Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Moscow considers Pelosi's visit to Taiwan as a clear provocation in the spirit of the US aggressive line to comprehensively contain China and calls on Washington to refrain from actions that undermine stability in the region and the world - Russian Foreign Ministry.

PATRON - Subscribe
Backup channel - Subscribe
Kwa watu wenye akili tumesha jua USAkafanya kosa juu yake mwenyewe sasa anakwenda kusababisha nchi wapinzani wake kuungana kumpiga kiuchumi na njia mbali mbali ....sasa mambo yatanoga
 
Duh Xi Jinping ameanza maneno ya motivational speakers Sasa.
West si watu wa kudili nao kidiplomasia. Penye faida kwao hawajali utu, sheria za kimataifa, uhuru wa nchi nyengine n.k

Marekani imevunja mikataba mingi na Russia kipindi ambacho Russia ilikuwa ni dhaifu. Ripoti za FSB zinaonesha Marekani iliwafadhili Chenchen kwa kutumia mkondo wa dini ili wapate uhuru wao lengo kuu likiwa ni kuigawanya Russia vipandepande, maadamu ni kubwa ni ngumu kuihimili yote kwa pamoja.

Nchini Ukraine imeijenga maabara za silaha za kibaiolojia, ime train jeshi lao na kuipatia silaha nyingi. Mshauri wa Zelenski na Zelenski mwenyewe wakatangaza hadharani wana mpango wa kuwa na silaha za nuclear. Jinsi Ukraine inavyo-behave kwenye hii OP ingelikuwa na nuclear ingeli-behave vipi?

Hata kama China imetizama mbali lakini bado wapo pagumu. Marekani Wapo kwenye mchakato wa kuunda NATO ya 3 (US,UK+Australia) dhidi ya China. Ikifanikiwa atajaribu kuwashawishi S.Korea, Japan kama chambo wake. Vipi kama akifanikiwa zaidi akaiingiza Taiwan kwenye huo umoja wa kujihami? Usalama wake China utakuwa wapi? Usalama wa watu bilioni 1+ utakuwa wapi? Akubali madhara mafupi na mbeleni ayajenge upya! Au akubali madhara ya muda mrefu yatakayomgharimu (kwa sababu China inaonekana inalinda Uchumi wake) na Marekani haitolala itaendelea kuwepo!

Hii hesabu inatatuliwa kijeshi tu!
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2312478
Screenshot_20220802-234531.jpg
Screenshot_20220802-234559.jpg
 
West si watu wa kudili nao kidiplomasia. Penye faida kwao hawajali utu, sheria za kimataifa, uhuru wa nchi nyengine n.k

Marekani imevunja mikataba mingi na Russia kipindi ambacho Russia ilikuwa ni dhaifu. Ripoti za FSB zinaonesha Marekani iliwafadhili Chenchen kwa kutumia mkondo wa dini ili wapate uhuru wao lengo kuu likiwa ni kuigawanya Russia vipandepande, maadamu ni kubwa ni ngumu kuihimili yote kwa pamoja.

Nchini Ukraine imeijenga maabara za silaha za kibaiolojia, ime train jeshi lao na kuipatia silaha nyingi. Mshauri wa Zelenski na Zelenski mwenyewe wakatangaza hadharani wana mpango wa kuwa na silaha za nuclear. Jinsi Ukraine inavyo-behave kwenye hii OP ingelikuwa na nuclear ingeli-behave vipi?

Hata kama China imetizama mbali lakini bado wapo pagumu. Marekani Wapo kwenye mchakato wa kuunda NATO ya 3 (US,UK+Australia) dhidi ya China. Ikifanikiwa atajaribu kuwashawishi S.Korea, Japan kama chambo wake. Vipi kama akifanikiwa zaidi akaiingiza Taiwan kwenye huo umoja wa kujihami? Usalama wake China utakuwa wapi? Usalama wa watu bilioni 1+ utakuwa wapi? Akubali madhara mafupi na mbeleni ayajenge upya! Au akubali madhara ya muda mrefu yatakayomgharimu (kwa sababu China inaonekana inalinda Uchumi wake) na Marekani haitolala itaendelea kuwepo!

Hii hesabu inatatuliwa kijeshi tu!
anawaita business partner akiona midola inavyomiminika nchini kwake anakenua meno ajui wenzake wanamtamani sana walijaribu kufanya ivyo kwa putin kilichotokea wao wenyewe wameomba yaishe warusi wana slogan yao kuwa wao hawana cha kupoteza kama ni vita tupigana mpka tuhakikshe wote tumekufa sasa west wanavyopenda raha na kuishi vizuri uwaambie leo wapigane na russia unafikiri watakuelewa l
 
#HUENDA CHINA IKAPORWA TONGE MDOMONI HUKU INAJIONA

Ila kama hataivamia Taiwan maana yake amekubali kuipoteza na kama ataipoteza Kwa kuiacha taiwan iwe huru, basi tutamuona marekani akipeleka Kambi za kijeshi na kumwaga silaha Kali Kali na hivyo kuwa mwiba Kwa usalama wa china
Lakini mkuu, siyo Taiwan iko taifa huru tayari tangu miaka mingi (angalau tangu 1949)? Isipokuwa China Bara inadai mamlaka juu yake lakini wenyewe hawakubali hata kidogo. Wananchi wanataka kuendelea kama nchi huru.
Je hawana haki kujiamulia? Maana serikali ya Wakomunisti huko Beijing hawawahi kuwa na mamlaka yoyote juu ya Taiwan katika historia.
Je si ukoloni mtupu wakidai sasa lazima watawale Taiwan?
 
To some point bado niko na view tofauti na wenzangu hapa. Most katika mnaoiponda China naona mko too emotional 😄...

Me nahifadhi ulimi wangu nasubiri end result nitakuwa na la kuongea, huwa sipendelei kuzungumza kitu later nikirudishe kinywani.

Kuna maswali mkitulizana mnaweza kukaa kuyatafakari kama mkiweza.

1. Sote twajua kua US hegemony is collapsing, Je US akipoteana nani will come next? Probably ni China ambae ndie second in term of economy.

Sasa hapo em tujiulize kwanini US akaamua kama mbwai na iwe mbwai kwenda mazima kumchokoza wazi China huku dunia yote ikiwatizama?

Kwa upande wenu wadau hamuoni ni kama US anatafuta wa kudondoka nae kwenye korongo alilopo?

2. We all knows part wanayo play China na Taiwan kwa pa1 kwenye Global economy. Kama hali kwa Russia mmeiona ilivyokua hadi uku tunaisoma number. Hapo ni kwenye energy pekee vipi China na Taiwan nao?

Hii mbona nayo pia kama yafanana vile na kile ambacho tunaweza kukitafsiri US anatafuta wa kushuka nao kwenye korongo alipo. Hapo tusisahau Quarter zote hizi 1 na 2 za mwaka huu uchumi wa US unasoma negative growth.

Tukiacha zile mbwembwe alizofanya China kuna kitu me naweza kukisema kwa udadisi wangu mdogo huu nilio nao. Kuna ule msemo unasema usimpe adui kile anachohitaji.

Hicho nahisi ndicho China kaamua kukifanya, hapa nifahamike vizuri. Sio kwamba namtetea China ila najaribu kuwaza nje ya box.

Inaonekana kama US alikuwa anataka direct war with China akiwa na sababu zake na akitaka kuitumia hiyo Chance ya uchokozi akiamini wazi China atareact kwa shambulizi dhidi yao hivyo yeye kupata justification ya kuwazoa nduguze wote waingie hapo kuibomoa China. Ambae of course ndie back up in term of economy ya taasisi nyingine ambazo US na team yake hawamo.

Kwa tukio la leo kama ambavyo Russia aliondoka Kiev kimkakati. Naamini kuna jambo anakuja nalo China dunia haitaamini. Simtetei China ila daima huwa na mashaka sana na maamuzi ya watu wakimya wasio penda kuongea ongea sana kama Putin na Xi.

Let us not forget nenda kote duniani aliye fanikiwa kusimama kidete against US kiuchumi toka kuvunjika kwa USSR ni China pekee, na hawakufika hapo bahati mbaya. So tusiwa overestimate wala kuwa underestimate. Tukae zetu kati tu.

Sie tuwe observers tu inatosha!

Mda una majibu mazuri tuupe nafasi yake. Tusiwe wepesi w kuhukum.

Nyongeza ya maelezo, Kwa wale wapenzi wa Multipolar inabidi tushangilie hizi ***** ***** za US na China. Why?, Ni hivi wadau, mvurugano zaidi wa US na China utazidi kumsogeza China karibu na Russia.

Mvurugano zaidi wa Russia na US utazidi kumsukuma zaidi na zaidi Russia kwa China. Hii combo ya Superior Military (Russia) na Superior Economy (China) ndio tunayo ihtaji wapenda multipolar.

Hii visit ya huyu bibi inazidi kukoleza speed kwenye mteremko katika kuharibika kwa Unipolar world inayoisumbua dunia.

Mawazo yangu hayo mwenye mtazamo tofauti anakaribishwa.
Wewe jamaa unafaa uwe mshauri wa rais Putin au X Jinping hasa kwenye maswala ya kuwashikisha mashoga adabu
 
#HUENDA CHINA IKAPORWA TONGE MDOMONI HUKU INAJIONA

Tayari Nancy pelosi kashatua Taiwan na hatuajaona china akiivamia Taiwan

Sasa kituo kinachofata ni Taiwan kujitangazia uhuru wake,

Bado mchina hajakwepa mtego wa marekani

BEHIND THE SCENE

ukiangalia china ndo taifa la pili Kwa uchumi duniani baada ya marekani, na ndio linaleta challenge ya kiuchumi Kwa marekani, hilo marekani anaitafuta china Kwa Kila namna iingie kwenye mgogoro ili iwekewe vikwazo na pia kuifanya ukuaji wake wa kiuchumi udumae

Kwa mujibu wa ripot ya shirika fedha Duniani IMF, inakadiliwa ifikapo mwishoni mwa mwaka huu 2022, uchumi wa marekani utafikia GDP 24 trillion us dollar wakati uchumi wa china utafikia GDP 18 trillion us dollar [emoji385]

Lakini hilo sio kubwa sana, kikubwa ni Kasi ya ukuwaji wa uchumi wa mataifa hayo, ripot ya IMF inaonesha Kwa mwaka huu 2022 ukuaji wa uchumi wa marekani ni WA kiwango Cha asilimia 3.5% wakati china ni 5.57% hii inaonesha picha nzuri Kwa upande wa china

Lakini pia wataalamu wa uchumi wa IMF wanakadilia ifikapo mwaka 2026 uchumi wa marekani utakuwa ni GDP 27 trillion us dollar[emoji385][emoji383] wakati china itakuwa na uchumi wa GDP 24 trillion us dollar [emoji385][emoji383]
Hapo utaona Kuna utofauti wa gap, kati ya mwaka 2022 na 2026 ambapo Kwa mwaka 2022 china imepigwa gap la kiasi Cha 6 us dollar trillion

Ila Kwa mwaka 2026, gap hilo limepungua na kuwa 3 us dollar trillion

Lakini hilo issue sana
Issue ni Kasi ya ukuwaji wa uchumi, IMF inakadiliwa ifikapo mwaka 2026 Kasi ya ukuaji wa uchumi wa marekani itaporomoka na kufikia 1.6% kutoka kwenye 3.5%
Wakati upande wa china Kasi ya ukuaji wa uchumi itashuka na kufikia 4.8% kutoka 5.57%

Sasa Kwa mwaka 2022 marekani imepigwa gap la Kasi ya ukuaji Kwa kiwango Cha 2.07% wakati Kwa mwaka 2026 marekani itakuwa imepigwa gap la ukuaji wa uchumi Kwa kiwango Cha 3.2%

Hii inaonesha kuwa kadri miaka inavyokwenda Kasi ya ukuaji wa uchumi wa marekani inasinyaa wakati Kwa upande wa china inaonekana kuchanua hivyo unaweza ukakadilia Kwa takwimu hizo ifikapo 2030 huenda china ikaizidi marekani kiuchumi

Na ukishakuwa mbabe upande wa uchumi ushawishi wako unaongezeka hivyo unakuwa na nafsi kubwa ya kuwa super power wa Dunia kama alivyo marekani sasaivi

Sasa kupitia hilo marekani haitaki kukubali kuja kuwa chini ya yoyote na haipo tayari itafanya Kila lowezekanalo kuhakikisha hilo halitokei, na ndio maana binafsi naona china Bado haijakwepa mtego wa marekani

Lazima marekani ifanye juu chini kuhakikisha china inaingia kwenye mgogoro ili ukuaji wake kiuchumi ushuke, kwahiyo ili china iingie kwenye mgogoro marekani ataishawishi Taiwan ijitangazie uhuru wake alafu tuone kama china ataivamia Taiwan

Kama china ataivamia Taiwan maana yake malengo ya marekani yametiki

Ila kama hataivamia Taiwan maana yake amekubali kuipoteza na kama ataipoteza Kwa kuiacha taiwan iwe huru, basi tutamuona marekani akipeleka Kambi za kijeshi na kumwaga silaha Kali Kali na hivyo kuwa mwiba Kwa usalama wa china

Kwahiyo china inawakati mgumu sana wa kimaamuzi ngoja tuone itaamuaje

Nini maoni yako?
C$p kutoka fb Archimedes justine

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii mnajifurahisha... china hii ambayo raia wake wanauza sufuria kariakoo?
 
Hakuna kukurupuka, xi na wengine sizan kama wajinga kias hiko na kuwa hawajaona kama wanachokozwa. Nazan hapa kuna mengi ya kujifunza kabla ya kulaum kwann china haija react kwa upesi hiko.

1. Kwanza tujiulize kwanin marekan kaamua kufanya vile huku akijuw wazi ni makosa na china hawataki, hapa unaweza kuona kuwa marekan kuna namna alishajipanga kufanya hiv na hatujui alijiandaa kwa kias gan kwa namna yyte ile kama china ataamua kuitungua ndege ya yule mama.

2. Jambo la pili ni funzo lilitokana na uvumilivu wa china kwa siku ya jana mama akishuka Taiwan kibabe bila ya hofu huku akijuw china hawataki. Hata kama uwezo wa kumdungua walikuw nao ila lazima wajiulize mara 2 2 kwamba ni kwanin huyu kibib kajiamin kuja na nin anakitaka.

Note: bora usipigane kabisa kuliko ukapigana na ukapigwa kila mtu atakuona mandonga na utadhalaulika miaka mingi. China ni taifa kubwa na kila mtu analitazama sasa hawawez fanya maamuzi yatakayo wagharimu au kushusha heshima yao waliotengeneza kwa kipindi kirefu. Markan saiz anatapatapa anatafuta wa kufa nae kajua hakuna wanakomtaka na wameshajuw kuwa yeye ndie chanzo cha mavurugu dunian sio Afrika, Arabun hata Asia kote huko hawamtaki na anamahasira maana kinachoendelea Ukraine kinafanya aonekane kubwa jinga saa kamshindwa russia anatafuta mnyonge ili ajidundie kama vile alifanya Libya.

Lakini China walipaswa kuyajua hayo yote na kukaa kimya tu kuliko kutoa vitisho vya kitoto....Kilichoshangaza ulimwengu ni namna walivojiandaa halafu ghafla wakanywea...
 
#HUENDA CHINA IKAPORWA TONGE MDOMONI HUKU INAJIONA

Tayari Nancy pelosi kashatua Taiwan na hatuajaona china akiivamia Taiwan

Sasa kituo kinachofata ni Taiwan kujitangazia uhuru wake,

Bado mchina hajakwepa mtego wa marekani

BEHIND THE SCENE

ukiangalia china ndo taifa la pili Kwa uchumi duniani baada ya marekani, na ndio linaleta challenge ya kiuchumi Kwa marekani, hilo marekani anaitafuta china Kwa Kila namna iingie kwenye mgogoro ili iwekewe vikwazo na pia kuifanya ukuaji wake wa kiuchumi udumae

Kwa mujibu wa ripot ya shirika fedha Duniani IMF, inakadiliwa ifikapo mwishoni mwa mwaka huu 2022, uchumi wa marekani utafikia GDP 24 trillion us dollar wakati uchumi wa china utafikia GDP 18 trillion us dollar [emoji385]

Lakini hilo sio kubwa sana, kikubwa ni Kasi ya ukuwaji wa uchumi wa mataifa hayo, ripot ya IMF inaonesha Kwa mwaka huu 2022 ukuaji wa uchumi wa marekani ni WA kiwango Cha asilimia 3.5% wakati china ni 5.57% hii inaonesha picha nzuri Kwa upande wa china

Lakini pia wataalamu wa uchumi wa IMF wanakadilia ifikapo mwaka 2026 uchumi wa marekani utakuwa ni GDP 27 trillion us dollar[emoji385][emoji383] wakati china itakuwa na uchumi wa GDP 24 trillion us dollar [emoji385][emoji383]
Hapo utaona Kuna utofauti wa gap, kati ya mwaka 2022 na 2026 ambapo Kwa mwaka 2022 china imepigwa gap la kiasi Cha 6 us dollar trillion

Ila Kwa mwaka 2026, gap hilo limepungua na kuwa 3 us dollar trillion

Lakini hilo issue sana
Issue ni Kasi ya ukuwaji wa uchumi, IMF inakadiliwa ifikapo mwaka 2026 Kasi ya ukuaji wa uchumi wa marekani itaporomoka na kufikia 1.6% kutoka kwenye 3.5%
Wakati upande wa china Kasi ya ukuaji wa uchumi itashuka na kufikia 4.8% kutoka 5.57%

Sasa Kwa mwaka 2022 marekani imepigwa gap la Kasi ya ukuaji Kwa kiwango Cha 2.07% wakati Kwa mwaka 2026 marekani itakuwa imepigwa gap la ukuaji wa uchumi Kwa kiwango Cha 3.2%

Hii inaonesha kuwa kadri miaka inavyokwenda Kasi ya ukuaji wa uchumi wa marekani inasinyaa wakati Kwa upande wa china inaonekana kuchanua hivyo unaweza ukakadilia Kwa takwimu hizo ifikapo 2030 huenda china ikaizidi marekani kiuchumi

Na ukishakuwa mbabe upande wa uchumi ushawishi wako unaongezeka hivyo unakuwa na nafsi kubwa ya kuwa super power wa Dunia kama alivyo marekani sasaivi

Sasa kupitia hilo marekani haitaki kukubali kuja kuwa chini ya yoyote na haipo tayari itafanya Kila lowezekanalo kuhakikisha hilo halitokei, na ndio maana binafsi naona china Bado haijakwepa mtego wa marekani

Lazima marekani ifanye juu chini kuhakikisha china inaingia kwenye mgogoro ili ukuaji wake kiuchumi ushuke, kwahiyo ili china iingie kwenye mgogoro marekani ataishawishi Taiwan ijitangazie uhuru wake alafu tuone kama china ataivamia Taiwan

Kama china ataivamia Taiwan maana yake malengo ya marekani yametiki

Ila kama hataivamia Taiwan maana yake amekubali kuipoteza na kama ataipoteza Kwa kuiacha taiwan iwe huru, basi tutamuona marekani akipeleka Kambi za kijeshi na kumwaga silaha Kali Kali na hivyo kuwa mwiba Kwa usalama wa china

Kwahiyo china inawakati mgumu sana wa kimaamuzi ngoja tuone itaamuaje

Nini maoni yako?
C$p kutoka fb Archimedes justine

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa China bora direct War kuliko vikwazo kama US atatafuta ushindi dhidi yake. Ndio maana kila mda najaribu kusema tusubiri end results tutakuwa na mengi ya kuzungumza.

Kama mnafatilia haya mambo vizuri niwape swali lingine mlitafakari.

Kwanini US hapendi direct war (military) with Russia (Simsemei kalisema mara nyingi tu) hapo hapo anakwepa vita ya kiuchumi dhidi ya China (mkumbuke alimpa vitisho vingi dhidi ya mahusiano yake na Russia yet hadi sasa hajafanya chochote na China anaendelea kufanya biashara zake na Russia).

Kwanza inabidi tuelewe kua China ni Superior in term of economy, anampa challenge US kwenye huu upande. US anaweza kupigana na huyu kivita ila sio kiuchumi.

Russia ni superior in term of military, huyu anampa challenge US ukurasa huu. Nae US anaweza kupigana na Russia kiuchumi ila sio kivita.

Ukimya wa China jana ni ushindi kwa East no matter nyie mnalitizama vipi. Jana Marekani kanyimwa kile alichokua anakitaka, ambayo ni vita kati yake yeye na China. Vita ambavyo again ingemsaidia kupiga ndege wawili kwa pa1. (China en Russia)

Sasa tubaki tunazungumzia issue ya vikwazo na kivipi US hawezi hiyo league kwa China.

🔸Mosi China ni World largest producer, kampiku US miaka kadhaa iliyopita. Asilimia 28 ya vitu vyote duniani vinatengenezwa China. China ni world largest manufacturing hub kuliko US tena kwa tofauti karibu 10%

Ukitaka kujua litaiathri vipi dunia, angalia GERMANY hapo EU ambayo ni third largest manufacturing hub duniani kuyumba kwake kulivyo haribu uchumi wa ulaya kwa pa1.

Hiyo situation ya Germany izidishe mara 6 ndio itakuwa hali ya China kwa "Chumi" zingine duniani.

🔸US na China wanafanya biashara kwa kiasi kikubwa, ila hii biashara kati yao ni kua US anaagiza vingi kutoka China kuliko China anavyochukua kutoka US. Kufupisha maelezo ni kua US ana trade deficit with China.

Hapa kati mlisikia hadi "baby formula" za US zatoka China, So umewaza nini kitajiri kwenye vita ya kiuchumi dhidi yake?

🔸 Main Supplier wa industries za US ni China. Kuipiga vikwazo china ni kuharibu industry sector ya kwake mwenyewe US. Lugha nzuri hapa niseme itakuwa ni self destruction.

All giants US companies zaitegemea China na mwanae Taiwan kwa mambo mengi, mfano wengi hapa hukimbilia final products ya bidhaa tunazotumia bila kujua au kuangalia imetengenezwa kwa kipi na kipi kutoka kwa nani na nani.

🔸Again china anashikilia deni la US zaidi ya Dollar trillion 1.
Akiamua kuliuza hili deni kwa speed ata trigger inflation US zaidi ya ilivyo sasa je nini kitajiri?

🔸Ukitizama sectors muhim za uchumi wa China zipo balanced. Industries, Agriculture, Services zina almost uwiano sawa. Lakini kwa US Sector kubwa ni "Services" ambayo inachangia zaidi ya 80% ya pato la taifa (GDP).

Uchumi ambao uko vulnerable kuharibika ni wa US ambao unategemea maisha mazuri ya Raia wake. (Spending ndio key ya Services Economy), hali ngumu kwa Raia inapelekea Spending kua kidogo, hivyo kuathiri hii sector. Na hili ndio jibu la kwanini quarter zote hizi mbili uchumi wa US unaonesha negative growth wakati hayupo kwenye vita na yoyote (kwa mujibu wa vyombo vyao vya habari 😅).

🔸China ni largest creditor duniani kuliko hata hizi taasisi za fedha za kimataifa mnazozijua. Hapa tusiweke maelezo mengi kwani kila mmoja anajua mikopo ni utumwa. Mkopeshaji ana sauti juu yako, Mzinguane akutie default. Je US ataweza kumshawishi nani asijihusishe na China?

Natamani kuendelea kukuonesha namna gani vita ya kiuchumi kwa US na China ilivyo ya kufikirika kama ilivyo vita ya Silaha kati ya Russia na US sema asubuhi hii nitachelewa kufanya mambo mengine.

Hapo kwa China vs US wakisema walianzishe (Vita ya silaha) atakaye athirika haraka ni China ambae adui yupo mlangoni mwake. Hatopata nafasi ya kutoka nje kwenda kutafuta nyumba ya adui ilipo.

Kuna njia nyingi za China kuiadhibu marekani kuliko kuuwana kwasababu ya hicho kibibi kinachoelekea kutia "nanga".

Mfano ka chini fikiria vipi China akiamua kufanya just one Move, yani "act 1" tu kama ya Russia ya kusettle payment za bidhaa zake kwa fedha yake. Nini kitatokea kweye dollar? Kupotea kwa dollar kuna maana gani kwa taifa la US?

😀
Tuishie hapo nikipata mda nitarudi, nakazia kile kile tusim'overestimate China wala kum'underestimate. Sie tutulie kati kwa kati tuenjoy show!

Maana now mpira upo kwa China, ana kila sababu za ku'retaliate against US bila kunyooshewa kidole. Kwetu sie warusi wa machame ni burudani tu 🤗.

Muhtasari wa maelezo yote ni kua US anaweza kupigana kivita na China ila sio kiuchumi, US anaweza kupigana na Russia kiuchumi ila sio kivita.
 
West si watu wa kudili nao kidiplomasia. Penye faida kwao hawajali utu, sheria za kimataifa, uhuru wa nchi nyengine n.k

Marekani imevunja mikataba mingi na Russia kipindi ambacho Russia ilikuwa ni dhaifu. Ripoti za FSB zinaonesha Marekani iliwafadhili Chenchen kwa kutumia mkondo wa dini ili wapate uhuru wao lengo kuu likiwa ni kuigawanya Russia vipandepande, maadamu ni kubwa ni ngumu kuihimili yote kwa pamoja.

Nchini Ukraine imeijenga maabara za silaha za kibaiolojia, ime train jeshi lao na kuipatia silaha nyingi. Mshauri wa Zelenski na Zelenski mwenyewe wakatangaza hadharani wana mpango wa kuwa na silaha za nuclear. Jinsi Ukraine inavyo-behave kwenye hii OP ingelikuwa na nuclear ingeli-behave vipi?

Hata kama China imetizama mbali lakini bado wapo pagumu. Marekani Wapo kwenye mchakato wa kuunda NATO ya 3 (US,UK+Australia) dhidi ya China. Ikifanikiwa atajaribu kuwashawishi S.Korea, Japan kama chambo wake. Vipi kama akifanikiwa zaidi akaiingiza Taiwan kwenye huo umoja wa kujihami? Usalama wake China utakuwa wapi? Usalama wa watu bilioni 1+ utakuwa wapi? Akubali madhara mafupi na mbeleni ayajenge upya! Au akubali madhara ya muda mrefu yatakayomgharimu (kwa sababu China inaonekana inalinda Uchumi wake) na Marekani haitolala itaendelea kuwepo!

Hii hesabu inatatuliwa kijeshi tu!
^Hii hesabu inatatuliwa kijeshi tu^

Lakini tumeshaambiwa repeatedly kwamba vita vya uchumi ndivyo vibaya zaidi.
 
Unatetea upopoma mdogo wangu, zile mbwembwe zote zilikuwa za nini sasa? Ana tofauti gani na NATO wazee wa No Actions just Talks Only.

Mara oo don't play with fire my foot ushubwada tu. China hamna kitu hapo, mara 10k ka mwamba kiduku anaishi maneno yake.
Nilikuwa mavisiwani huko mtandao chenga ...daah .... Mxina Jau kweli katuvua nguo mshenzi yule..... Hamna Kila kitu.....
 
Lakini mkuu, siyo Taiwan iko taifa huru tayari tangu miaka mingi (angalau tangu 1949)? Isipokuwa China Bara inadai mamlaka juu yake lakini wenyewe hawakubali hata kidogo. Wananchi wanataka kuendelea kama nchi huru.
Je hawana haki kujiamulia? Maana serikali ya Wakomunisti huko Beijing hawawahi kuwa na mamlaka yoyote juu ya Taiwan katika historia.
Je si ukoloni mtupu wakidai sasa lazima watawale Taiwan?
Mkuu Kipala (sijui unacho kweli?), ukijibiwa naomba unitag na mimi
 
Lakini China walipaswa kuyajua hayo yote na kukaa kimya tu kuliko kutoa vitisho vya kitoto....Kilichoshangaza ulimwengu ni namna walivojiandaa halafu ghafla wakanywea...
Stage ya kwanza na ya lazima ni POWER DEMONSTRATION . China amemaliza hiyo stage na kaifanya muda mrefu na wiki hii hasa siku mbilitatu hizi. Kupigana vita unahitaji sababu yenye mashiko na juhudi kubwa ya kukwepa vita kwani adui atataka kukugeuza sababu ya vita. Marekani wivu umemjaa Pamoja na manguvu yake always US anakutengenezea mazingira asionekane yeye mgomvi mbele ya wamarekani na jumuoya ya kimataifa. Anaficha ubepari na ubeberu wake
 
Lakini China walipaswa kuyajua hayo yote na kukaa kimya tu kuliko kutoa vitisho vya kitoto....Kilichoshangaza ulimwengu ni namna walivojiandaa halafu ghafla wakanywea...
Unajua China asingetisha, wengi tusingeona kama ni ishu kubwa. Second, hii imemfanya Mmarekani kuonesha 100% ubabe & udhalimu wake.

This is what we've been saying concerning his bullying attitude na kuvamia nchi zingine kiholela. In that case, hana virtue ya kumfunda (women's) na kumfonda (men's initiation) Russia.
 
Back
Top Bottom