the United States intends to divert attention from its wrong foreign policies by announcing it killed the al-Qaeda leader. I hope they also buried the body in the sea; just like Bin Laden.
 
Wakuu Salam

Mmesikia US still doing drone strikes in Afghanistan hu? Isn't it pathetic we are cry over Russia all day but we are still bombing countries in the middle east?

Look like the United States intends to divert attention from its wrong foreign policies by announcing it killed the al-Qaeda leader. I hope they also buried the body in the sea; just like Bin Laden.
^I hope they also buried the body in the sea; just like Bin Laden^
 
Naona bibi Nancy anagwaya kuelekea Taiwan. Mwelekeo wa ndege yake siyo Taiwan.
Screenshot_20220802-125658.png
 
ICBM tangu lini ikatumika kushambulia carrier. Unajua CEP ya makombora ya North Korea yale kina Nodong na Pakgungsong sijui nimelipatia jina? Hata ballistic missile au cruise missile ya kawaida haitumiki kupiga meli. Meli inapigwa na anti ship missiles ambazo zinatakiwa kuwa extremely accurate na zina mambo mengi kupitiliza. Carriers zikiwa baharini huwa hazisimami na haziendi kwenye straight line, ili uipige inabidi ujue iko wapi hundreds of kilometres away kisha uwe na real time data na positioning, kisha na missile uliyotuma iweze kuvuka defense zote za destroyers na cruisers ambapo kuna layers kama tatu tofauti. Mwishoni ikutane na CIWS, na missile iwe na speed kubwa au sea sea skimming ya hali ya juu. Sifa ambazo hakuna kombora la North Korea linazo.

Kufyatua makombora baharini na kuyatumia kupiga meli ni vitu viwili tofauti kabisa. Ingekuwa kupiga mjini kuua watu hapo sawa maana litaanguka popote libahatishe

Umejuaje North Korea hana kombora hilo?
 
Pengine usichokijua mkuu Ni Kwamba Hakuna mfumo ulio na usahihi kwa asilimia 100 dhidi ya makombora au ndege Vita.
Ingekuwa Ni 100% usahihi wake wa kikazi basi nchi ya kivita Kama US isingepoteza hat mtu mmoja kwenye Vita huko duniani

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Ni kweli! Iran alipiga kambi ha kijeshi ya Marekani pale Iraq mwaka 2019, ile kambi ni kubwa kuliko zote pale Mashariki ya kati na inavifaa vyote vya ulinzi wa anga! Jaribu kujiuliza licha kuwa walijua kama Iran watashambulia lakini bado makombora ya Iran yalipita!
 
Russian Defence Minister General of the Army Sergei Shoigu holds teleconference with leadership of Armed Forces

Key Points ⬇️

🔸 The Russian Armed Forces continue to protect civilian objects in the liberated areas of Ukraine from enemy air attacks.

🔸 Last month alone, 34 Ukrainian aircraft were shot down, 39 Tochka-U missiles were intercepted, as well as 226 shells of multiple rocket launchers, including foreign-made. Thousands of civilians were saved by this.

🔸 A total of 33 US M777 howitzers, 5 launchers of Harpoon anti-ship missile systems, as well as 6 launchers and over 200 rockets of HIMARS multiple rocket launchers were destroyed by Russian strikes against military facilities of AFU.

🔸 Over the past two weeks, AFU has lost 396 Javelin and NLAW anti-tank missile systems and 125 Stinger portable anti-aircraft missile systems.

🔸 Russian servicemen are actively involved in the work to establish peaceful life in the liberated areas and settlements of DPR, LPR and Ukraine.

🔸 In the liberated territories, military builders are restoring civilian infrastructure at a fast pace. Vital facilities are being erected and reconstructed as planned.

🔸 In the current political and military situation, it is especially important to consolidate the international community's efforts to combat neo-Nazism. In this regard, the Ministry of Defence has decided to hold the First International Anti-Fascist Congress.

🔸As of today about 50 foreign defence agencies have expressed their desire to attend the ARMY 2022 International Military-Technical Forum. About 1,500 enterprises and organizations, including foreign ones, are planning to exhibit their products. It is planned to sign and award 36 state contracts worth over 522 billion roubles with enterprises of the Russian military-industrial complex.

🔸This year for the first time the forum will be held simultaneously with the Moscow Conference on International Security which traditionally gathers military professionals and authoritative specialists in the field of defence from all over the world. Heads of foreign defence departments, heads of international organisations, experts and academics from 109 countries are invited to attend.

🔸Preparations continue for the 8th International Army Games which will be held from 13 to 27 August on the territory of 12 states. More than 270 teams from 37 countries will take part, including two new ones, Niger and Rwanda.

🔸The international events listed have proven to be of practical benefit. All of them undoubtedly contribute to enhancing interaction, military and technical cooperation opportunities, maintaining dialogue with our foreign partners on a wide range of issues.

@mod_russia_en
 
MKUU sijui kwawenzangu wanaweza wakajua ila binafsi sijui juu ya hilo
Ila kwamaoni yangu binafsi nahisi hakutakua nautofauti wowote na partnership nyengine sijui kwenye muundo nauendeshaji
Pia namjni hizi partnership zinatakiwa tu kua na taasisi imara ili zijiendeshe
Mwisho naiona USSR ikirudi kwanamna nyengine kama BELARUS atajiunga na RF ukijumlisha na yale maeneo yanayodokolewa kule kwenye SMO
Haya mawazo mitazamo namaoni yangu MKUU Bugucha ila swali lako sina uelewa nalo nadhani wajuvi ulowatag nausio watag watakujibu pia watanieka sawa namie nijifunze kupitia swali lako MKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
Level zipo hivi
Free Trade area
Custom Union
Economic community
Political Union in form of a federation or higher level total Union Unitary with one and only national gvt
 
Back
Top Bottom