T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,924
- 47,173
Sasa kama ni siri umejuaje wana silaha. Si ushasema ni siriNorth Korea ni nchi ambayo mambo yao mengi wanafanya kwa siri siri kitu ambacho hata NATO wana struggle kupata info zake.
Sasa kama ni siri umejuaje wana silaha. Si ushasema ni siriNorth Korea ni nchi ambayo mambo yao mengi wanafanya kwa siri siri kitu ambacho hata NATO wana struggle kupata info zake.
Noma sana bro, jana nimekaa nafatilia kila nukta hapa ase kuna watu wana "umarekani" mwingi kuliko wamarekani wenyewe.Yule jamaa wa ewura akiwa anaelezea utofaut wa ufanis wa vifaa unaweza dhan urus ni mdebwedo mbele ya us.
Lkn mpaka sasa huyo ambaye ana vifaa vya kisasa hatak kukabiliana moja kwa moja na yule ambae kwa mujibu wa mzee wa ewura anaonekana anatumia vifaa vya kizaman.
Huyo mk254 hawezi kuwa na busara na uelewa hata 5% ya @T14Amata.
Source umetoa Sputnik na RT ambavyo ni vyombo vinamilikiwa na serikali ya Urusi. Unaniita nijadili nini hapo[emoji1212]The Serbs oppose NATO and the introduction of anti-Russian sanctions.
The corresponding data is provided by a survey of the publication "New Serbian Political Thought", writes @rt_russian.
[emoji3502]88% of Serbs do not support joining NATO.
[emoji3502]84% of respondents are against anti-Russian sanctions.
[emoji3502]82% of respondents are against joining the EU on condition of recognition of Kosovo.
Germany has already demanded that Serbia recognize the independence of Kosovo and impose sanctions for EU membership, but Belgrade refused.
Subscribe to @Sputnik
Naomba aione T14 Armata
Hapo hua ndio hua napingana na bwana T14 Armata kama wewe usemavyo ndugu jailos mrisho ila msaidie kunitag hapa MKUU ajionee
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1130][emoji298]Iran Promises to create nuclear warheads and warns that it has the ability to turn New York into "hellish ruins".
The Islamic Revolutionary Guards Corps released a statement promising to quickly begin production of nuclear bombs if "the American or Zionist regime makes any stupid mistakes."
Umejiunga muda wote huo na bado huwezi tofautisha ID kirahisi hivi. Mk254 ni Mkenya, nyuzi za Kenya humkosi na kusifia nchi yao. Kwa anayejifanya kunijua kama wewe anajua nimezaliwa wapi na kukulia wapi. Wala kilugha ninachoongea Mk hajawahi hata kukisiaHuyo jamaa nadhani amebadili ID...nahisi ni MK254
Mkuu, mbona ungewatag vizuri ili wasome ujumbe wako? Huyu MK254 ule msafara ulimchanganya sana. Alisema mwenyewe 🙂Huyo mk254 hawezi kuwa na busara na uelewa hata 5% ya @T14Amata.
RT,Acha matani yako mkuu, Kama hujui sema
🇷🇸The Serbs oppose NATO and the introduction of anti-Russian sanctions.
The corresponding data is provided by a survey of the publication "New Serbian Political Thought", writes @rt_russian.
▪️88% of Serbs do not support joining NATO.
▪️84% of respondents are against anti-Russian sanctions.
▪️82% of respondents are against joining the EU on condition of recognition of Kosovo.
Germany has already demanded that Serbia recognize the independence of Kosovo and impose sanctions for EU membership, but Belgrade refused.
Subscribe to @Sputnik
Sputnik na RT ni vyombo vinamilikiwa na serikali ya Urusi. Haiwezi jipingaAcha matani yako mkuu, Kama hujui sema
🇷🇸The Serbs oppose NATO and the introduction of anti-Russian sanctions.
The corresponding data is provided by a survey of the publication "New Serbian Political Thought", writes @rt_russian.
▪️88% of Serbs do not support joining NATO.
▪️84% of respondents are against anti-Russian sanctions.
▪️82% of respondents are against joining the EU on condition of recognition of Kosovo.
Germany has already demanded that Serbia recognize the independence of Kosovo and impose sanctions for EU membership, but Belgrade refused.
Subscribe to @Sputnik
Habari za chinichini zinasema T14 Armata alikuwa jasusi la Marekani North Korea. Sasa hivi Sea-I-A wamempa mkataba wa kazi maalum huko Moscow.Yule jamaa wa ewura akiwa anaelezea utofaut wa ufanis wa vifaa unaweza dhan urus ni mdebwedo mbele ya us.
Lkn mpaka sasa huyo ambaye ana vifaa vya kisasa hatak kukabiliana moja kwa moja na yule ambae kwa mujibu wa mzee wa ewura anaonekana anatumia vifaa vya kizaman.
Thanks. Hizi wenye nazo huziita TACTICAL IDUjue kujua Id ya mtu yuleyule sema ni majina tofauti ni kazi ndogo sanaa kuna floo ya maandishi,kuna hisia zinakua sawa,kuna matumizi ya neno flani,kuna aina za rangi ata aweke profile picture gani ila ni lazima rangi flani itamalaki mfano blue(mr.blue😂😂😂)
Kupitia huu uzi nikajua matumizi ya ignore 😂😂😂😂nilikomaliaga id ziunganishwe kumbe hiyo fashen imepitwa na wakati coz watu wengi wana misafara ya ID.
We ukigundua piga nyundo tuu.
#usinyanyue kidole walii badoo hajastaafu😂😂😂(nyundo)
Mwaka huu Mmarekani ameamuliwa. Hii ni ishara kwamba ameshachokwa kitambo. Anang'atwa kila upande as if swala aliyezungukwa na wild dogs wenye njaa.
Hawa wote Russia ndiye kawaamsha. Putin anataka issue ya Unipolar World na NWO iwe mwanzo na mwisho kusikika.
Soon, Afrika nayo itaanza kuipiga mkwara Marekani.
Nadhani soon Russia apewe hadhi ya HYPERPOWER. Usupapawa ubaki kwa US labda na UK huko.wanaona gharama zinepanda za usafiri ulaya walivyompiga vikwazo kutotumia anga la ulaya Russia alizichukua ndege zao zaid ya 400+ zipo mahali salama zimekaa walilalamika wehhh wakachoka na putin akasema izi ndege azitoki apa
Nchi ikichipukia kwenye hali ngumu hivi huwa inakuwa imara sana. Marekani hawajui kwamba wanayaandaa haya mataifa yawe colossal powers in the immediate future.Iran wanazo tayari usione ule ukaribu na Russia ni wa bure there’s something goin on
Lau mifugo yetu ingejua kua chakula tunachowapa, maji tunayowapa, mabanda wanayochafua tunawasafishia sio mapenzi kwao bali lengo haswa ni wakue tuwachinje ama tuwauze sidhani kama wangeendelea kukaa bandani... [emoji23][emoji23][emoji23]Noma sana bro, jana nimekaa nafatilia kila nukta hapa ase kuna watu wana "umarekani" mwingi kuliko wamarekani wenyewe.
Former Generals wa US wanakwambia kuna shida mahala kwao, Kamanda kipensi wa Ewura kutoka machame anapindua meza hadi kauli [emoji23].
Kunyoosha maelezo ni kwamba anawapinga baada ya kusoma articles 2 tatu online akichanganya na arosto zake za "dettol".
Tuna ujuaji mwingi wa "kifyotorilo" halafu mahaba ya kindezi hadi kero.
Kama mtu hulipwi kusema uongo kuna hasara gani ukizungumza ukweli?
Bora utumwa wa mwili ubaki na akili zako timamu ipo siku unaweza kujikomboa. Ila kua mtumwa wa fikra ukombozi uliopo ni ile day ya kuzama ardhini tu.
Dunia hii kuna watu wataendelea kua mithili ya "toilet paper" hadi dk y mwisho. Wataendelea kuhifadhi thamani yao kabla ya matumizi. Ila wakishatumika ndio basi tena.
Lau mifugo yetu ingejua kua chakula tunachowapa, maji tunayowapa, mabanda wanayochafua tunawasafishia sio mapenzi kwao bali lengo haswa ni wakue tuwachinje ama tuwauze sidhani kama wangeendelea kukaa bandani... [emoji23][emoji23][emoji23]
Sputnik wamekwambia data wamezitoa wapi MKUUSource umetoa Sputnik na RT ambavyo ni vyombo vinamilikiwa na serikali ya Urusi. Unaniita nijadili nini hapo
Mkuu, mbona ungewatag vizuri ili wasome ujumbe wako? Huyu MK254 ule msafara ulimchanganya sana. Alisema mwenyewe 🙂